Aliyekuwa Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Rigathi Gachagua, amesema kuwa kuna kitengo cha siri ambacho kinapanga utekaji nyara wa vijana ambao umekua ukiripotiwa nchini humo, ambapo watu 7 wakiwa wameripotiwa kutekwa na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa Usalama siku za hivi huko nchini Kenya.
Matukio yaliyofuata mazishi ya mpendwa Erastus Nduati huko Limuru, Kaunti ya Kiambu mnamo Novemba 28, 2024, yaligeuka kuwa machafuko baada ya wahuni kuvuruga tukio hilo.
Makamu wa Rais wa zamani, Rigathi Gachagua, alilazimika kukimbia baada ya wahuni kuvuruga huduma ya mazishi ya Nduati huko...
Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027.
For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President.
Wiper Leader Kalonzo Musyoka and Deputy President Rigathi Gachagua. FILE
A political marriage between...
Home Sweet Home!
Thanking God for the gift of my family. The smell of fresh grass, sounds of chirping birds is what a happy family needs. I will remain forever grateful to God, for giving me a loving and supportive family. We are happy to be home, where I was born and brought up!
I can’t wait...
Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
Naibu wa Rais aliyeondolewa Madarakani amekimbilia Mahakama ya Rufaa kupinga Naibu Jaji Mkuu kuteua Majaji watatu wa kusikiliza kesi yake Mahakama kuu...
Kesi ya kupinga Kuondolewa Madarakani kwa aliyekua Naibu Rais Gachagua inaelekea pazuri na punde mahakama inamrejesha kwenye mamlaka yake ya awali. Asante Katiba.
Huku wanasiasa wakisisitiza vijana wajiajiri. Gachagua yupo mahakamani kutetea arudishwe kazini. Maana Mshahara mwezi hapati baada ya kutumiliwa na Seneti
Mawakili wa Gachagua wawashukia majaji wakitaka kesi isikilizwe kwa kuwa muda watakaoamua bila kaangalia muda ili nchi ya Kenya ipone.
https://nation.africa/kenya/videos/court-delivers-ruling-on-legality-of-ruto-s-housing-levy-4799932
Usalama katika makao makuu ya DCI katika Barabara ya Kiambu umeimarishwa huku Naibu Rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua akitarajiwa kujitokeza kuhusiana na madai ya majaribio kadhaa ya kumuua.
Malori ya polisi yenye vifaa vya kudhibiti umati ya watu yamewekwa nje ya boma.
Security has been...
Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria.
Soma...
Idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai DCI nchini Kenya imemwagiza naibu Rais Rigathi Gachagua kujiwasilisha katika makao makuu ya idara hiyo jijini Nairobi kuandikisha taarifa kuhusu madai ya jaribio la kumuua mara mbili na watu anaosema ni maafisa wa idara ya ujasusi NIS.
Soma Pia: Gachagua...
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai alikutana na majaribio mawili ya kuuawa kwa njia ya sumu kabla ya kuondolewa katika nafasi ya Naibu Rais na kusema kuwa Rais #WilliamRuto amemsaliti
Akizungumza baada ya kutoka Hospitali ya Karen alipokuwa amelazwa amesema “Sihisi kama nipo salama...
Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu.
1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000.
2. Malipo ya mkupuo Ksh 8.2m.
3. Posho ya mafuta Ksh. 108,0000(?).
4. Gari 2 (saloon cars).
5. Gari 4WD (1).
6...
Pamoja na kwamba Bunge la Kenya limemuondoa Madarakani Naibu wa Rais aitwaye Gachagua, Na kufikia hata kumpitisha Naibu Mpya aliyeteuliwa na Rais William Ruto, Lakini shughuli yote hiyo imezimwa na Mahakama ya Nchi hiyo.
Hii ni Baada ya Bwana Gachagua kuwasilisha pingamizi Mahakamani, Akipinga...
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti.
Kupitia wanasheria wake, Kamotho Njomo & Company, Gachagua alitaka kuzuia Bunge la Taifa kujadili, kumchambua, kupigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.