kukusanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu (HRw) laomba picha za 29 October ili kukusanya ushahidi wa kupelekea ICC

    Ujumbe unajieleza,Samia Hana pa kutokea, ICC inanukia, mungu tenda miujuza mtesi wetu akinywee kikombe cha mateso Wenye video wazitume sasa kupitia hii link MASV Portals
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ishauri Serikali Namna ya Kukusanya Kodi kwa Wasiolipa Kodi!

    TRA ni wakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya Serikali, lakini pia zipo serikali za Mitaa na mamlaka zingine. Ishauri Serikali yako pendwa namna ya kukusanya kodi kwa watu wafuatao ambao wanaingiza malaki na milioni kwa siku lakini hata leseni ya Biashara hawakati:- Wauza viatu , urembo na nguo...
  3. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

    Wakuu, akili imezima Wapangaji hawalipi na niko mbali
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Kuna muuguzi alipelekwa India kusomea robotic surgery, amerudi amepangiwa kukusanya damu

    Mbunge wa Nyasa Mkoani Ruvuma, John Nchimbi ameitaka Serikali kuwapanga watumishi wake kulingana na weledi wao, ili kuepusha kuwapanga maeneo yasiyowahusu na hivyo kuzorotesha ufanisi katika kazi. Nchimbi aliyasema hayo April 17 bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia hotuba ya mapato na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Tunatenga hela nyingi ya 10% lakini Wakusanyaji wetu hawana utaalamu kukusanya madeni, wanaenda kudai wanarudi na mkaa na kuku

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma wakati akichangia hoja leo Aprili 15, 2026 Bungeni, ameitaka serikali kuzingatia ukusanyaji wa madeni wa mikopo ya asilimia 10% kwenye Halmashauri kwa kuajiri vikundi au vijana wasomi wenye ujuzi huo ambapo kwa sasa kazi hiyo inasimamiwa na...
  6. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Koneksheni ya tenda ya kukusanya/ kununua/ kusafirisha mifugo ya kuchinja Eid (ng’ombe/ mbuzi/ kondoo)

    Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom. Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
  7. E

    JamiiForums Tanzania EFTA kukusanya Sh50 bilioni kwa ajili ya wajasiriamali wa kilimo, usafirishaji

    Nicomed Bohay - EFTA Taasisi ya fedha Equity for Tanzania (EFTA) imezindua hatifungani ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha vifaa vya killimo, usafirishaji na ujenzi. Akizungumza katika uzinduzi huo leo Februari 10, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay amesema kuwa wamefikia hatua...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania kukusanya Dhahabu za Dola Bilioni 2, wajiona wamefanikiwa sana; Russia wamekusanya Dola Bilioni 402 lakini hawajauza – Tafakari

    Russian gold reserves break record The country’s bullion holdings were valued at $402.7 billion as of early February The value of Russia’s gold reserves has reached an all-time high, exceeding the $400 billion mark, according to statistics released by the country’s central bank on Friday...
  9. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Serikali baada ya kukusanya kodi hatuambiwi zinaenda wapi

    Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka azijia juu Halmashauri kwa kukusanya ushuru kwa Wakulima ikiwa hazijamwezesha Mkulima kwa chochote

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewashangaa Halmashauri wanaotoza kodi na ushuru mkoani humo kwa kuendeleza taratibu zisizo na uhalisia, hususan kwa wafanyabiashara na wakulima wadogo. Akizungumza na Madiwani pamoja na Halmashauri, Mtaka alisema: “Mtu analima mpunga, anapiga maombi mvua...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji

    Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji.
  12. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Email ambayo inatumika kukusanya ushahidi wa MAUAJI ya MO29 ni ya serikali (Bite anamtafuta Beatrice)

    Email na website haijitegemei kwamba isifungamane na upande wowote ili sasa tume itoe taswira ya kilichotokea pasi na kuegemea upande wowote. Sasa kinachoonekana ni Dulla anamtafuta Abdalla. Maana anayetuhumiwa ni serikali so inamtafuta huyo serikali anayetuhumiwa. Pia inamaanisha kwamba...
  13. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pendekezo: TLS Watusaidie Kukusanya Taarifa Za Raia Waliouawa au Kujeruhiwa Kwa Risasi Za Moto Tangu 29 October 2025.

    Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025. Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

    GT Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana. Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ntatumia gesi asilia kupowered smelter na refining kwenye mpango wa kukusanya mapato ya usd billion 500+

    Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance...
  16. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania CCM walisambaza BAISKELI na PIKIPIKI Nchi nzima ili waje kukusanya hela kwa Wananchi hao hao

    Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa. Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori. Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
  17. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nashauri kazi ya kukusanya taarifa binafsi za watalii ibaki kwa wizara ya mambo ya ndani (Immigration)

    Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini. Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kwa kukusanya mapato ya ndani 2023/2024

    Wakuu, Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kukusanya mapato ya ndani 2023/24: 1. Dar es Salaam CC (Ilala) - Bilioni 111.7 2. Kinondoni MC- Bilioni 64.7 3. Dodoma CC-Bilioni 51.5 4. Temeke MC-Bilioni 47.9 5. Ubungo MC-Bilioni 33.8 6. Arusha CC-Bilioni 33.4 7. Mwanza CC-Bilioni 21.0 8. Mbeya...
  19. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Google walipa wamevunja rekodi ya kulipa faini kubwa kwa kukusanya na kufuatilia taarifa za watu bila idhini. Hatupo salama

    Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni 1.375 ili kumaliza mashitaka mawili yaliyokuwa yanaituhumu kampuni hiyo kwa kufuatilia mahali walipo...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna chuma lakini inashangaza tupo bize kukusanya skrepa

    CCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani. Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi...
Back
Top Bottom