Katika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho.
Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi...
Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilitafakari. Wakati mwingine mtu anaweza kuonekana anakujali sana, lakini unapopunguza kusaidia, kutoa pesa, kutatua matatizo yake au kumpa kile alichokizoea kutoka kwako, ghafla ukaribu unapungua.
Lakini pia si kila mtu anayepunguza ukaribu anakuwa na nia mbaya...
1. Saddam Hussein
2. Osama Bin Laden
3. Muamar Ghadafi
Hawa watu walikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa watoto wadogo, watu wazima na wanawake. Wakiwashawishi wajitoe mhanga. Wafe kwa ajili yao
Nlitegemea wao wangeonesha mfano kuliko wale wawili kukubali kukamatwa au kuuawa na makafiri na huyu...
Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala.
Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
Kwenye vitabu vya kale vya historia, kuna siri moja iliyobaki kwenye kurasa za zamani: Wakati Mfalme Daudi alipokuwa mzee sana na mwili wake ukikosa joto, washauri wake hawakumletea nguo nene za sufu.
Walimtafuta binti mbichi kabisa aitwaye Abishag ili alale naye.
Lengo halikuwa tu...
Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani
Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona
Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela."
Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa...
Kwa mfano, ukiwa unaongea na mwanamke utasikia akisema, 'nilikuwa naomba' unisaidi buku tano.
'Nilikuwa nauliza' kwamba mandazi shilingi ngapi.
'Nilikuwa naomba' uniruhusu kwenda nyumbani.
Je, huu ndio mtinfo mpya wa wanawake mjini ama vipi?
Baadhi ya vijana wa kiume nao wameshaanza...
Hii si mara ya kwanza,
Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake.
Wito kwa wanaharati akina Hilda, Maria na wengine: Wawe makini na taarifa kama hizi, kwani huenda wanafanya maksudi ili kuwabaini wavujisha taarifa wenzao.
Mfano...
Hapo VIP!
Hili swali huwa sipendi ambao Wachaga wengi wanapenda kuiliza. Eti Wewe ni kabila gani?
Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio maana wanapenda sana hili swali.
Mfano mdogo kipindi kabla mondi hajatoka alipenda kuitwa domo Kaya..
Ila baada ya kutoboa tu akageuka kuwa mtu wa kupendwa na kutamaniwa na wanawake?
Je mtu maarufu, hata kwa ujinga kwa nini hugeuka kuwa crush kwa mademu?
Swali la kizushi tu.
Wanawake wangekuja kusema ili tuone, je ni nini...
Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani...
Hii nilichelewa kuigundua aisee, baadhi ya wanawake wengi wanapenda wanaume machachali ambao wanatamaa ya tendo mda wote, na wanapenda ile siku ya kwanza tu unayokutana naye ukamuomba tendo na ukamlilia kabisa akakupe siku hiyo hiyo
Na ukimkuta yupo kwenye mood anaenda kukupa chap tu ...
Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio.
Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au...
Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani.
Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung.
Kashafika level ya kurusha ndege.
Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
Wapendwa.. Kwanini Watanzania wanapenda singeli.. kijana ukimpa nyimbo ya boni mwaitege na d voice au malume.. atachagua malume.. hivi hili mnalionaje???
Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho
Kwa sasa...
Kuna kautafiti nimekafanya,nimegundua wanawake vibonge na wenye mavitambi wanapenda sana style ya kuikalia kwa juu.
Hivi ni kwa nini wanaipenda sana hiyo style?
Wakuu naomba nielewe kidogo bila kubishana 😅
Je ni kweli wanawake wengi wanapenda pesa, au ni kauli tu ya watu waliopitia experience tofauti na wale wanaotafuta excuses na faraja ya umasikini wao
Nauliza kwa ajili ya kuelewa mtazamo wa watu 🙏
NACHANGANYIKIWA MIMI
Funny boe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.