klabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Klabu za Tanzania zinaenda kumlipa mchezaji wa ndani milion $ signing fee, Muhindi kashikwa pabaya. hana budi kucheua mapene.

    Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥 Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali. Hakuna mchezaji wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF yatoa viwango vipya vya ubora wa klabu, Simba yaporomoka

    Viwango vipya vya ubora wa klabu za Afrika (CAF Clubs' Ranking) msimu wa 2026/27 vinaonyesha Simba SC ikiwa nafasi ya 11 kwa alama 38, huku Yanga SC ikishika nafasi ya 12 kwa alama 35. Azam FC ipo nafasi ya 39 ikiwa na alama 5, wakati Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini inaongoza orodha kwa...
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania CAF yakataa pendekezo la Misri kuongeza Klabu za Ligi ya Mabingwa Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27. Awali, EFA ilipendekeza kuwa...
  4. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Zamalek watishia kujiengua mashindano ya klabu bingwa Afrika

    Zamalek waipa vitisho shirikisho la soka barani afrika CAF kama watahidhinisha Al Ahly fc kushiriki mashindano ya klablu bingwa afrika mara baada ya kuwepo kwa taarifa ya kutaka kuongeza timu shiriki. Ikumbukwe Al Ahly ameangukia katika michuano ya shirikisho ya CAF mara baada ya kufanya vibaya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Berekum Chelsea, Dominic Frimpong auawa

    Winga wa klabu ya Berekum Chelsea, Dominic Frimpong, ameuawa katika tukio la ujambazi wa kutumia silaha lililotokea ndani ya basi la timu hiyo walipokuwa wakirejea kutoka mechi ya Ligi Kuu ya Ghana dhidi ya Samartex siku ya Jumapili, kwa mujibu wa Ghana Football Association. Inadaiwa majambazi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba, baada ya Mangungu, mchagueni Joseph Rwegasira (Jayrutty) kuwa Mwenyekiti wa klabu yenu

    Bila shaka Wanalunyasi mtakuwa mnatamani kupata kiongozi kijana ambaye ana maoni makubwa juu ya klabu yenu kama ambavyo Yanga wamewatesa misimu hii minne mfululizo baada ya Engineer Hersi Said kuchukua kijiti cha Rais wa Klabu baada ya Mshindo Msolla. Mnahitaji uongozi wenye maono, uwezo wa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya Klabu ya Simba?

    Ni zaidi ya miaka minne sasa, mambo ndani ya klabu ya Simba yanaonekana kuwaendea kombo. Timu ambayo ilijenga heshima Afrika Mashariki na kutisha kwenye mashindano ya CAF, kila siku inaonekana kuzidi kupoteana. Pamoja na changamoto za kiufundi na usajili, kuna jambo jingine linaloonekana wazi...
  8. Lech Poznan

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Taifa Stars ni kama jezi za klabu za ligi kuu

    Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Klabu ya The voice aeleza wamepata hasara ya Bilioni mbili kufuatia kuharibiwa kwa klabu hiyo

    Wakuu Naona sasa wamiliki wa maeneo na biahsra zilizoharibiwa siku za maandamano wanaanza kujitokeza. === Mwekezaji na mfanyabiashara wa Kitanzania wa kampuni ya The Voice ameiomba serikali kuwasaidia baada ya klabu yao iliyopo Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, kuharibiwa na kile alichokiita...
  10. mngony

    JamiiForums Tanzania Mdhamini wa Jezi za Simba alitoa ahadi ya kusajili mchezaji yeyote Klabu ikimtaka, Je imekuwa hivyo?

    Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri? Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine. Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Klabu ya YF JUVENTUS yavaa jezi za BARCELONA

    Mashabiki walishangaa ikiwa ni baada ya YF Juventus, klabu ya mjini Zurich inayocheza katika Swiss 1. Liga Classic, kuingia uwanjani wakiwa wamevaa jezi zinazofanana kabisa na zile za FC Barcelona msimu wa 2022/23 (jezi ya tatu). Ndiyo, umesoma vizuri—muundo ule ule wa samawati wa jezi ambazo...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Jezi za Klabu yote ile Tanzania haijatengenezwa na hizi Kampuni Tano Kubwa za Kimataifa jua hiyo Jezi ni Takataka na Toilet Paper tu

    1. Adidas 2. Puma 3. Nike 4. Umbro 5. Diadora Imeisha hiyo.......!!!!!!!
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinum tokea uhamia kuishabikia Klabu moja hivi duniani yenye Washamba wengi nawe pia sasa umekuwa kama Wao tu

    Unamsakama Mboso kisa tu kumuandikia mistari ya Wimbo wake kana kwamba vile hata Wewe mwenyewe 85% ya Nyimbo zako huwa unaandika mistari mwenyewe. Nilikuwa nakuheshimu sana na hata Kukutetea mno hapa JamiiForums ila sasa nimeamini ukiwa Mshabiki wa hiyo Timu uliyoko sasa utakuwa Mshamba na Juha...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nyie Gazeti la 'Habari Leo' mnadhani Haji Manara aliposema kuwa hiyo Klabu wenye Akili ni Wawili tu na waliobakia wote ni Majuha (Fools) alikosea?

    TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii. - Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga hawajachangia CCM pesa yoyote!

    Mimi ni SIMBA damu najuikana hivyo.. Na kama mtani wa jadi wa Yanga! Inapopata madhila nafurahi.. Ila kwa hili la kuchangia million mia moja nawatetea hawajafanya hivyo Vilabu vyetu hivi vya soka vingi vinaongozwa na wafadhili na wadhamini, hawana vyanzo vya uhakika vya kuwaingizia mapato...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

    Klabu ya Yanga imechagia milioni 100 CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Bado Hadi sasa najiuliza kwanini klabu yangu ya Yanga waliacha kumsajili Shomari Kapombe

    Niwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ajiunga na Klabu ya Havre Athletic Club ya Ligue 1

    Mbwana Samatta: I’m delighted to be moving to @hac_foot!! I’ve learnt a lot about this historic and special club over the past few weeks and I believe in the project that’s being built. Thank you to the club for believing in me and I look forward to give 100% in the @Ligue1. I can’t wait to get...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Shabiki wa Simba adai App ya klabu imejam wakisubiri utambulisho wa mchezaji

    Shabiki wa Simba SC adai App ya klabu imejam kutokana na wingi wa watumiaji wakisubiri utambulisho wa nyota mpya usiku huu.
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Young Africans imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Mussa Bala Conte

    Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi kiungo mkabaji wa zamani wa klaabu ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia ambaye ni raia wa Guinea Moussa Balla Conte. Nyota huyo alikuwa kwenye midomo ya watu wengi hapa nchini baada ya kuonesha kiwango bora kwenye michezo ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya...
Back
Top Bottom