kuajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

    Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote. Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Rais Samia kwa hili la kuruhusu Mashirika ya Umma kuajiri nakupa pongezi sana

    “Kuna mashirika ambayo wenyewe wangehitaji ajira za harakaharaka lakini unaambiwa subiri Tume ya Utumishi ikae, subiri sijui utumishi ifanyeje mwaka mzima taasisi kwa mfano TRA inataka watu wakakusanye mapato mwaka mzima watu hawajapatikana, vivyo hivyo TANESCO, REA wanataka watu utumishi paka...
  3. Mzeru_

    Azam wanatumia njia gani kuajiri wafanyakazi?

    Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie kama kuna nafasi. Swali: 1. Je, unapeleka cv ofisi zao? Na kama unapeleka je ofisi zao ziko wapi? 2...
  4. E

    Mambo 3 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuajiri Dereva

    Hivi unajua kwa 90% madereva wamekua chanzo cha biashara ya usafirishaji kufa. Haya ndio mambo unayotakiwa kuzingatia wakati wa kuajiri dereva Uzoefu wa Dereva; Bila kujali watakua wakiendesha nn, ni muhimu kuangalia uzoefu wao. Ikiwa unatafuta mtu anaeweza kufanya kazi katika jiji la Dar es...
  5. Chikenpox

    Kwanini ktk awamu ya tano ajira binafsi na umma zilikata

    Kipindi Cha awamu ya tano ya jpm ajira zote ziliyeyuka ikawa kila msomi ambaye Hana ajira anafikilia kuwa machinga na rais anafurahia Hali hiyo. Tukianza na private sector kama mabank, hospitali binafsi au shule binafsi hazikiwa zinataka kuajiri kabisa na zaidi sana zinapunguza hata waliopo...
  6. JanguKamaJangu

    Sierra Leonne yapitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kuajiri wanawake kwa % 30

    Sierra Leone Alhamisi imepitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kutenga asilimia 30 ya kazi zao kwa ajili ya wanawake, katika juhudi za kukabiliana na ukosefu wa usawa wa kijinsia katika jamii inayopendelea wanaume. Rais Julius Maada Bio alisaini mswada huo kuwa sheria...
  7. M

    Ahadi ya kuajiri askari wapya wa wanyamapori itatekelezwa lini?

    Ahadi ya Ajira ya kuajiri Askari wapya wanyamapori itatekelezwa lini?
  8. FRANCIS DA DON

    Nimebaini kuajiri watu wenye wivu, husda na roho za kichawi TRA ni kuhatarisha ustawi wa nchi kiuchumi

    Unajua kuna watu wana enjoy kuona wenzao wakianguka na kuwa chini, in short wana roho za kichawi. Hongera Simba kwa kuokoa sekta ya banking nchini kwa kurudisha imani kwa depositors, maana kila mtu alishaanza kukimbiza pesa uswiss.Taifa lilikuwa linaenda kuanguka vibaya.
  9. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Ni muda wakuziacha taasisi ziajiri zenyewe ili kuokoa muda wa kuajiri

    Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri. Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana. Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Mfumo wa kuajiri kupitia Ajira Portal na kuita watu kwenye usaili physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi

    Naomba serikali iliangalie hili. Katika utafiti niliofanya nimegundua jambo hili: Mfumo wa kuajiri kupitia ajira portal na kuita watu kwenye usaili wa mchujo physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi. Fedha zinazotumika kusafirisha maafisa utumishi kutoka ofisini kwao...
  11. Cobra70

    Ni muda muafaka sasa wa kuajiri Psychologist kila Tarafa na baadhi ya Idara za Serikali

    Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu. Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu amefanyiwa hujuma, usaliti, magonjwa ya muda mrefu, kipato duni, kufukuzwa kazi, kukosa ajira, ugomvi wa...
  12. T

    Tuwe wakweli kwa hali ya kimpira tuliyo nayo Tanzania, kuajiri kocha MGENI ni kumzawadia mihela ya bure tu

    Kwa yeyote anayehusika na jambo hili ikiwa ni mchengerwa au karia ama mwingine yeyote akitumia akili yake bila kuipeleka likizo atakubaliana na mimi kwamba Kwa wachezaji wa timu ya taifa tuliyonayo sasa ni uharibifu wa mali za umma kuleta kocha Toka mataifa ya kigeni. Kama wadau wako serious...
  13. Sijali

    Si vibaya kuajiri akili kubwa kutoka nje!

    Napenda tu kuwakumbusha watawala wa Tanzania kuwa mambo yanaposhinda si vibaya kutaka msaada wa kiakili kutoka nchi zilizofanya vizuri. Nasema hivi kwa maana naona gap kubwa ya uongozi mzuri katika Wizara na sekta nyingi Tanzania. Ukichunguza vizuri utaona mapungufu hayo kwa kweli yanatokana na...
  14. Inkotanyi 94

    Bar/pub na mziki mkubwa: Wenye bar tambua kuajiri mameneja na ma dj maskini wa kufikiri inawaharibia biashara

    Heshma kwa wadau rika zote. Nadhan tumeshakubaliana kuwa hasa tuishio mjini imeshakuwa tabia mbaya kurudi nyumban mapema sana baada ya mihangaiko. Isitoshe mipango hufanyika bar sio kufuatana majumban! Na hivi wenye wake wanakwepa visiran vya wenza ili zisitolewe saba mkupuo. Unakuta mke...
  15. fullcup

    Namba za NIDA zitumike kuajiri walimu na wataalamu wa Afya

    Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani. Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
  16. B

    Kuna umuhimu wa kuajiri wasomi Tanzania?

    Tanzania kina mihimili mitatu, mihimili yote inaajiri wasomi wengi wakiwa na first degree na kuendelea huu wachache wakiwa naelimu ya sekondari. Upo wakati watanzania walilalamika majeshi yanapotoa nafasi za KAZI Kwa wahitimu wa kidato Cha nne ambao walifauli Kwa wastani mdogo. Hata Wananchi...
  17. Riz king

    Kigezo kipi hutumika kuajiri watumishi kupitia Tamisemi tofauti na connections?

    Kuna jamaa tuko naye home kashadharaulika sana mtaani yeye ni Clinical officer kamaliza 2017 ana miaka 30 na kaambatanisha barua ya kujitolea toka kwa Daktar mkuu wa wilaya kakitolea takriban miaka mi3 lakn safar hii ndo Dr mkuu wa wilaya akaamua kumpa barua sababu kasota sana pale hospital bila...
  18. Kang

    Google imeanza kuajiri ofisi yao mpya ya Nairobi

    Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata! Google to set up first Africa product development centre in Nairobi Build for Everyone - Google Careers
  19. P

    Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Salaam! Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10, Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini. Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali...
  20. Suley2019

    Ajira kwa watoto bado imetamalaki katika nchi nyingi za Kiafrika huku kilimo kikiongoza katika kuajiri watoto

    Ajira kwa Watoto ni kazi ambazo huwazuia watoto kuishi katika utoto wao, kuwavunjia utu na heshima yao pamoja na kuathiri ukuaji wao wa mwili na akili. Zaidi ya hayo Ajira kwa Watoto ni zile ambazo huingilia masomo yao kwa kuwanyima fursa ya kuhudhuria shule; kuwalazimisha kuacha shule kabla ya...
Back
Top Bottom