kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Last_Joker

    Teknolojia ya Kesho: Je, Upo Tayari Kuishi na Robot?

    Unakumbuka zile filamu tulizokuwa tunaangalia ambapo watu wanaishi na robot kama sehemu ya familia zao? Well, polepole hali hiyo inakaribia kuwa ukweli. Teknolojia inakimbia kwa kasi ya ajabu, na hivi sasa tupo katika kipindi ambacho robot haziko tena kwenye maabara pekee, bali zinaingia kwenye...
  2. K

    Tuzungumze kuhusu ramani ya nyumba ndogo ya kuishi

    Ghawizah, Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo. ♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning. ♤ Iwe na public toilet. ♤ Kweny masta kuwe na nafasi ya kitanda ,kabati la nguo . ♤ Dinning iwe na uwezo wa kukaa meza ya...
  3. Asernal stockpile

    Unataka Kujua Jinsi ya Kuishi na watu wenye Personality ngumu?

    Kula hiki kitabu, Kitakufundisha jinsi ya kuishi na kuendana na watu wenye personality ngumu, Watu wasiopatana na watu, watu wakorofi, Watu hawa unakuta hatuwezi kuwaepuka kwan mara nyingi unaweza kuta ni mkeo, mmeo, mzazi wako, ndugu yako wa karibu, boss wako, mtoto wako,mwalimu wako,wateja...
  4. luambo makiadi

    Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

    Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri...
  5. LA7

    Mnawezaje kuishi na watoto wa kambo?

    Kuishi na mtoto wa kambo kunahitaji unafiki wa hali ya kiwango cha SGR, Hebu fikiria kuna wakati hata wife ananichukia sababu sicheki na mtoto anapokosea je? Wangekuwa ni wakambo ingekuwaje? Mfano. Juzi nimembeba mtoto akawa analia kwa sauti mama alikuwa na kazi zingine ikabidi nimwambie njoo...
  6. blackstarline

    Naandaa kitabu naomba kwa amabaye amewahi kuishi Uingereza au anaishi anasaidie kunijuza mitaa na mambo mengine

    Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
  7. Melki Wamatukio

    Msaada: Sioni tena umuhimu wa kuishi na kiumbe anayeitwa mwanamke

    Na sio tu mwanamke, bali sioni kabisa umuhimu wa kujihusisha kwenye suala zima linaloitwa ngono, iwe ya aina yoyote ile Mwaka jana nilianza kama masihara hivi, nilikuwa kataa ndoa tena mwanachama kindaki ndaki, baada ya hapo nikasajiliwa kwenye chama cha kataa genye, hapo nikaamua rasmi...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  9. Teslarati

    Hivi ulishawahi kuishi kwa kudra za washikaji, haya maisha yasikie tu

    Miaka ya zamani kdg ndo nimemaliza chuo nikapata kazi kwenye NGO moja hv. Huko nikawa naponda sana mali, yaani ilikua ni gambe na mademu tu. Mara paaa NGO ikamaliza issue zake wakafunga virago, nikabaki sina kazi na hapo nilikua nimempa mimba binti mmoja hivi na ndo ilikua mimba ya mtoto wangu...
  10. Wadiz

    Tathmini ya kuunga mkono hoja ya kukataa kuoa au kukataa kuishi na mwanamke kwa pika pakua

    Shalom, Kuna vitu vimetamalaki na jamii inaona kawaida. 1. Sauti za wanaume hasa katika uongozi, maelekezo, makatazo na maonyo zimekuwa ndogo kuliko maamuzi ya wanawake. 2. Chachu ya point namba 1 ni jeuri, kiburi na dharau. 3. Utii na unyenyekevu vinapuuzwa. Hakuna ndoa bila utii na...
  11. Loading failed

    Ole wenu wanawake hakuna mwanaume atakaye kubaliana na huu upuuzi ni mara mia usikubali kuchanua mapaja kama unajijua huwezi kuomba ruhusa kwa mumeo

    Ndugu zangu.. Ukweli ni kwamba mwanaume aliumbwa kutawala na kumcolonize mwanamke na vitu vyote viijazavyo dunia. Mwanaume hakuumbwa kuomba ruhusa bali aliumbwa kutoa taarifa ya kila alichokabidhiwa kukitawala nakukiongoza yeye siku zote mwenye malaka ni mwanaume n anapaswa kuamuakupitia...
  12. kavulata

    Wamasai walifikaje na kuishi Ngorongoro?

    Nimetembelea bonde la Ngorongoro mara kadhaa na kuona wanyama pori wengi ndani ya kama shimo hivi, inavutia sana na kushangaza. Lakini nimeona pia na makundi ya ng'ombe, punda, mbuzi na kondoo humohumo wanachumgwa na wamasai. Naomba mtu anaefahamu atusaidie kujibu maswali haya kwaajili ya...
  13. JOHN MAXWELL

    Sehemu hatari kuishi ni uswahilini na kijijini.

    Kuishi kijijini - ukikaa kijijini kufanikiwa maisha kiasi cha kummiliki mali ni ngumu Sana hii ni kwasababu zifuatazo. -Uzinzi -Pombe -Ukosefu wa maarifa. -Kukaa na watu wenye mawazo duni -fixed mindset and conservative. Kijijini ndo sehemu ambayo unakuta mtu anayeitwa tajiri ni mchafu Sana...
  14. Annie X6

    Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  15. R

    Nani anafahamu kampuni au ofisi inayomilikiwa na Nape au Makamba? Kama hawana ofisi watakubali kuishi bila kazi ya uteuzi?

    Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni. Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki kampuni na ofisi kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kipindi hiki ambacho wametambuliwa. Kukosa ajira ya...
  16. briophyta plantae

    Hapo mwanzo mwanaume alichagua mwanamke wa kuishi nae,hivi sasa mwanamke ndio huchagua mwanaume wa kuishi nae.. Unadhani nini kimebadilika?.....

    Tatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora. Sasa hv mwanamke hata umtoe...
  17. Jumanne Mwita

    Unafanyaje kuishi maisha ya kigeto geto bila kupika?

    Kwa miaka 4 sasa na mwezi mmoja nimeishi bila kujipikia nikila kwa migahawa nfanya hivi kwa maisha haya ya kutojipikia kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa sehemu moja nikatulia hii ni sababu ya mazingira yangu ya utafutaji nakaa sehemu kwa muda mfupi baadae naenda eneo jingine nikiridishe kwenye...
  18. M

    HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊

    HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊 Kijasusi jitahidi uwafahamu watu kabla ya wao kukufahamu, na hapo ndipo utagundua WANAFIKI NA WASIO WANAFIKI. DALILI ZA MNAFIKI 1.Kwanza atajifanya mwema sana kwako 2 Atajifanya kuumia sana dhidi ya wanaokusema mabaya...
  19. Yoyo Zhou

    Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani zachangia utulivu na amani duniani

    Huu ni mwaka wa 70 tangu China kutoa Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani. Miaka 70 iliyopita, aliyekuwa Waziri Mkuu wa China Zhou Enlai alipendekeza kwa mara ya kwanza kanuni tano za “kuheshimiana mamlaka na ukamilifu wa ardhi, kutovamiana, kutoingilia mambo ya ndani, usawa na kunufaishana...
Back
Top Bottom