mitaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna nini jijini Arusha magari ya delaya na askari wametapakaa mitaani?

    Kuna hatari gani kwenye hili jiji? Askari wametapakaa kila kona. Magari ya delaya yanazunguka mji mzima. Mimi nikiwa mgeni nimepata hofu kubwa sana.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi Aendelea Kuikausha na Kuiteketeza CHADEMA Mitaani. Mkutano Wake Waondoka Na Mwandamizi Aliyekuwa Msaidizi Wa Alli Kibao

    Ndugu zangu Watanzania, Moto Uliowashwa Na Katibu wa Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM Taifa Ndugu Mheshimiwa Kenani Laban Kihongosi Unaendelea Kuuteketeza Na kuukausha Upinzani mitaani Hususani CHADEMA. Ambayo Wanachama wake wengi wamezinduka kutoka Usingizini na kuanza kuondoka na kukihama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Dar kwa sasa tunahamisha taka mitaani tunapeleka Pugu Kinyamwezi, tumeamua kuanza mpango wa kuchakata taka kuwa Umeme, Gesi au Oil

    Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta kusafi lakini Pugu Kinyamwezi kuchafu. Sasa tumekubaliana jambo gani? Kwamba kwa sasa tuingie kwenye...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

    Swali la pili. Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari. Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Mambo ni...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mitaani wananchi wanaamini mpishi wa Dk Nchimbi alikula chakula chenye sumu akafa. Serikali ipo kimya na haikanushi

    Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli. Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema badala ya kuomba michango mitaani jifunzeni kwa Madam Esta Bulaya amewekeza kwenye kilimo cha kisasa

    Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini. Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini majiji ya Tanzania hayana Dustbin za takataka mitaani?

    Kama nimekunywa maji ya chupa au soda take away nimemaliza halafu niko natembea Mwanjelewa serikali inategemea nitupe wapi hiyo chupa ya plastic??
  8. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania T-shirts za Home boy gear (African map wear) zimeanza KUINGIA mitaani

    Watch
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Maini yanauzwa 2000 au 3000 kwa ndoo mitaani, je ni salama?

    Wakuu Leteni hoja Ini ndo lina dili na sumu vipi hizi za mitaani
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ wazagaa na bunduki mitaani huko Arusha

    Kumeanza kuchangamka. Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu. Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7. Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana. Kisiwa chetu cha amani...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mbona kalenda za picha ya mama hazipo mitaani na anakubalika 97%

    Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli, Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana. Inavyoonekana sijui ni nani...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yaja na mpango wa miaka 10 ujenzi wa bandari kavu mitaani

    Kutokana na ongezeko la mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, Serikali imekuja na mpango wa miaka 10 kuanzia Julai 2026 kwa ajili ya kupanua maeneo ya kuhifadhi mizigo kwa ujenzi wa bandari kavu (ICD) mitaani. Hayyo yameelezwa Juni 16, 2026 na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kusambaza vipeperushi mitaani kukakataa kushirikiana na Wazanzibari

    Nikiwa sina hili wala lile nimekutana na habari kuwa Zanzibar haina hela ya kuwatibia Watanzania wanaokaa Zanzibar kwa sababu sio Wazawa. Gen-Z msipitwe na hii fursa kama mnavoandika vipeperushi vya maandamano kuna haja ya kuandika vipeperushi vinavyotaka Wazanzibari watengwe na kurudi kwao ama...
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wenye Shahada za elimu katika masomo ya sanaa wasiajiriwe shule za msingi ili kupunguza idadi ya wahitimu wa fani hizo mitaani?

    Huu ni mjadala huru : Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao. Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
  15. Stroke

    JamiiForums Tanzania Itungwe sheria kuzuia uchomaji wa Taka ngumu mitaani

    Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani. Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu. Unakuta taka zina nailoni mbali mbali na materials nyingine ambazo zinaweze kuwa na madhara ya kiafya kwa wakazi wa maeneo hayo.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanahangaika na mikutano ya mitaani wakati hawana hata balozi mmoja hivi vyama vinaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana

    Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii, Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida ipi? Hii sasa ni vurugu Sheria itungwe kuwazuia.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  19. UTPC

    JamiiForums Tanzania Tani 100 za taka zinavyobaki mitaani Morogoro

    Maisha ya wakazi takribani 59,939 wanaoishi katika Kata za Magadu, Mafisa na Chamwino ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro yako katika hatari kubwa ya kiafya kutokana na kukithiri kwa uchafu wa taka ngumu katika makazi yao. Uchunguzi uliofanywa na Nipashe umebaini kuwa katika maeneo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Imefikia pabaya sana. Mnakaa mitaani na kuomba viongozi wenu wauliwe kama wale wa Iran!

    Naona mmewachoka na mnawachukia sana. Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa. Hii ni sababu ya nini? Cake ya taifa?
Back
Top Bottom