uelewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuamini ndoa ni Mpaka ifungwe kanisani au Msikitini ni dalili ya utumwa na uelewa mdogo kwa watu

    KUAMINI NDOA NI MPAKA IFUNGWE KANISANI AU MSIKITINI NI DALILI YA UTUMWA NA UELEWA MDOGO KWA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Acha Dotto Magari adharau Wasomi. Ingawaje naamini hawadharau kwa mambo mazuri bali kwa baadhi ya ishu walizonazo. Hasa kifikra. 2. Fikiria binti aliyehitimu...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

    Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni. Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida. Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Jaji anashindwa kutofautisha seating na sessi au alitaka kupotosha mshitakiwa na mahakama , Kwa wenye uelewa mtusaidie tofauti

    Kama alitaka kupotosha mahakama Nia yake nini Kwa mshitakiwa Inakuwaje NENO dogo kama Hilo Jaji anakosa uaminifu je vipi kuhusu hukumu ya kesi yenyewe Inakuwaje mifumo mikubwa inayoiminika kuwa katika hali hii kwenye kesi kubwa namna hii Jaji ameleta kifungu namna Lissu alivyolitafsiri...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hatuna uelewa mpaka watusanue?

    I hope uko poa mdau wa jamiiforms,Baadhi ya Viongozi waliobalikiwa akili nyingi za kiutambuzi wamekua wakitusanua sana sisi watanzania juu ya mambo mbalimbali . Mfano ukifuatilia ziara za Viongozi wanatoa kauli kama "Amka Kuna watu wanalionea wivu Taifa letu sababu ya utajiri " "Watanzania...
  5. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania ice-USA, mwenye uelewa, sijaelewa!

    bado sijaelewa hivi hawa ice ambao wako kwenye news kila mahali tatizo liko wapi? kwa nini stress hizi zoote na maandamano ya kuwapinga, je, wanaonea watu au tatizo ni nini? nilifikiri labda wanafanya control ya watu ambao wako nchini USA illegally au kwa maneno mengine hawakupswa kuwepo USA...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, hawa vijana wana uelewa na weledi wa kutosha?

    Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa na maslahi tofauti kwenye hali tuliyo nayo Wapo wafaidikaji wakuu na wenye maslahi ya moja kwa...
  7. komunisti

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa loan restructuring

    Habari wadau,kama title inavyojielezea. Hii loan restructuring kwenye mfumo wa utumishi ikoje hasa? Maana naona upande wa benki ya CRDB haiko active
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kichocho unaofadhiliwa na Wachina waongeza uelewa miongoni mwa watoto wa Zanzibar

    Katika onesho la rangi, ubunifu, na kujifunza, mamia ya watoto wa shule katika Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar, walishiriki katika shindano la kunakili bango kwa mkono lililoandaliwa ili kuongeza uelewa wa kichocho, ugonjwa wa vimelea ambao unaendelea kuwa changamoto ya afya ya umma katika maeneo...
  9. Sales man

    JamiiForums Tanzania Gen Z ndo kizazi bora na cha watu wenye upeo wa juu wa uelewa

    Gen Z ndo kizazi cha watu smart sana tangu dunia iumbwe.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Said Miraji: Tunahitaji wabunge wenye uelewa na ufahamu zaidi wa kukosoa hoja

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini uelewa wa haki ni mdogo sana kwa viongozi wengi wa CCM?

  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Trading yangu ya kwanza ilikua KSH/TSH, hapa ndo utapata uelewa mzuri wa forex kuliko mentor uchwara

    Kwa wale ambao ni wageni forex na wanatamani kuingiza ela,, ni vema ukaanz ana pair KSH/TSH kwa lugha nyepesi unawezaa kuplay part kama wale jamaa wa border na ukatengeneza pesa nzuri, miaka 8 nyuma nlianzaga kutrade ksh/tsh mpakani lakini ata nliondoka bado nliendelea kutrade mjini, issue iko...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kufeli kwa mwanafunzi kunasababishwa na kufundishwa na mwalimu au mkufunzi asiye na uwezo wa kuwasilisha mada na kueleweka

    Kwa sababu, kufeli kwa mwanafunzi kunasababishwa na mwalimu kutokueleweka darasani. Iwe ni shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu n.k Mwalimu au mkufunzi aliyebobea vizuri kwenye taaluma yake, atakuwa na uwezo pia katika kuwasilisha hiyo taaluma kwa wanafunzi wake anao...
  14. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Siri ya utawala imefichwa kwenye uelewa wa siasa

    “Iwapo angalau robo ya watu duniani wangeelewa siasa ni nini na kutambua umuhimu wake katika maisha ya kila mtu, basi binadamu wasingeweza kutawalika kirahisi.” – Alloyce, P.R.
  15. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Mipaka ya maarifa ya binadamu: safari ya uelewa wa ulimwengu na yale yasiyoguswa

    Binadamu ameendelea kufanya ugunduzi mkubwa kuhusu ulimwengu anaouishi. Kupitia sayansi, teknolojia, falsafa na dini, tumeweza kuelewa kwa sehemu baadhi ya siri za asili, maisha, na mazingira yanayotuzunguka. Hata hivyo, pamoja na maendeleo hayo, bado kuna maswali ambayo yanabaki bila majibu ya...
  16. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuku nisio uelewa

    Mwenye kujua huu ugonjwa wa kuku kifaranga kuvimba miguu anisaidie kujua aina ya ugonjwa na dawa yake.
  17. P

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na gynecomastia(matiti kwa mwanaume)

    Nilitaka kufahamu gharama ya upasuaji Kwa gynecomastia Kwa Tanzania. Pia hospital zipi nitapata hiyo huduma?
  18. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Anazindua kitu asichokua nacho uelewa wowote, Wameshindwa hata kumpa ABC, anajikuta anauliza maswali yasoendana na alichozindua!!

    Huenda angeambiwa, Asingeenda, angemtuma Naibu Waziri tu !!. Kilichozinduliwa ,katika Teknolojia ya Uranium, ni Uhuni Mtupu
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM hawana uelewa na mabadiliko

    CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu. Pili Kwa chama ambacho ina wanachama wengi vijijini kikao Cha mtandao siyo inclusive kwani bado tuna...
Back
Top Bottom