Kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Ridhiwani Jakaya Kikwete ametangaza kuwa atagombea uraisi na kuwatumikia watanzanai mwaka 2030.
Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya taarifa, umebaini kuwa madai hayo...
Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan.
Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania.
Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha.
Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao.
Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Tusipokaa sawa na kuwa makini na waangalifu tutajikuta tunajenga Taifa ambalo vijana wake muda wote na mwingi wanajadili Majungu ,Umbeya ,Uzushi ,uongo ,upashikuna na ushakunoko. Tutajikuta tunajenga Taifa ambalo watu wake na vijana wake wanashinda na kutumia muda wate...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amekemea tabia ya baadhi ya maafisa rasilimali watu (Human Resources) kuwachongea watumishi wa umma wanapohamia taasisi nyingine kwa kutoa taarifa hasi zisizo za kitaaluma.
Akizungumza Juni 1...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, akizungumza katika Mkutano wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara/Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Wizara, Idara zinazojitegemea,Wakala za Serikali, Taasisi na...
Wanabodi,
Kwanza watch TBC Live Mubashara https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI
Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!
Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameeleza Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000
Waziri wa Nchi, OR Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema, "Kumekuwa na maombi mengi sana ya baadhi yetu kuomba kubadilisha vituo vya kazi. Nitoe rai, hatutakuwa na mabadiliko ya vituo vya kazi kwa sasa. Nafasi zote zimetolewa kulingana na uhitaji wa kila...
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete.
Mkutano kati ya tume na Waziri Ridhiwani...
Niwaonye tu viongozi wetu wa Sekretarieti ya Maadali kwamba, msije mkaingia mkenge huo. Kila siku akikutana na ninyi lazima ajisemeshe na kulialia, tunataka ateme ndoano kabisa
Sisi tunaokaa na huyo Kikwete na huyo Mwigulu tunajua mali zao ambazo hazijaandikwa kwenye makaratasi yenu.
Wanataka...
Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
Simtetei kuwa hausiki na ufisadi na nepotism inayombeba kiasi cha kupewa wizara nyeti kama hii anayoisimamia.
Lakini kitendo cha kukilri hadharani kuwa tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa CCM ndio zilisababisha wananchi kuichukia CCM na kuandamana Oktoba 29 ni dhahiri kuwa yupo makini kuliko...
Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki.
Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli.
Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio Picha ya Siku kutoka Bungeni ikiwaonyesha Viongozi wetu na watumishi wetu Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete pamoja na Mheshimiwa Jesca Magufuli vijana wetu wachapakazi,wacha Mungu,wapole wanyenyekevu,wasio na Makuu wala majivuno wala kiburi wala dharau kwa mtu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete, amesema serikali ya awamu ya Sita imefanikiwa kufungua milango ya ajira kwa watu wenye ulemavu ambapo zaidi ya watu 1,213 wameajiriwa katika taasisi mbalimbali za umma
Amesema ajira hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.