jibu

Jibu is a Jukunoid language spoken in the Taraba State of Nigeria by 30,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania hebu leo jaribu muuliza Msabato yeyote eti ni kweli Maria mamake yesu kabarikiwa kuliko wanawake wote halafu usikie jibu lake!

    wewe jaribu tu kumuuliza ila kuwa makini!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kimi K3: Jibu la Anthropic

    Watch this Space Hakuna maelezo mengi, mwenye kujua atachangia, kama hujui kitu, kafe mbele, usilite ulugaluga na uporipori wako hapa......... cc Xi Jinping
  3. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Jibu swali! Naomba kuuliza na hili swali ninaomba nijibiwe.

    Sina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe. Swali langu ni hili hapa, Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka? Usiniambie suala la chakula, vinywaji na mazoezi, tafadhari sana hayo yote nayajua. Nipe sababu...
  4. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Chagua Jibu lililo Sahihi kati ya A,B na C.

    Bwana Juma ni Mkulima Bora wa Zao la........ A. Mparachichi. B. Parachichi. C. Miparachichi. D.Maparachichi.
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni jibu: Je, viongozi wa harakati za uhuru wanapewa sifa kubwa kuliko hali halisi ya kisiasa iliyokuwepo wakati huo?

    Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi. Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimetuma maombi ya uhamisho Ofisi ya UTUMISHI, miezi mitano hakuna jibu, nini maana ya kuleta mifumo ya Kidigitali?

    Kero yangu ni hii Ofisi ya Utumishi, nimewasilisha ombi la uhamisho zaidi ya miezi sita sasa likapita ngazi zote ndani ya mwezi mmoja, hii ni ngazi ya mwisho kabisa ya maamuzi lakini miezi kama mitano wako kimya, hawajibu chochote umepata umekosa au kuna kasoro yoyote. Je, hii mifumo imekuja...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Vita nchini Iran vyaibua swali kuhusu usalama wa nishati duniani, na vinu vya upepo mjini Pingtan vimetoa jibu la China

    Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jamaa mmoja kaniuliza; Hivi Mtibeli unavyowakandia Wanawake unapataga kweli wanawake? Jibu langu ni hili

    JAMAA MMOJA KANIULIZA; HIVI MTIBELI UNAVYOWAKANDIA WANAWAKE UNAPATAGA KWELI WANAWAKE? JIBU LANGU NI HILI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kati ya vitu ambavyo Sisi watibeli havijawahi kutusumbua ni upatikanaji wa wanawake. 2. Na sio ilimradi wanawake. Bali wanawake wenye sifa na vigezo...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dk Nchimbi amepigia jibu mstari. Kiongozi kama Hayati Magufuli na Sokoine ndio Mwl Nyerere aliwahitaji kulinda rasilimali za umma.

    Ni wazi ameweka ukweli kwa umma wa Watanzania kuwa uongozi uliopo sasa hivi haupo kulinda rasilimali za umma. Wizi upigaji na mtandao wa wanaCCM wezi wa mali za umma ndio waliopo madarakani. Hayati Julius Nyerere alitaka Sokoine awe mrithi wake lakini akafa kwa ajli yenye utata. Hayati...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kiberiti kimelowana. Jibu kama mzazi wa kiswahili ambaye hana hela

    Kuna namna wazazi wa kiswahili au uswahilini huwa na majibu yao ambaye mengine yanachekesha, kukera au walivurugwa zaidi hujibu bila kushirikisha ubongo yaani kutumia lugha nyeusi. Mfano ukijiweka kwenye mazingira ya mzazi wa Kiswahili utajibuje mtoto akisema ameloweka kiberiki akitaka kuwasha...
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar 2: Lipi ni jibu sahihi kati ya haya

    SOMA PIA: https://www.jamiiforums.com/threads/wazee-wa-grammar-lipi-ni-jibu-sahihi-kati-ya-haya.2415618/
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilijiuliza kwanini nchi zetu za afrika kuna vichaa wengi wanaolanda landa mjini, wengi watasema ni uchawi, ila naamini jibu ni hili hapa

    Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii. Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
  14. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Airtel wakifunga huduma zao kwenye sim Card yoyote wanakua na Kosa? Jibu hapana tujadili kidogo

    Naamini Jamii Forums ni kisima cha Maarifa ni kwamba huwa kuna Mkataba kati ya Airtel na Mteja hizi Agreement mara nyingi huwa ni ndefu na zimeandikwa kwa maandishi madogo lakini pia zinatumia Lugha za Kisheria ambapo watu wengi wanapuzia kuzisoma na ukikaa ukisoma kwa makini hizi agreement huwa...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar, lipi ni jibu sahihi kati ya haya?

  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa soka naombeni jibu hapa!!

    Ikitokea mchezaji wakati wa mchezo kiatu kikamtoka mguuni then akafunga goli. Hilo goli litakubaliwa au litakataliwa? Msinifokee jamani, kuna kitu najifunza
  17. S

    JamiiForums Tanzania Aliehoji, "who are you?" bila shaka amepata jibu la swali lake

    Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha. Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa ni nchi masikini, tulishaangaa sana utajiri wa Somalia mipakani Afrika Mashariki na harakati zisizoisha za al shabab. Jibu ni hili

  19. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu kuna swali anauliza MMM, anaomba jibu

    Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram Bwana Jaji Mkuu, George Masaju. Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee? Je, huo ndiyo uhuru...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nimeulizwa swali kwanini wakenya wako vizuri kwemye riadha sina jibu

    Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
Back
Top Bottom