Hamjambo!
1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote.
2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu.
3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka.
4. Adui zetu...
Watanzania wenzangu,
Tukio la Oktoba 29 lilileta maumivu, sintofahamu na migawanyiko ambayo hatutamani ijirudie kamwe. Amani ya nchi yetu ni hazina kubwa, na kama taifa, tunapaswa kutafuta njia mbadala, zenye hekima na utulivu ili kufikia makubaliano kwa hoja, si chokochoko.
Ndugu zangu, hebu...
Hakuna mwanasiasa anayesapoti mauaji na wala hatotokea ,wote watakana kuhusika ...it is done!
Kamwe usijiingize kwenye vurugu na kamwe usifikiri kutumia nguvu kufanikisha jambo lako unless una nguvu ya ziada.
sasa tujenge Taifa na tukutane 2030
Wana CCM sasa hawana amani na chama chao, wamekochukia chama chao,wameishiwa kiherehere wamekaa hawaamini yanayo endelea wamebaki kulalamika chinichini tu
Hii ndio faida ya kile mnacho sema na kuimbiana kwamba chama kwanza taifa badae mkiaminishana mnawakomoa CHADEMA huu ni mfumo mlio uasisi...
. Katika jamii yoyote inayotaka kustawi, tofauti za mawazo ni jambo la kawaida na lenye afya — lakini namna tunavyoyashughulikia hayo mawazo ndicho kinachojenga au kubomoa.
Matusi, kejeli na dhihaka haziwezi kuleta suluhu ya changamoto zetu kama Taifa. Badala yake, huchochea hasira, kuharibu...
Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 uliibua hisia tofauti kwa Watanzania. Wapo waliouona kama hatua ya kidemokrasia, lakini pia wapo waliobaki na maswali kuhusu mwenendo wake. Pamoja na hayo yote mambo haya yanahitaji mazungumzo, maridhiano, na dira ya pamoja.
Tumefikaje hapa? Jibu linaweza...
Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu
Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa
Kweli watu...
Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi.
Bila kupepesa macho CCM kwasasa wanajificha kwenye udini ukihoji uhalali wa uchaguzi na mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi,katiba mpya utaambiwa wewe unamchukia Samia kwasababu yeye ni muislam.
Hapa JamiiForums na kwenye mitandao mingine ya kijamii...
Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona.
Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado KKKT walitoa nyaraka mbalimbali kumsema na kuituhumu Serikali yake kwa ukandamizwaji wa haki za...
Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe?
Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
Tanzania haina kiongozi Mkuu wa Nchi tena,
Ni kundi la watu wachache waliokimbilia Dodoma na kufungia mkoa mzima, wakaamua kuchagua Tarehe 29 kupora Madaraka ya Nchi ya wananchi.
Ni wazi shairi Samia, Nchimbi na Kamati kuu ya CCM iliyojificha Dodoma, imetangaza Uasi na uvunjifu mkubwa wa...
Nyinyi Waislam Wanafiki Wa Tanzania Mlikuwa wapi wakati huu masheikh wanateseka kwa dhulma mliwahi kuitisha maandamano au kupiga kelele zozote za kuwaunga mkono hata huku Mtandaoni..?
Kwasababu hawakupigania maslahi ya dunia yenu mkawaacha na wengine walikaa zaidi ya miaka 15 jela bila kosa...
Ili watu wawe huru kutoa mawazo na hisia zao lazima mazingira yawe rafiki. Hata hivyo kuna wakati watu huwa na mazingira yasiyo rafiki kwa kuwa watu wanahitaji mawazo ya namna fulani au yanayosapoti tu. Wakija watu wenye mawazo tofauti hupewa jina la "wabishi". Neno ambalo lina maana ya kwamba...
Yule fedhuli mwenye roho ya korosho,
Mwenye hoja zisizo mashiko,
Anadhani katiba ni hadithi za esopo,
Kila mara hutoa boko,
Kwasasa amekosa soko,
Kila kona mi miwasho,
Mikali zaidi ya ile ya uamsho,
Ataipata ya joto,
Kiti kitawaka moto.
Wahuni wenye mikoko,
Wanaotegemea pisto...
Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka.
Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi.
Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
https://youtu.be/H1nHdmCnduI
Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya.
Utangulizi
Jumamosi ya tarehe 4...
Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi.
Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani?
Fidel Castro
Paul Kagame
Assimi Goïta
Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi.
Kwa tafsiri rahisi, kama kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.