haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. M

  Viongozi wote wa Yanga na mdhamini GSM waondoke. Manji rudi utuokoe, mmetutia aibu

  Tumefungwa tena na kutolewa katika mashindano ya ligi ya mabingwa ya Afrika baada ya kufungwa tena 1 bila hivyo matokeo kuwa Rivers United 2 Yanga 0. Viongozi wote wa Yanga inabidi wajiuzulu na mdhamini GSM aende zake,wanachama na wapenzi tumwombe shujaa wetu MANJI ARUDI KUTUDHAMINI. Sababu...
 2. Renzo Barbera

  Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

  Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana! Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba. Inaonekana Mo amelipa hela nyingi...
 3. Superbug

  Nauona mwisho wa umaarufu wa Sunday Haji Manara

  Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama. Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu. 1.Kufungwa kwenye Yanga Day. 2. Aliyewafunga Ana jina baya. 3.Tukio la mama J. (Kashfa) 4. Kufungwa na Rivers ya...
 4. A

  Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

  Wazazi ni watu pekee wanaopitia ugumu wa maisha ya watoto wao wawapo vyuoni wakitafuta elimu Matarajio ya Kila mzazi ni mafanikio Kwa mtoto wake juu ya kile kilichompeleka chuoni kama egemeo la utafutaji wake hapo Baadae Bahati mbaya iliyoje ni mtoto huyu ambaye anajulikana kama mwanachuo...
 5. K

  Ni ipi hatima ya Haji Manara endapo akienguliwa Yanga?

  Kwa anaejua mahala huyu anaweza enda baada ya kufurushwa huko alikojibanza kwa kimvuli cha usemaji wa timu
 6. M

  Kwa nilichokisikia kwa wenye Yanga SC yao na kinachokuja, nawaomba Haji Manara na Injinia Hersi Said waachane nayo upesi

  Kati ya Kesho Jumatatu mpaka Jumatano au Alhamisi kuna Zengwe la Awali linaenda Kuibuka Klabuni Yanga SC ambalo litawahusu hasa Watu Wawili Msemaji mpya Haji Manara na Injinia Hersi Said. Hata hivyo Zengwe hilo.litazimwa kwa muda ila litaibuka kwa Nguvu mpya Weekend ijayo pale ambapo Yanga SC...
 7. B

  Haji Manara na fred Vunja Bei wanavyoathirika siasa za viwanjani Yanga na Simba

  Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa. Wapo watu wanaishi vizuri kwa mwonekano wa nje lakini si kwa mwonekano wa ndani. Chama kinatafuta...
 8. M

  CCM hivi Kesi ya Uwizi na Uuzaji wa Magari yetu ya Haji Manara hatuwezi Kuifufua ili akaozee tu Jela?

  Nasubiri majibu yenu CCM Makao Makuu au hapo Lumumba juu ya hili kwani Sisi wana CCM tunayahitaji yale Magari ili tuweze Kumtangaza zaidi Bi. Hangaya na Tanzania yake. Huyu Haji Manara anatakiwa awe Jela.
 9. M

  Baada ya kusema hakuna wa Kumuweza na sasa Mashambulizi yanazidi Kwake, Haji Manara atishia kuwafanyia Kitu mbaya wanaomshambulia Mitandaoni

  Tukiweka Kumbukumbu sawa ni huyu huyu Haji Manara (Msemaji mpya wa Yanga SC ) alipohamia huko alijigamba na Kujimwambafai kwa kila namna kuwa hakuna mwana Simba SC anayemuweza kwa Kuchafuana na Kutaniana pia. Leo akiwa katika Interview EFM katika Kipindi Bora kabisa cha Michezo nchini cha...
 10. OKW BOBAN SUNZU

  GSM kuweni na utu, msimfanye Haji Manara kama Msukule

  Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera. GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba Sc. Tunatambua nyinyi mlikuwa marafiki zake wakubwa hata kipindi akiwa Simba. Sasa urafiki gani huu...
 11. Viol

  Manara anaendeleza kilichomtoa Simba

  Kuna clip Manara akiwa kwenye Press ya Yanga jana wakiwa meza moja na Bumbuli kabla press haijaanza wakawa wanaongea bila kujua wanarekodiwa. Manara: Nini hiki? Bumbuli: Hawa si ndo wadhamini wetu? (Maji afya). Manara :Duh huu mtihani kwangu (yeye balozi wa maji ya uhai) Bumbuli: anacheka...
 12. Komeo Lachuma

  Video: Haji Manara ana hali mbaya sana; anafuta kukubalika kwa kila namna

  Jamaa ana hali mbaya sana. Akitafuta kukubalika kwa kila namna. Ana wakati mgumu sana.
 13. M

  Ridhiwani Kikwete awapasua wana Yanga na Haji Manara

  Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu. "Wana Yanga SC Wenzangu yatupasa sasa Kubadilika japo wenyewe tunajiona tunapatia kumbe tunakosea...
 14. C

  Maneno ya Haji Manara baada ya Simba kuzindua Jezi

  MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya. Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha Wameweka adi happy...
 15. nzagambadume

  Onyo la Shaffih Dauda kwa Haji Manara Mei 13, 2021

  MEI 13, 2021 Anaandika Mchambuzi, SHAFII DAUDA. Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na...
 16. sky soldier

  Tukiweka hisia pembeni, ni wazi hakuna anayefikia hata robo ya uwezo wa Haji Manara

  - Elimu yake watu hawana muda nayo kujua alisomea wapi maana balaa analofanya mbele ya macho yetu ni ushahidi tosha shughuli imempata anaeiweza, wapo kina gift macha wana degree zao lakini wamezimwa na nyota kali ya Manara. - Manara ndie msemaji anaelipwa mno, milioni 9 kwa mwezi, huu ni...
 17. nzagambadume

  Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

  Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China. I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA...
 18. OKW BOBAN SUNZU

  Morison amshauri Haji Manara kuacha tabia za kike

  BM3 wakili msomi amepiga kwenye mshono
 19. hiram

  Edo Kumwembe amchambua Haji Manara kisomi

  JICHO LA MWEWE: Haji Manara ni ‘Malaika au Shetani’? By Edo Kumwembe HAJI Manara anaingia katika rekodi ya aina yake nchini. Rekodi ambayo unaweza kuiweka katika kitabu cha rekodi ya maajabu ya dunia cha Guiness. Anakuwa kiongozi wa kwanza kukatisha boda baina ya klabu mbili kubwa nchini...
 20. M

  Haji Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo

  "Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara. === HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya". "Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na...
Top Bottom