Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika.
1. Msiba mkubwa watokea
2. Kimeumana Mabibo
3.Heche amaliza kazi
4. Kimenuka
5...and much more of this type!
Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja
Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
Nikiwaza hili ni jambo nitakalokuwa nafanya kila siku asubuhi hadi jioni kipindi chote cha maisha yangu kama chanzo changu cha kipato na utambulisho wangu , inachosha!, uhuru kidogo, naona kama niko boxed kwenye maisha.
Inanilazimu kutafuta namna ya kuipenda hii taaluma ili niwe na moyo wa...
Wakuu habari za muda huu 🤝
Kuna namna fulani threads za hapa JF zinavyokuwa na mambo ya taasisi mbalimbali zinazolipa vizuri Tanzania, ukizisoma unajikuta unasema, “Dah, Mungu siku moja na mimi anione.”
Aisee kuna baadhi ya threads ukikaa ukasoma experiences za watu, career journeys zao...
Unaweza ukajihoji kuwa ulipoteza muda kupigania taaluma uliyonayo.
Vichwa vyenye rutuba inayoweza kustawisha Ujinga vinazidi kuongezeka.
Uongo unaweza kuwa moja ya bidhaa pendwa na muhimu kwa uhai wa serikali na viongozi feki.
Wanufaika wanapambana kwa kukaza hadi mishipa ya nyoro kama...
KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako'
(i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali.
(ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview.
(iii). Tumia career...
Wakili anatoka kwenye chumba cha mahakama ambako kesi fulani bado inaendelea kusikilizwa. Baada ya kesi kuahirishwa wakili huyo msomi anatoka nje kidogo tu ya jengo la mahakama na kukusanya vyombo vya habari vya ndani na nje pamoja na kundi la wananchi ambao pia walikuwepo ndani ya ukumbi wa...
📢 FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA 🇹🇿
EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY 🇳🇴
Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
Ukifika pale kituo cha msimbazi kariakoo sana sana labda vyumba vya wakubwa ila wote waliobaki ni kama ofisi za walimu Temesa walivyo.
Uwezi kuelewa kompyuta inakaa wapi,foil ya chips na vidari vya nani,madaftari ya mwanafunzi gani yani vurugu tupu.
Huko nje yani utazani vijiwe vya kahawa na...
Naomba wakubwa mtusemee labda nyie watawasikiliza.
Kuna ucheleweshwaji wa utoaji vyeti vya taaluma usio na sababu ya msingi katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM hii inatuwia vigumu tunaotoka mikoani.
Wiki ya nne sasa hatujapata vyeti na hatuna makazi maalumu ya kuishi tumelazimika...
Kutokana na mambo ya AI kwasasa mambo mengi sana ya kitaaluma yanabadilika na yatabadilika kabisa. Je, kwa mtu mwenye taaluma ya mambo ya MATHEMATICS na DATA kiasi, na akataka kutafuta eneo la kubobea kwa kujifunza mwenyewe na kujisomea kupitia online-platform. Unaweza kumshauri nini kwa...
Najaribu kufikiri kuwa kuna namna Viongozi wa Kisiasa ni lazima nao wawe na taaluma ya Uongozi (Governance) kama wanavyo toa matamko kwa waandishi wa Habari
Orodha kamili ya taaluma za afya na aina ya biashara mtu anazoweza kumiliki/kujiajiri bila mtaji mkubwa—mfumo wa “Skill → Business” (Taaluma - Biashara).
📌 ORODHA YA TAALUMA ZA AFYA NA BIASHARA ZAKE ZA KUJIAJIRI
1. Pharmacist (Mfamasia)
Huyu ni mtu aliyesomea kuhusu Dawa za magonjwa ya...
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
She graduated in law in 2018 from the online Open...
Habari Tanzania !
Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari, Ukandarasi, Ufanyabiashara, Udereva, Uhasibu, nk na masomo baada ya Mtoto kujua kusoma na kuandika ...
Mawakili ndio taaluma pekee inayoongoza kuwa na bifu na polisi, na kila kukicha utasikia wakili fulani anatafutwa na Pongo, mara wakili fulani kashitakiwa kwa kosa fulani tofauti na taaluma za kada nyingine. Utasikia wakili madeleka, wakili kibatala, mwanasheria Tundu lissu, mara sijui...
Et unasikia kiongozi flani anampa maagizo kiongozi wa ngazi au taasisi flani, inamaana hiyo tasisi haijitambua kabisa mpaka ifanye kazi kwa maagizo na maelekezo.
Basi kuna haja gani ya kuajiri wasomi ninasema hivyo baada ya kuona baadhi za kesi za kuonewa mpaka watu wapewe maagizo ndiyo haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.