Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.
Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani.
Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya.
Kila mtu atafikiwa si mlisema anaupiga mwingi.
Tangu ndugu Samia aende eda, msigwa amekuwa mzembe sana. Ona sasa mama amepata msiba wa rafiki yake wa karibu, yeye kashindwa kujiongeza kutuma salamu za pole kwaniaba ya Samia Suluhu.
Mwendeshaji Kipindi: Eh sasa hivi kwenye siku za hivi karibuni taarifa kubwa imekuwa ni El Niño, El Niño, El Niño. Lakini pia Mheshimiwa Rais alisisitiza mara kadhaa na hata juzi akiwa anawaapisha Wakuu wa Mikoa hapa aligusia pia hilo kwamba wananchi waendelee kupewa elimu.
Mamlaka tofauti...
Aloyce Nyanda unaweka mjadala mahali pasipo sahihi. Swali halipaswi kuwa: “CHADEMA ibadili msimamo gani ili Lissu aache kuteseka?” Swali sahihi ni: “Kwa nini Serikali inamtesa Lissu kwa sababu ya msimamo wa kisiasa?”
Kumhurumia Lissu ni jambo la kibinadamu, lakini kuitumia huruma hiyo...
Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia.
Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
afcon
afcon 2027
caf
chadema
dalili
evarist chahali
fifa
gani
hii
iko
jasusi
kushindwa
kuu
kwao
maana
msigwa
peter msigwa
political
poor
salama
samia
strategy
ugaidi
ujumbe
wanajua
wenzake
Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
Hii nchi mtu akipata teuz bas anaona wale walio nje ya mfumo n mafala TU hawana kitu
Amesahau kampen za 2025 chama chake kilichangisha pesa kwa ajil ya uchaguz na WATU wakachanga lakn hakutoka kuwabeza wachangiaji
Leo chadema wanachangishana anatoka na kuwaona wanaochanga mafala wajinga na...
Mimi kuna mda akili hua ina niambia Lissu atuache kutupambania sisi watanzania tulio wengi ni wajinga sana.
Tulia nikupe mfano mzuri tu hapa utakumbuka vizur na nahisi utakubaliana na Mimi.
Mama alivyoingia tu akafanya Uteuzi wa Zuhura Yunus kua Msemaji wa Serikali..
Unakumbuka watanzanoa...
GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
Msemaji wa serikali baada ya kuona kama kawa kituko kwenye jamii. Kaamua kuruhusu Mwaipopo kuwa badala ya ili wasionekana kuwa wanafikisha maelezo yao.
Ukifatilia kwa umakini matamshi anayoongea Mwaipopo na ukirudi kwa Msigwa unaona kama script ni Msigwa jinsi ya kuongea na kutishia watu.
Msemaji wa Serikali analalamika kuwa documentary iliyotolewa na BBC imesikiliza upande mmoja.
Sasa najiuliza je Serikali yake inayotoa matamko kuwa wanaharakati magaidi, wataka haki ni wachochea uvunjifu wa amani na porojo zengine mbona msigwa ajawahi kusema haya.
Soma pia Serikali: Makala ya...
HIi Documentary kihalisia imezungumzia Lissu na Madhira yake
Kwan ni uongo Lissu amekua anaharasiwa na Polisi?
Ni uongo Lissu amekua hakamatwi?
Ni uongo Lissu amekua anafunguliwa Kesi?
Ni uongo Lissu hakupigwa Risasi ili auwawe?.
Ni uongo Lissu amepewa Kesi ya Uhaini?
Ni uongo mpaka sasa Yuko...
Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema
Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena
Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema?
Chadema ni chama Imara sana, wananchi...
Ila wanasiasa wanatabia zinazofanana, kwa msemo rahisi ule Mwl Nyerere Mwanasiasa malaya malaya tu!
==========
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, amefunguka sababu zilizomfanya kukimbia Chama Cha Mapinduzi (CCM) miezi michache iliyopita, akidai kuwa...
Wanafungua kwa muda na ku post issues zao...... but this is not practical maana watafungua na kufungua mara ngapi kwa siku?
Au Wanatumià VPN? Sasa kama wanatumia VPN, si na wanachi watafanya hivyo hivyo! Sasa kufunga kunasaidia nini?
Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama mmiliki wa dola.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Msigwa amefafanua kuwa, kikatiba...
Guys
Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda.
Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo
Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.