Tumeajiriwa kama wataalamu wa Kata, lakini baadhi ya Watendaji wa Kata wanatulazimisha kubaki ofisini na kufanya majukumu ambayo kimsingi ni yao. Hali hii inaturudisha nyuma kimaadili na kiutendaji.
Tunachangishwa michango ya chama, wakati kwa maadili ya utumishi wa umma, wataalamu tunapaswa...
Nimefurahi kuwa Masanja Kadogosa umeteuliwa kuongoza wizara muhimu sana kwa nchi maana aliyepita alikuwa anazungukwa tu kwa kutokuwa na utalaam wowote kwenye hiyo sekta angalau wewe unauzoefu pengine hutazungukwa kiana.
Sina mashaka na uzoefu wako kwa kuwa ulikuwa uchukuzi wizara inayofanana...
Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi;
Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi!
Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa;
1. Wenyeviti wa mitaa
2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa
3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano utumiwe ipasavyo kufikisha ujumbe kwa viongozi na wananchi.
Hayo yameelezwa na Jumanne Abdallah...
Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora.
Kwa ufupi kuna matumizi mabaya ya madaraka na uingiliaji wa majukumu ya taasisi hiyo unaofanywa na...
Anonymous
Thread
hifadhi
mfukoni
mwekezaji
rais
tabora
timu
viongozi
wananchi
wanyamapori
watendaji
Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo.
Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja hivyo na kutoza tozo hizo ambazo ni kinyume na taratibu za mipango miji.
Kwa mfano mwananchi...
Anonymous
Thread
halmashauri
halmashauri ya mkuranga
kinyume
mauzo
mkuranga
ushuru
vijiji
viwanja
wanunuzi
watendajiwatendaji wa vijiji
Kuna uzembe wa kukithiri katika utendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (Government Procurement Services Agency - GPSA) Mkoa wa Arusha kipindi hiki kigumu, unaletaje gari moja ya mafuta inahudumia Kanda nzima ya Kaskazini.
Tuliomba wafanye shortlist ya baadhi ya vituo vya mafuta...
Anonymous
Thread
arusha
huduma
mafuta
serikalini
ununuzi
wakala
watendaji
wazembe
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu.
Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
Anonymous
Thread
awamu
halmashauri
kazi
masasi
mtwara
vijiji
watendajiwatendaji wa vijiji
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua mashine mpya za kisasa katika mikoa ya kikodi ya Ilala na Temeke kwa ajili ya kukusanya maoni ya wateja. Kulingana na Meneja wa TRA Mkoa wa Ilala, Bi Eva Raphael, amedai kuwa mashine hizi “zinajiendesha zenyewe,” na zinampa mlipakodi nafasi ya...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba Chacha ameandika:
Nataka niingie kwenye rekodi. Ili hata siku mtakapokuja kuniua, ibaki kwenye kumbukumbu. Naona sasa ni kama vile 'narrative' inabadilishwa kwa sababu ya propaganda! Ni hivi...
Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali mafisadi. Rushwa ndiyo imewafanya hawa askari watendaji kuchukuwa nchi.
Mfumo bora kwa nchi ni demokrasia tatizo hiyo demokrasia hatuna na vijana wanachoshwa na rushwa na familia tatu nchini kuendesha nchi kama yao pekee
Kwa takribani wiki nzima wakazi wa Nyegezi, Mwanza wamelazimika kuchota maji mitaroni baada ya huduma ya maji kukosekana kabisa bila taarifa yoyote kutolewa.
Cha kushangaza, ni baada ya malalamiko ya wananchi kuibuka ndipo Mwauwasa walitoa tangazo kupitia akaunti yao ya mitandao ya kijamii...
Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Claude Eric Ramanantoanina kuhusu njia bora za kuimarisha...
Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Kata wametakiwa kuitambua na kuithamini dhamana waliyopewa ya kusimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwenye ngazi hiyo.
Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari leo Agosti 06, 2025 alipotembelea na...
Kila nikiangalia ni kwa kiasi gani hii nchi ikebarikiwa rasilimali ila wananchi wanaishi maisha duni na ya dhiki, moyo unauma.
Ila najua shida zote tunazopitia wananchi ni zakutengenezwa na kikundi cha watu wachache wasiokuwa na huruma hata punje.
Watu hawa WANATUFANYIA ROHO MBAYA UTADHANI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.