Kama unamsikiliza mtu kupata taarifa zinazokusaidia kujibu maswali tuliyozoea— ‘nini’, ‘wapi’, ‘nani’, ‘lini’, bado hujamsikiliza vizuri. Unaweza kujibu maswali hayo yote na usimuelewe mtu.
Ukimsikiliza mtu vizuri, kwa kawaida, unaelewa hisia nyuma ya taarifa anazokupa na hata zile asizoweza...