Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo
Leo naanza na asante na Pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kitendo cha yeye ambale ni Makamu wa Rais wa JMT, kukuikubali na kuiunga mkono kwa asilimia 100%...
Mayahudi ni moja ya jamii ya watu waliofadhiliwa sana na Mungu huko zamani kwasababu walipelekewa mitume mingi sana ila wengi wao waliwakanusha na hata kufikia kuwaua.
Wakati Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) alipohamia katika mji wa Madinah kutoka makkah alikuta jamii kubwa sana ya...
Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana.
Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
Kuna watu wameishiwa hoja wamegeuka kuwa vyama vya vurugu, nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya demokrasia na katiba yetu inatutaka hivyo na chama cha mapinduzi tunaheshimu demokrasia ya vyama vingi sasa kunawatu wameishiwa hoja, hawaaminiki na watanzania, hawana ushawishi wamepoteza mvuto...
Hoja zinahitaji majibu ya hoja, si lebo. Kila jamii inayodai kukomaa kiakili na kidemokrasia lazima ikubali ukweli huu wa msingi.
Pale mtu anapouliza swali, anapokosoa sera, au anapoonyesha dosari katika uamuzi fulani, anachohitaji ni majibu yenye mantiki na ushahidi.
Kumjibu kwa kumuita...
Tunaona magari ya serikali yanayoonekana wazi kabisa kuwa mapya Prado za 2024/2025 lakini yanatembea na namba za usajili za zamani za miaka ya 2000, mfano T 220 ATZ.
Hii ni akili ya kawaida au ni dharau kwa jamii?
Je, serikali haijui kuwa mfuatano wa namba unaendana na mwaka wa usajili? Au...
Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.
Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee...
Hebu tazama hii, sina mengi ya kusema! Ila kwa hakika tulio ndoani tunavumilia mengi Sana.
Hapa ni mke wa mtu, ana watoto kabisaaa, na mume WA madhabahuni!
Nachoka Baba yenu, Nachoka sanaaaa!
Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ......
1. Namjua John,
Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende.
John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara.
Ghafla...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja, akifananisha tabia hiyo na akina Herode waliokataa kumpokea Yesu Kristo, Mfalme...
Wanakumbi.
Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa.
Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa
Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373
Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili
Utangulizi,
Hii ni makala muendelezo wa makala ya wiki iliyopita kuhamasisha GenZii wasiandamane ile October 9 Thread 'Wito kwa Gen Z wetu: Disemba 9 tusiandamane, kuandamana bila malengo ni ukichaa. Serikali, tafadhali...
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”
Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .
History tends to repeat itself
MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA
yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war
KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA...
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao.
Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa...
Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira, rushwa, na usimamizi wa rasilimali—ndivyo kundi fulani la “walinzi wa amani” linavyozidi kuonekana...
Binafsi ninakerwa na serikali hii inavyofanya mambo yake. Kuna mambo yanahitaji diplomacy kidogo tu ila cha kushangaza serikali inatumia nguvu kupitiliza hadi inaamsha hasira za wananchi. Kuna ishu zinahitaji tu maneno sio lazima kutumia bunduki. Msemaji wa serikali na katibu mwenezi wa CCM ni...
Hongera Jamiiforums Kurudi Hewani Ushindi wa Uhuru wa Kujieleza 👏👏👏
Nawapongeza kwa dhati uongozi wa Jamiiforums kwa ujasiri, uvumilivu na ukomavu mkubwa mliouonesha katika kipindi chote ambacho mtandao huu pendwa ulifungiwa leseni ya uendeshaji. Pamoja na kupewa nafasi ya kukata rufaa...
Great Thinkers, Umofia kwenu!
Kwa miaka mingi kumekuwepo malalamiko kwamba Tanzania haijawahi kufikia viwango vya kweli vya demokrasia ya ushindani. Tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1992, mjadala umekuwa ule ule: je, mfumo wetu wa kisiasa umejengwa kwa namna inayoruhusu ushindani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.