madarasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Harambee ya Mbunge Yafanikisha Upauaji wa Madarasa ya Shule Shikizi Kiunda ya Musoma Vijijini

    HARAMBEE YA MBUNGE YAFANIKISHA UPAUAJI WA MADARASA YA SHULE SHIKIZI KIUNDA YA MUSOMA VIJIJINI Tarehe 12.1.2024 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo aliendesha HARAMBEE iliyolenga kukamilisha kazi ya upauaji wa boma la Shule Shikizi Kiunda ya Kijijini Kamguruki, Kata ya...
  2. A

    DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  3. Roving Journalist

    Ruvuma: Mkurugenzi wa Tunduru asema kuna Bajeti ya Tsh. Milioni 56 zimetengwa kujenga madarasa Shule ya Msingi Magomeni

    Baada ya picha ya madarasa ya Shule ya Msingi Magomeni ya Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kusambaa zikionesha uhaba wa Madawati na miundombinu chakavu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Chiza Marando amesema wanafahamu kuhusu changamoto hizo na kuna bajeti ya maboresho. Marando...
  4. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 1.8 za Mradi wa BOOST Zakamilisha Ujenzi wa Shule 2 Mpya na Madarasa 25 Halmashauri ya Ushetu.

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2 ikiwa ni Shule ya Msingi Shilabela Iliyopo Kata ya Ulewe Ushetu na Shule ya Msingi Kona Nne iliyopo...
  5. B

    Ridhiwani Kikwete achangia saruji ujenzi wa madarasa Chalinze, akagua miradi ya maendeleo

    Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Ndg. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara fupi katika kata ya Kiwangwa kuongea na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Kijiji kuhusu shughuli ya maendeleo katika eneo hilo. Katika kikao hicho pamoja na mengine mengi , Mbunge wa Chalinze...
  6. Wadiz

    Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

    Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa. Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka) Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
  7. Roving Journalist

    Mbeya: Mwanafunzi wa Form 4 akamatwa kwa tuhuma za kuchoma moto vyumba viwili vya madarasa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Serikali Iyela ya Jijini Mbeya aitwaye YESSE CHARLES [17] kwa tuhuma za kuchoma moto vyumba viwili vya madarasa vya Shule hiyo. Ni kwamba, Septamba 13, 2023 huko katika Shule ya Sekondari...
  8. BLACK MOVEMENT

    SoC03 Kujenga Madarasa Mapya kila mwaka sio suluhisho kwenye Elimu ya Secondary

    Tutajenga Madarasa Mapya hadi lini? Je kujenga Madarasa kila mwaka sio suluhu Kama kadri wanafunzi wanavyo ongezeka na madarasa mapya yanajengwa basi ni hatari na kuna wakati itafikia maeneo mengi yatakuwa yamegeuka kuwa shule, kwa hali ya sasa hadi viwanja vya michezo vya shule baadhi...
  9. Stephano Mgendanyi

    Ndejembi Hajaridhishwa na Usimamizi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Chemba - Dodoma

    NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMIZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA – DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb) hajaridhishwa na hali ya usimamizi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa na Ofisi katika halmashauri ya wilaya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Kiteto Lapewa na TAMISEMI Shilingi 180,000,000 Ujenzi wa Madarasa Shule Kongwe

    MBUNGE MHE. EDWARD KISAU - TUMEPOKEA FEDHA ZA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE ZA MSINGI KONGWE JIMBO LA KITETO - TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. *Edward Ole Lekaita Kisau anapenda kuwafahamisha wananchi wa Jimbo la Kiteto kuwa jimbo limepokea fedha...
  11. K

    Mabilioni yanusuru wanafunzi kukosa madarasa na madawati mkoani Arusha

    Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha, Hargney Chitukuro amesema kuwa mwaka huu hakuna mwanafunzi aliyekosa kuingia darasani kwa kukosa chumba cha darasa au dawati. Amesema wamefanikiwa kuepukana na adha hiyo kutokana na uamuzi wa serikali kutoa zaidi ya Sh. bilioni mbili kwa ajili...
  12. FRANCIS DA DON

    Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu. kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui. Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Tupate Katiba Mpya kabla ya uchaguzi 2025 ili waliojenga madarasa hewa kwa trilioni 1.3 waburutwe mahakamani

    Nimefurahi sana kusikia soon tutapata katiba mpya. Hii ina maanisha tutakuwa na katiba ambayo itatupa mamlaka wanananchi. Kwa katiba hii kama itasikia maoni ya wananchi basi tutakuwa na katiba ambayo itwajibisha wananchi. Tutakuwa na katiba ambayo rais na mawaziri wakizingua kwa ubadhirifu...
  14. BARD AI

    Wanafunzi 2, 000 warundikana kwenye vyumba 12 vya madarasa

    Wanafunzi 2, 084 wa Shule ya Msingi ya Mvinza Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanabanana katika vyumba 12 pekee vya madarsa vilivyopo shuleni hapo huku zaidi ya nusu yao wakikaa chini sakafuni kutokana na upungufu wa madawati. Kwa mujibu wa Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mvinza, Zacharia Charles...
  15. Analogia Malenga

    Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  16. M

    Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

    Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini. Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete. NB: Mimi siko genge lolote.
  17. BigTall

    Rungwe: Madarasa 6 ya Shule ya Msingi yaliyojengwa kwa Milioni 64 yazinduliwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu, leo tarehe 07.02.2023 amezindua vyumba sita (06) vya madarasa katika Shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji cha Katunduru, Kata ya Ilima. Mradi wa ujenzi wa vyumba hivyo umetekelezwa na Kampuni ya Bioland kupitia Mradi wa Cocoa for School kwa gharama ya...
  18. M

    Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

    Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima? Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko? Tupe majibu watanzania
Back
Top Bottom