tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo acheni uduwanzi wa kisiasa. Kama mlitambua tume ya uchaguzi ni batili na haiko huru mliingia kwenye uchaguzi ili iweje?

    Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74. Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani. Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Act Wazalendo acheni uduwanzi wa kisiasa. Kama mlitambua tume ya uchaguzi ni batili na haiko huru mliingia kwenye uchaguzi ili iweje?

    Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74. Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani. Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Kwa matokeo yale Tume ya Uchaguzi ndiyo ilipiga kura sio Wananchi

    Kwa hali ile ya siku ya uchaguzi sio rahisi kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura walijitokeza na mshindi kupata hizo asilimia 97%. Mwandishi: Kwahiyo matokeo yale ni ya uongo. Warioba: Ndio.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ivory Coast Yaivunja Tume ya Uchaguzi Baada ya Shinikizo la Wapinzani

    Serikali ya Ivory Coast imevunja Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) baada ya malalamiko ya muda mrefu na kutoka kwa wapinzani kuhusu jinsi chombo hicho kinavyoendesha chaguzi nchini humo. Hayo yamesemwa na msemaji wa serikali, Amadou Coulibaly, siku ya Jumatano. Coulibaly aliuambia mkutano na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa Ubunge kutoka kwenye vile vyama 14 "waipongeza" Tume ya Uchaguzi kwa kuendesha vyema Uchaguzi mdogo jimbo la Peramiho

    Wagombea Ubunge wa Jimbo la Peramiho kutoka Vyama Vya Siasa 14 NLD, AAFP, MAKINI, UMD, UPDP, DP, CCK, TLP, UDP, SAU, NCCR MAGEUZI, ADA TADEA na ADC vilivyosajiliwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa sura ya 258, kwa umoja wao wameamua kuja na tamko la pamoja kuhusiana na mwenendo wa...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi Zambia yakanusha kuja kujifunza namna ya kuendesha uchaguzi kutoka TANZANIA

    Zimekuwepo tetesi huko nchi Zambia kuwa tume ya uchaguzi ya Taifa hilo Iko TANZANIA kujifunza namna za kufanya chaguzi ECZ imekanusha vikali kuwa haina lolote la kujifunza kutoka TANZANIA kuhusu mambo ya uchaguzi Zambia wanatarajia kufanya chaguzi mwezi August
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yateketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeanza utekelezaji wa zoezi la kuteketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu uliofanyia Oktoba 29, 2025 ambapo zoezi hilo limeanzia Kisiwa cha Pemba na baadae Kisiwa cha Unguja. Akizungumza kuhusu zoezi hilo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jaji George Joseph...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: Maafisa wa Tume ya Uchaguzi Uganda wakiwa wanatiki kwenye karatasi ya kupiga kura

    Wakuu, Masaa baada ya Rais Yoweri Museveni kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Januari 15 kwa kupata asilimia 71.65 ya kura, kiongozi wa upinzani Bobi Wine ameweka video fupi kwenye X ikidai kuonyesha maafisa wa Tume ya Uchaguzi wakiwa wamevaa vesti za NRM wakiandaa karatasi za kupigia kura kwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwenyekiti tume ya Uchaguzi Uganda atishwa

    Siku mbili kabla ya Uchaguzi nchini Uganda, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini humo Simon Byabakama amefichua kwamba amepokea vitisho juu ya kutangaza mshindi katika uchaguzi huo. Byabakama alikuwa akizungumza na BBC mara baada ya kumaliza kutoa taarifa na vielelezo vingine juu ya zoezi la...
  12. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany). Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

    Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati. Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ichague kusambaratika kwa ajili ya CCM, Vita vya Udini na Ugaidi, au ikubali katiba mpya na Tume ya Uchaguzi ili ipone

    Hiki ndiyo ninachokiona mimi,tukubali kuikumbatia CCM ambayo inafanya kila aina ya hila ili iendelee kubaki madarakani huku watu wachache wakinufaika na rasilimali za inchi kwa mgongo wa Amani, au tukubali kuingiza nchi kwenye machafuko yanayokuja mbele yetu kuanzia Udini,Utanganyika na...
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Nadhani wa kulaumiwa au kushtakiwa ni tume ya uchaguzi

    Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika vituo vya kupigia kura. Na ni kweli mabox ya kura yaliharibiwa. Je, tume ilipaswa kufanya nini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC). Tutakwenda mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ili kulinda hadhi yake na Majaji wengine ajiuzulu

    Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
  19. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania TUMEFANIKIWA KULICHUKUA GARI LA TUME YA UCHAGUZI

    👇👇
  20. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Uchaguzi wanatafuta kitu? Waache ule ujinga mara moja

    Tume ya uchaguzi wanapaswa kutulia mara moja huu ujinga wakutangazia matokeo hewa waache kabisa hatuna utani.
Back
Top Bottom