matusi

Leneuoti Matusi is a Tuvaluan politician and former civil servant who was elected as an Independent MP for the Nui constituency in a 2013 by-election, having previously served as the Secretary of the Nui Falekaupule.Matusi gained 297 votes out of 778 to gain the seat from the former sitting member Taom Tanukale who polled just 160 votes after resigning from Parliament on 30 July 2013 following the constitutional crisis. He will represent Nui alongside Pelenike Tekinene Isaia, who is the island's only female MP.A week after the by-election, Prime Minister Enele Sopoaga announced that Matusi had joined the government's side, helping to boost their members to nine.Matusi was not re-elected to parliament in the 2015 Tuvaluan general election.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Kesho, wachochezi, wafaddhili wao, na wafuata mkumbo wa maandamano haramu ya fujo na ghasia, wataishia kutukana na kuporomosha matusi tu mitandaoni

    Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini. Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
  2. Tlaatlaah

    Wanasiasa waliopoteza uelekeo, wanadhani mihemko yao, matusi, uropokaji na uzushi wa wafuasi wao vinaweza kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini.

    Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
  3. Jaji Mfawidhi

    Bao la Usabuhi ni “Matusi?”

    BAO LA ASUBUHI , likitamkwa tiu, wanandoa wana reflect "Morning glory" sasa basi Ukiwa mezani kwako na mume na watoto wako, Ukawasha redio TBC, ukasikia “bao la asubuhi leo ni tamu ” leo umelipata tokea wapi? Watoto na mume watawaza kitu gani ? Picha gani ya kwanza itakuja kwa mabinti zako na...
  4. Waufukweni

    Msigwa: Wanaojiita Wanaharakati na Wafadhili wao wanahamasisha Vijana kuacha Kazi na Kujihusisha na Matusi na Udhalilishaji

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
  5. L

    Hivi CHADEMA Kuna kiwanda na Kinu cha Kuzalisha Na Kukoboa Matusi? Wanatukana, kufunua na kuporomosha Matusi

    Ndugu zangu Watanzania, Hiki ni Chama Cha Ajabu Sijapata Kuona .Ni Chama Ambacho Kuanzia Viongozi wake wa Ngazi ya Juu kabisa Mpaka chini huko wanatukana,kufunua na kuporomosha Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu Ama unaweza kufikiria wameopolewa kwenye pipa la Pombe . Hawa Jamaa wanamatusi...
  6. L

    Matusi Anayotukana Sugu na CHADEMA Majukwaani Yametosha Sasa. Msajili unasubiri Nini Kusitisha Mikutano Ya CHADEMA Nchi Nzima? Angalia Matusi Ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote ya hadhara Nchi nzima pamoja na ile ya Ndani . Kinachoendelea na kufanyika kwa sasa katika...
  7. Q

    Nchi ya ajabu inakemea matusi inaacha kukemea ufisadi

    Hatuna viongozi wenye vision nchi imebaki kuendeshwa na matukio yasiyo na msingi. Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama Jaji tena mkuu kutoka hadharani kukemea matusi anaacha kujadili sababu zilizopelekea kunyanganywa mradi wa Tanga oil refinery. Jaji mwingine kapewa pesa kuliponya taifa yeye...
  8. Driz de Mafwele

    Bongo Zozo amshtaki Mtanzania aliyemtishia kifo na matusi

    Raia mzungu Muingereza alielowea Tanzania na wakati flani alikuwa balozi wetu wa kujitolea anayezungumza kiiswahili Fasaha Bongo Zozo amshtaki Mtanzania polisi uingereza kwa kumtukana na kumtishia kumuua. Soma hapo chini. adriz de mbusii
  9. Forrest Gump

    Karma is real. Member huyu sasa anapata tamu ya chungu yake. Matusi hayajengi

    Makebo ametukana watu sana humu bila aibu kwa muda mrefu sasa hivi mpila umemrudia yeye ili aone jinsi alivyotesa wengine.
  10. darautobroker

    Car4Sale Mark Matusi New Model Iko Sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 28.5M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA MARK X Year: 2010 Engine: 2,490Cc Mileage: 58,000+ Transmission: AUTO ✨BLITZ Damper ✨ Cruise Control ✨19 Inch ANHELO Wheels ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  11. MamaSamia2025

    Sugu na Nshala wadhibitiwe kwa kuhamasisha matusi

    Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao...
  12. Mshana Jr

    Real society feelings: Kwanini matusi na si pongezi

    Huu ndio uhalisia ulioko kwenye jamii.. Jamii haina upendeleo kwakuwa Ukifanya vema.. Bila hata kuomba itakupongeza na kukusifia sana..LAKINI ukiboronga itakubagaza live bila chenga Risala iliyosomwa na jaji imepata ukosoaji mkubwa kwakuwa imeenda tofauti na uhalisia na ukweli wa kilichotokea...
  13. M

    PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

    Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
  14. S

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

    Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani. Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake. Watu wamechoka...
  15. M

    Member gani hapa JamiiForums ana makombora mazito ya maneno (matusi) ili niwe na tahadhari ninapojibazana naye?

    Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
  16. N'yadikwa

    Kufananisha Subaru SJG na LC 300 series ni matusi!

    Wanabodi za wikiendi! Nimekuwa nikifuatilia huu mjadala unaoendelea Instagram kuhusu Subaru SJG vs Land Cruiser 300. Kuna hoja zinatolewa kwa confidence sana kwamba Forester SJG inaweza kuipiku LC300. Binafsi nikaona ni vyema tuweke hisia pembeni, tuangalie uwezo wa magari haya kwa uhalisia wa...
  17. M

    Wapuuzeni Msijibu yale matusi ya vijana wa Chaumma waliokimbia Chadema kwa mahaba ya mbowe wana ajenda yao

    Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana. Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni! Watu hao wanaotumia kurasa za mitandao ya kijamii kuishambulia zaidi chadema. Wana ajenda kuu...
  18. Mvinyo mpya

    Niliyoyashuhudia mkesha wa mwaka mpya Arusha: Ufuska wa kutisha, anasa, ulevi, matusi, na hekaheka zingine

    Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM. Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda kuchukua lodge ilikua majira ya saa kumi na mbili jioni. Nikapumzika mpaka saa tano, ilivyofika saa tano...
  19. Bei rahisi Electronicks

    Naombeni ushauri kaka zangu sihitaji matusi

    Wakuu samahani Mimi mdogo wenu naitaji ushauri wa haraka ,Kuna demu alinisumbua kama mwezi hivi alikula vyangu jana akasema anakuja magetoni nikaona nimkomoe nikaenda kununua mkongo ili nimkomoe hii ni mara yangu ya kwanza kutumia mkongo, nilitaka nimkomoe nikaupaka kwenye uume wote maelekezo...
  20. Chizi Maarifer

    Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

    Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock. Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
Back
Top Bottom