chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mafundisho ya Kidini Yanavyopandikiza Chuki, Utengano, na Roho Mbaya Kwenye Jamii

    Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza chuki, na kuvunja hata mahusiano ya familia Ukiacha maneno matamu jukwaani apa na ukaenda kwenye...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kamwe usikubali kujihusisha na chuki za kidini

    Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia uhalifu kama wewe unavyochukia, rafiki yako Muislamu anachukia ubakaji kama wewe unavyochukia. Rafiki...
  3. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania BILA CHUKI BILA KUCHOKA

    Ahsante kwa wote waliotukimbia wakati tulipohitaji uwepo wao. Ahsante kwa waliotuona hatuna cha kuwashauri wala kuwasaidia; walitupa sababu ya kuwa bora zaidi. Ahsante kwa waliotuacha walipopata watu waliowaona bora kuliko sisi. Walitufundisha kuwa hata kivuli hupotea mwanga unapotoweka. Na...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Chuki za Balile na CHADEMA ni za wazi mno, je CHADEMA ikichukua nchi ataweka wapi sura na familia yake?

    Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala. Balile aliulizwa kuna waandishi wa habari na wahariri wapo news room lakini wakati wa uchaguzi walionekana live kuvalia nguo za...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwaipopo ni Muislam mwenye Misimamo Mkali, Mjinga asiyekua na akili , Mwenye Chuki na Ukristo , aliyeshindwa kujifunza Somo kupitia SHEIKH MAJINI .

    Uislam ni Dini iloanzishwa na Ukatoliki !!. TUNAJUA , Mpumbavu alipata MADARAKA, Jambo la kwanza ni kúanzisha vita na wenye Akili ili kuwadhoofisha. Hatua nyingine ,Huwa ni Kuwaita Wapumbavu wenzie na kuwaleta karibu. Mambo hayo mawili , huleta Anguko la TAASISI/NCHI. Endeleeni kumtuma...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

    Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa...
  7. Etwege

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaipiku Kenya kama mzalishaji mkubwa wa umeme. Aibu kwa Muhongo, Nape, Zitto

    Rais Magufuli alipotangaza ujenzi wa bwawa la umeme kuanza mara moja bila kujali sura ya mtu alipata upinzani mkali sana kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi. Nje ya nchi gazeti la economics lilikuwa linakuja na makala ndefu kuonyesha kuwa huo mradi ni white elephant na utasababisha madhara...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Siku hizi kuna chuki kubwa dhidi ya ukweli katika jamii yetu, watu wa kweli wanachukiwa

    Askofu wa Kanisa la Evangeliki la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amewataka viongozi kuheshimu na kuwajali watu wanaowaongoza badala ya kulewa madaraka. Akizungumza Agosti 31, 2026, katika ibada iliyofanyika Dayosisi ya Mwanga, Askofu Bagonza alisisitiza kuwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Napenda Kumjibu Mzee Warioba Ya Kuwa CCM Itaongoza Taifa hili Hadi Mwisho wa Dunia Na Ataicha ikiwa Madarakani. Aache Chuki Binafsi Kwa Rais wetu

    Ndugu Zangu Watanzania, Ni Ukweli ulio wazi Kuwa Mzee Warioba amelitumikia Taifa hili kwa Muda mrefu ,ni kweli kabisa Kuwa Mzee Walioba Anahitaji Kuheshimiwa siyo kwa Umri wake bali kwa mchango wake Kwa Taifa hili . Lakini Inakuwa inasikitisha sana kuona anajadili vitu kwa hisia tu bila...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke wa Kizungu Aweka Wazi Mzizi wa Chuki na Ubaguzi wa Rangi Dhidi ya Watu Weusi

    Nimekutana na video ya mama mmoja wa Kizungu ambaye ameamua kuongea ukweli mchungu na wa wazi kabisa kuhusu kile kinachowasukuma baadhi ya watu weupe (wazungu) kuwachukia watu weusi. Mama huyu hakuficha hisia zake na ameeleza kwa kina jinsi ubaguzi huo unavyofanya kazi na historia yake...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe 1/2 fidia - kuzima chuki.

    Kosa limeshatokea Kwa watumishi wake kuleta madhara yasiyo tarajiwa. USHAURI ; 1. Serikali ishiriki kikamilifu katika hatua zote stahiki Kwa kutoa ushirikiano Kwa wazazi. Ingawa serikali Haina kosa kabisa ( haijathibitika kosa ni la wahanga au watumishi wake) 2. Hekima,busara na uvumilvu...
  13. Soul21

    JamiiForums Tanzania Matusi kwa Wasomi ni Ushindi au Chuki zilizozikwa kwa muda mrefu?

    Kuna kauli moja inasema hivi, Naomba kuwauliza kitu kimoja, unaweza kuona MO au BAKHERSA AU GSM akikosoa na kutukana wasomi? Hapana kwa sababu ndio walioshikilia utajiri wao katika uzalishaji. Sasa wewe mpendwa uliyepata pesa ambazo hata watoto pia ukifa leo hawawezi kurithi kwa sababu...
  14. feyzal

    JamiiForums Tanzania kitendo cha polisi watupa mzigo wa chakula Cha raia kwenye mtaro wa maji machafu sio cha kiungwana.

    Salaam. Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba mzigo wa maguni ya maharage sasa polisi wakamkamata sasa badala ya kufuata sheria jambo la kwanza wao...
  15. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Furahi na wenzangu, ndo maisha - sitaki kujenga chuki (Kalikawe) ... sahihi, chuki na hasira bila msingi zitakutafuna

    https://youtu.be/-f-uON139bw?si=2E6ydXbWK3vumHvA
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuki wanazotengeneza Mgambo wa Ilala ipo siku watayaona matunda yake

    Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta). Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja Mgambo wa Jiji wakaniambia ni wrong parking tukabishana pale, wakawa wanataka twende Lumumba au...
  17. idiomer

    JamiiForums Tanzania Chuki iliyokuwa nchini hapa ni kubwa sana. Tunajiponyaje?

    Ukianza kwenye music kuna chuki hatari huyu haimbi na yule, yaani miaka 30 ya bongoflava watu wengine muhimu hawapo? Wamebanwa? Au kuna chuki Siasa nako ndio hatari Ndugu ndio usiseme Nchi hii itaonekana
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi. Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kwanini mission za kuiua na kuifuta CHADEMA kisiasa zinafeli na kwanini Serikali inaambulia chuki kutoka kwa Wananchi badala ya mafanikio?

    Kumekuwa na kufeli kwa mission nyingi za kukiondoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uso wa siasa zetu, majaribio yote yameishia kuwa kituko cha awamu husika, propaganda za kitoto dhidi ukomavu mkubwa wa kisiasa ambao jamii yetu inao kwa sasa zimeisha kuwa chuki dhidi ya serikali. Baada...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania So sad RC chalamila kauli zake zinahamasisha maandamano na kuongeza hamasa maana zinachochea hasira na vaibu na chuki watu kuingia barabarani.

    RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
Back
Top Bottom