mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
 1. K

  Rais Samia amteue Tundu Lissu kuwa Waziri wa mambo ya nje & ushirikiano wa kimataifa

  Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
 2. Jidu La Mabambasi

  Rais Samia, makandarasi tunakupa Big Up!

  Tunasema tena kwa dhati, mama Ubarikiwe kwa kutukumbuka sekta hii iliyokuwa inaenda kufa kwa upande wa makandarasi wazawa. Tulianza vizuri sana na mentor wetu katika Awamu ya 5. Baada ya hapo sijui lilitokea sintafahamu lipi, maana tukapigwa tanchi tusielewe. Mara hakuna kumpa kazi mzawa ati...
 3. Lord denning

  Ni kama Bahati vile ila unaweza sema Mungu kampendelea Rais Samia

  Amani iwe nanyi wadau, Huko soko la dunia hapatoshi! Bei ya Mafuta na Gesi inazidi kupanda kwa Kiwango cha kutisha. Haya yanatokea huku Ulaya na Marekani kukiwa na uhaba wa bidhaa hii adhimu kiasi kupelekea Makampuni ya Gesi na Mafuta kuamka mbio kutoka usingizini na kuanza kufufua zile fursa...
 4. kavulata

  Kwa Rais Samia nchi inakwenda bila makelele

  Mtu anaejiamini anamfukuza mwizi kimyakimya bila kupiga kelele, hata wanyama wanaojiamini habweki sana wakiona adui yao. Kuna wakati Watanzania walitaka kuaminishwa kuwa makelele mengi hadharani ni dalili njema za kujiamini na uongozi bora, lakini sasa imedhihilika kuwa sio kelele nyingi...
 5. L

  Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

  Mheshimiwa raisi, Mama Samia Suluhu Hassan, sisi wanawake tuna Imani sana na wewe, tutakupa kura zetu zote za urais mwaka 2025 ila kuna mambo machafu sana yanayofanyika katika serikali yako. Sisi wanawake wa Tanzania tumesikitishwa sana na mauaji ya kijana mdogo mkazi wa kata ya Mabibo...
 6. Jidu La Mabambasi

  Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

  Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007. Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu. Na alikuwa...
 7. N

  Ushauri Wangu Kwako Mama Samia Kuhusu Elimu

  hali ya elimu kwa sasa ni mbaya, hilo halina mjadala! 1. Ushindani umegeukia kwenye kufaulisha wanafunzi wote na kufuta 'zero'. Kutokana na hilo, suala la kukutana na lundo la wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika ni kawaida huku kwenye masekondari yetu ya kata. Kumkuta mwanafunzi anayeitwa...
 8. M

  2025 Tayari CCM wanatuletea mama Samia na CHADEMA tayari nao wanatuletea Lissu. Je! Mgombea yupi atatuvisha?

  Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo. Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu. Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama. Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani. Mama...
 9. James Martin

  Rais Samia amenikosha sana kwa kutangaza azma yake, watoto wa mjini wanaita kupindua meza kibabe

  Nimefurahishwa sana na kitendo cha Rais wetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine. Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida. Bila shaka sasa watu...
 10. zimmerman

  Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

  Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
 11. Francis fares Maro

  Hongera Rais Samia Suluhu. Shughulikia changamoto hizi pia

  Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako. Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!. Mama Samia napenda kukupongeza Kwa hatua kadhaa na jinsi unavyofanya nchi yetu inaenda Kwa kasi sasa. Mama Samia...
 12. Evarist Chahali

  Huu ni Udhalilishaji anaofanyiwa Rais Samia. Swali ni amelazimishwa au ameridhia?

  President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan as "a special tour guide"
 13. Rebeca 83

  Tumsaidie Rais Samia

  Hello wana JF, Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli? kuwa Rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine. Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko... Iundwe kikundi cha watu...
 14. MK254

  Tanzania hatimaye yakubali kuingia kwenye soko la pamoja Afrika, baada ya kusuasua...hongera mama Samia

  Huu ndio uongozi, yaani uthubutu wa kufanya sio kuogopa ogopa na kuwa na vijisababu vya hovyo.... Tanzania on Thursday ratified the agreement establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining a pact connecting countries with a total gross domestic product of...
 15. M

  NASHINDWA KUJIZUIA KUMPENDA MAMA SAMIA (HANGAYA) NIMEGUNDUA KUWA NI MTU WA MILA ZA ASILI YA BABU ZETU ALIYEJIFICHA. ATATUVUSHA.

  Wakati nasoma chachi histori mle ndani nilikuta vitu vya kushangaza na ilichukua miaka mingi kuelewa, zamani nyuma ya kalne ya 16 kule ulaya kulikuwa hakuna uhuru wa kuabudu, napo sikuelewa uhuru upi wa kuabudu kwani tayari Yulopa zilikuwa nchi za kikrito. Lakini baadaye nilielewa kuwa haya...
 16. F

  Mama samia Rais wetu mpendwa jaribu kuangali bei za vitu Arusha

  Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
 17. M

  Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

  Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu. Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa...
 18. comte

  Royal Tour ft Mama Samia: Wanaopinga wasome makala hii

  Rwanda: The Royal Tour: Selling Rwanda as a success story Netanyahu: SPOTTED! Netanyahu reading 'The Jerusalem Post' during filming of 'Israel: The Royal Tour'
 19. beth

  Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

  Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
 20. Mzalendo2015

  Ni wakati muafaka kwa Rais Samia kumpumzisha IGP Sirro

  Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia. Tangu Rais Samia ashike madaraka inaonekana IGP Sirro hatii kabisa maelekezo ya Rais...
Top Bottom