Kamwe also spelt Kamue) is a Chadic language autochthonous to Adamawa State, Borno State of Nigeria and North Western Cameroon.
In Nigeria about 80 percent of the Kamwe people are found in Michika Local Government Area of Adamawa State, Nigeria. They are also found in Mubi North, Hong, Gombi, Song and Madagali local governments in Adamawa State. The Kamwe people are also found in Borno State, especially in Askira/Uba and Gwoza local government areas
Blench (2019) lists Mukta of Mukta village, Adamawa State as part of the Kamwe cluster.
Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli"
Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo mwanaume hupoteza zaidia ya nusu za mali zake kumpa mtaliki wake pale wanapoachana
Ameongeza kuwa...
Rushwa hasa rushwa kubwakubwa na rushwa za barabarani.
Sababu zinawanufaisha wafadhili wa chama na zinafanya kazi kama malipo au fadhila kwa vyombo kuwatuliza ili waendelee kukibeba chama.
Jambo lingine ni kuacha kutoa elimu mbovu inayozalisha manamba wachuuzi na kila aina ya watu wasio na...
Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana.
Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea?
Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu...
Watu wengi wanamkumbuka Michael Jackson kwa ajili ya kucheza (Moonwalk), lakini sauti yake ndiyo iliyokuwa silaha ya hatari zaidi iliyoteka dunia:
Sauti Bila Auto-Tune: MJ alikuwa na uwezo wa ajabu wa sauti (4-octave vocal range). Alitoka kwenye sauti ya chini ya upole mno hadi kwenye kelele za...
Nikikumbuka sakata la Ramadhani Kabwili picha inanijia kichwani kuwa huenda kweli kuna kiongozi wetu na baadhi ya wachezaji walikuwa wanamgagadua kipa wetu.
Nikiangalia vishundu vya akina Azizi funguo,Sheketure,bacca,nondo,chuga boy jinsi vilivyobinuka Sina shaka kocha wetu mpiga miti...
https://www.instagram.com/reel/DdBxoJsNrnj/?stkn=MTZuZ2Z3aWIzYmduMg==
Kuna maneno wanamsema msemaji wetu kuwa ni HASARA. Je kuna ukweli? Maana watu wa karibu yake pia huzungumza.
Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa.
Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya .
Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga .
Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!.
Hili liwakae kichwani !!.
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo nikizungumzia kitu kinachoitwa national pride, ambacho Tanzania tulikuwa nayo enzi za Nyerere. Kwenye umasikini, kuna masikini wa aina mbili, kuna masikini masikini wa kutupwa na kuna masikini jeuri. Yule masikini masikini...
Kamwe usiamini hadithi ya upande mmoja. Daima huwa na kurasa zilizokosekana.
Watu wengi wamekuwa wakihukumu watu kwa kutumia upande mmoja wa hadithi, bila kujali ni kwa namna gani wanaumiza wengine.
Kusikia upande mmoja tu wa story ni hatari. Mara nyingi mtu anakwambia sehemu inayomfaa yeye na...
Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya Kagera, haukupelekwa mwenge kwenye uwanja wa mapambano, walipelekwa askari wetu, na wakafa kwa wingi huko...
Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume...
Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, usiitafsiri kama anaenda kibaruani tu, uhalisia anaenda vitani either irudi pesa au maiti kwenye jeneza...
Ukimuona Baba yako anatoka asubuhi na jioni anarudi salama , muombee Dua ya kazini mengi...
Nawaza tu.
2030 kamati kuu wamfanyie Figisu Imma, asiorodheshwe kwenye 5 bora ya watia nia nafasi ya Uraisi.
Alaf Imma akaamua kwenda Chadema.
Mind you Lissu pia yuko Huru.
Huo Mtanange wake utakuwa sio wa kitoto.💥💥💥💥
Yale ya 2015 yatajirudia.
Anyway . Haiwez kutokea hili.
NB:
Tumeona...
Wanaume wengi wanadhani kumwambia mwanamke "Sitakuja kukuumiza" ni ishara ya upendo, ukomavu, na kumfanya ajisikie salama (safe and secure). Ukweli mchungu ni kwamba neno hili ndilo linalokuja kuwa kiboko cha kukuchapia wewe mwenyewe baadaye.
Kisaikolojia, kauli hii inaleta madhara makubwa...
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
7; Kuchoma mahindi - Hadi upate hela ya IST utakuwa umechoka sana!
8; Speculation kwenye hisa kwa pesa ya kuungaunga etc(Hapa wengi sana...
CCM kukubali katiba mpya ambayo italeta tume huru ya uchaguzi ni kujisogeza kaburini hii ni kutokana na hali halisi ilivyo na mwamko wa wananchi hasa vijana
Katiba mpya itaifanya CCM isikae madarakani zaidi ya miaka kumi na tano toka mwaka itakapoanza kutumika.
CCM ikipoteza hatamu hapo kila...
Kamwe, usijaribu kubet ili kufidia hasara uliyopata kwenye beti ya kwanza
Moja ya makosa makubwa ambayo bettors wengi hufanya ni kujaribu kurudisha pesa waliopoteza kwa kubet tena haraka.
Hali hii, inayojulikana kama kufukuza hasara (chasing losses), mara nyingi huanza kama wazo la kufidia...
Gentleman ijue thamani yako usitumie nguvu nyingi kwa mwanamke ambaye ha match energy yako . Statistics inaonesha wanawake ni wengi zaidi , look for the other , usizingue tutakuvua ubingwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.