Wanafungua kwa muda na ku post issues zao...... but this is not practical maana watafungua na kufungua mara ngapi kwa siku?
Au Wanatumià VPN? Sasa kama wanatumia VPN, si na wanachi watafanya hivyo hivyo! Sasa kufunga kunasaidia nini?
Kupitia Mtandao wa X, Rose Mayemba kawatuhumu waarabu fulani(kaweka picha na majina yao) pamoja na watawala kuwa wanachukua shilingi 544 kwenye kila lita ya mafuta pamoja na tuhuma zingine za mamilioni ya lita za mafuta kutoingizwa kwenye mfumo rasmi na kutoonekana katika takwimu zozote.
Kwa...
Mtandao wa X umefafanua upya maana ya alama yake ya bluu (Blue Checkmark), ambapo mtandao huo umedokeza kuwa kuanzia sasa (Verification Mark) alama ya bluu haimaanishi tena kuwa akaunti inamilikiwa na mtu maarufu au imethibitishwa utambulisho wake halisi.
X imeeleza kuwa uamuzi wake huo ni...
Tangu nimeflash simu huu mtando ndio pekee umegoma niki downglod pamoja na kutumia vpn lakini wapi
Yani kuna mda kama unataka kukubali naingiza user name na pasward nalog in inazunguka kiasi alafu inakata yenyewe cm inarudi kawaida kama nime exit vile.
Nifanyenye?
Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
https://x.com/NiohBerg/status/2009742024384147606
Ndugu zangu hakuna namna ya kuimboa Tanganyika, zaidi ya Kupandisha bendera ya Tanganyika,
hatutaki Muungano, Walizuia Sherehe za Muungano lakini wameenda kufanya sherehe za Mapinduzi
Kuna mtu anaelewa msemaji wa serikali Bwana Gerisoni huwa anampostia nani au watu gani wakati ambapo mtandao wa X wameufungia?
Haiwezekani akawa anawapostia diaspora au watu wa mataifa mengine ya nje wakati wajibu wake wa kwanza ni kwa raia wa Tanzania ambao mshahara wake unatoka kwenye kodi...
X ni mtandao wa ngono, dunia inatambua ukweli huu ndiyo sababu inapozungumziwa yanatumika maneno ya kuficha aibu "Formally known as Twitter" "Iliyokuwa ikijulikana kama Twitter"
Inakuwa vigumu sana kuishia X bila kuambatanisha maneno hayo kwasababu itatengeneza fikra za ngono katika vichwa vya...
Anaandika Godbless J Lema
TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA.
Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa Qatar kwenye Mkutano unaofahamika kama Doha Forum alizungumzia masuala anuai yanayohusu vijana ikiwemo elimu, uchumi, na mustakabali wa Afrika.
Baada ya mkutano huo alichapisha ujumbe kwenye mtandao wa X akiwa amefunga comment, ambapo maoni ya watumiaji wa mtandao...
Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje .
Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni ukurasa fulani haikubali je !hua mnafanyaje msaada hapa
Kwa mara ya kwanza, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amefunguka kuhusu sababu ya mtandao wa kijamii X (zamani Twitter) kutopatikana nchini Tanzania.
"X tumejadiliana nao sana juu ya mtindo wao wa kuruhusu maudhui yasiyofaa kurushwa katika anga letu, baada ya mazungumzo ya muda mrefu...
Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.
Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.
Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.