Wakuu,
Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM.
Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
N:B: inawezekana kwa mara ya kwanza Rais na Makamu wake wakawa wote wanawake kama Namibia.
Kwavile Rais ni Mkristo, kuna uwezekano mkubwa ataweka balance kumteua Makamu wake Mksristo
MWIGULU
GWAJIMA
PAUL MAKONDA
RHIMO NYANSAHO
Ndugu zangu Watanzania,
Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi.
Tanzania...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
China na Angola hivi karibuni zimesaini makubaliano kuhusu mradi wa ujenzi wa bandari mpya huko Barra do Dande wenye thamani ya dola milioni 900 za Kimarekani.
Angola ni moja ya nchi muhimu zaidi ambayo Marekani na China zinashindania ushawishi barani Afrika. Marekani imewekeza sana katika njia...
Hamjambo!
Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.
Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.
Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu...
Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
Chadema Fukuza Joseph Selasini sasa hivi
Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine...
Hamjambo!
Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu;
1) Mfalme/Rais.
Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja.
Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Tanzania ya Rais Samia inaendelea kugonga vichwa vya magazeti Dunia kote, Tanzania inaendelea Kuwa Kivutio cha Dunia, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuwa kama Sumaku ya Kuvuta watu mbalimbali kuanzia viongozi, wafanyabiashara, wawekezaji, Watalii, wanamichezo na watu...
Amebakiza makunyanzi tu usoni.
Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini
Shetani hana rafiki. Ayatollah wa ujiji
Let's be short and clear...
Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini?
Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi?
Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa.
Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
Watu wenye ushawishi wanapoongea hadharani na kutumia maneno yenye kuleta taharuki mara nyingi wanaonekana kuzungumza moja kwa moja kwenye media badala ya njia rasmi.
Je, hii ni kwa sababu hawajui njia sahihi za kufikisha malalamiko kwa viongozi husika, au tayari wamejaribu njia hizo na...
Nemesio Oseguera Cervantes, anayejulikana zaidi kama El Mencho, alizaliwa Juni 17, 1967 katika kijiji kidogo cha Michoacán, Mexico. Alikulia katika familia maskini, akikabiliana na ukosefu wa fursa na mazingira magumu ya vurugu na umasikini, ambayo yaliunda msingi wa akili yake ya kibiashara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.