Chivayo alinunua ndege hio ya gharama kubwa, kumsaidia kuepuka traffic katika jiji la Harare na pia kumsaidia kufika kwenye vikao muhimu katika masuala yake ya kibiashara. Kwa mujibu wa maelezo yake.
Inaitwa Leonardo AW139, ina engines mbili, na inaendeshwa na marubani wawili.
Hio Helicopter...
Zaidi ya washiriki 3,000 kutoka mataifa mbalimbali wanahudhuria Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Idadi hii kubwa ya wageni ni kielelezo tosha cha jinsi utalii wa mikutano mkoani humo unavyozidi kushika...
Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia kukuza biashara yake.
Ifra, ambaye amepata mikopo isiyo na riba kutoka Halmashauri ya Jiji la...
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla.
Miongoni mwa wanufaika wakuu ni madereva wa taksi ambao...
Ruhusa hii imetolewa na jeshi la polisi ambao hawakukataza mikutano! Mikutano ilikatazwa na waziri wa mambo ya ndani.
Hivi sasa kuna ukamataji ambao huenda umelengwa kwa wafuasi wa Chadema, kinachokosekana ni viongozi wake na njia ya kuwapata ni kupitia majukwaa ya mikutano, hali ya kisiasa kwa...
Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari.
Punde si punde wakairuhusu.
Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA.
Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA.
Hivyo wekezeni kwenye Ulinzi na Drone. CCM wana roho mbaya sana...
Baada ya Siku 33 kutoka siku ambayo Waziri wa Mambo ha Ndani Patrobas Katambi kuzuia milutano ya vyama vya siasa, Jeshi la Polisi limesema kutokana na hali ya nchi kuwa shwari, vyama vya siasa vyenye nia ya kufanya mikutano ya hadhara viwasilishe taarifa kwa wakuu wa Polisi wa Wilaya.
Kumbuka...
Watu 23 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kushiriki kwenye mikutano ya kigaidi.
Waliopandishwa kizimbani ni Alphaxad Nyamwaga (57), Fantson Mpango (49), Abely Mwesa (62), Hassan Said (43), Emmanuel Wambura (30), Adam Idd (23)...
Ni maoni yangu kuwa hawa wahuni waliojipachika madarakani inafaa wanapofanya mikutano yao ya hadhara kumalizana hapohapo, je wadau mnaonaje hilo pendekezo? Hapa nataka watu wenye sound mind pekee sio machawa.
Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi yangu. Kama DHAMIRA ya Waziri wa mambo ya ndani, Katambi ni kuzuia haki moja tu ili kulinda haki...
CCM ile ambayo ilikuwa haijachokwa ilikuwa na kiburi sana. Walikuwa hawaogopi chama chochote na walikuwa wanatumia Khanga na nyimbo za John Komba kuwarubuni kina mama ili kupata kura.
Leo hii watamrubuni nani kwa khanga na nyimbo za mipasho?
Mikutano ya chama kikuu cha upinzani imekifanya kiwe...
Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na Uchochezi hatimaye imekwisha kabisa. Kama ulikua hujui hiyo ndiyo Serikali.
Hii ikimaamisha,
viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao.
Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono.
Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za msingi na hata alichokuwa anakinadi kwa wananchi hakuna aliyekuwa anamwamini. Hii ni kwa sababu...
Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
Kwenye ukurasa wake wa X msemaji wa Chadema Brenda Rupia ameandika,
#OperesheniKatibaMpyaFreeTunduLissu inaendelea leo katika Kanda ya Magharibi, Mkoa wa Tabora.
Wananchi, endeleeni kukichangia chama chenu kupitia:
📞 0744 446 969
Jina: CHADEMA HQ
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo.
Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
Mikutano ya hadhara Kwa vyama vya siasa ni takwa la kikatiba sio hisani wala huruma
Waziri au kiongozi yeyote kuzuiq mikutano ya vyama vya siasa ni kuwa kinyume cha katiba ya nchi
Katambi anavunja katiba Kwa maslahi ya nani?
Hatuwezi kuwa na viongozi wanaopinga na kuvunja katiba,
Nadhani huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.