Kama wewe ni Mtumishi wa Umma na Umeomba uhamisho kutoka Taasisi Moja na kwenda nyingine basi tukutane hapa kwa ajili ya kupeana updates, najua kuna watu maombi yao yamefika Utumishi siku na miezi mingi imepita bila majibu basi tuzidi kupeana infos hapa ili kama wewe mwenzetu umefanikiwa...
Taasisi Za Umma Nyingi Zinazohusika na Vibali (Regulatory Authorities) Kama BRELA TBS TMDA TCRA NEMC EWURA LATRA TRA OSHA GCLA n.k
Hebu Ifike Hatua Tufanye Kazi Kwa kuwezesha zaidi na si kuzuia Kwa Mfano mzuri Mjasiriamali Anapata Wazo La Kuanzisha Biashara Kama Crips tu Za Kawaida Anatafuta...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo.
Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO.
Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
Vibali vya kazi vinavyotolewa na mfumo wa Taesa haupo sirias mda mwingi kuja system error na hata pia huchkua muda mrefu kupata kibali mbali na mhusika kashakamilishamilisha mahitaj viambata na malipo.
Ikiwa kuna lolote, ni vyema wakatoa update nini kinahitajika mhusika aweze kukamilisha kukaa...
KARIBU KWA HUDUMA BORA ZA UJENZI
Huduma zetu ni kama zifuatazo
1.Ramani za nyumba aina zote
2.Kuanda makàdirio ya ujenzi Yani B.O.Q
3.Ufatiliaji wa vibari vya ujenzi na Mabango
4.Ujenzi na usimamizi.
5.Uhuishaji majengo(Renovation)
5.Ushauri wa kitaalamu wa Ujenzi.
Karibu tukuhudumie,,huduma...
My Take
Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo.
https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
Watu wa nje wanaotaka kupata vibali vya kazi siku hizi wanapata changamoto kubwa.
Zaidi ya mwezi mmoja sasa mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) haufanyi kazi. Hii ina maana kwamba maelfu ya watu wa nje wanasubiri mpaka watakapoweza tena kuanza au kuendelea na kazi kihalali.
Hii ishu sio kero tu...
Anonymous (8b17)
Thread
kazi
mfumo
mmoja
mwezi
mwezi mmoja
shida
vibali
zaidi ya
Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha:
Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini.
BASATA imesema yeyote atakayekiuka agizo hilo atatozwa...
Kwa hakika, Tanzania tunaendeshwa na aina mpya ya uongozi—uongozi wa “ada kwanza, fikiria baadaye.” Tanzania tuna viongozi vichwa maji kupita maelezo. Barua ya BASATA inayotaka MC wa sherehe na MaDJ wote kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo Januari 31, 2026 imepokelewa kwa mshangao mkubwa na...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) itatoa vibali kwa daladala kwa njia ya Kimara ili kusaidia usafiri kutoka eneo hilo, awali abiria wa eneo hilo walitegemea usafiri kutoka kwenye mabasi yaendayo haraka maarufu Mwendokasi.
Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 .
Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k
Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa).
Utaratibu uliopo...
Anonymous
Thread
katika
kusafiri
mahojiano
maombi
marekani
tanzania
ubalozi
ubalozi wa marekani
upande
utaratibu
vibali
Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa viongozi wawili wakuu wa kundi la Taliban, ikiwatuhumu kuwatesa wanawake na wasichana nchini Afghanistan.
Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague ilisema kuna "sababu za kutosha" kuamini kuwa Kiongozi Mkuu...
Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI.
Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
habari ndugu zangu. naomba kujua vibali vinavyohitajika hapa Tanzania ili kuniwezesha kufanya biashara ya TUmbaku ndani na nje ya Tanzania. ( kununua na kuuza nje ya Tanzania)
Habari, wana-JF naomba kueleweshwa kuhusu vibali vinavyohitajika kabla sijafungua biashara mpya, maana kuna kauli za kisiasa na sheria zilizopo vinanichanganya.
Ikumbukwe, mwaka 2023 ilitoka kauli kutoka kwenye serikali ya Samia kuwa wafanya-biashara wapya watapewa muda kufanya biashara kwa...
Kwa sasa kibali kinatolewa kwa dola 20,000 ambacho wawekezaji wengi wanakimudu hivyo kufanya mbuga zetu kuzidi kuharibika na kuathiri asili yake. Kwa mujibu wa muongoza watalii Simon Sirikwa ni kuwa kwa sasa Serengeti imekuwa kama Ngarenaro. Majengo mengi na binadamu wa kutosha. Hii ina athari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.