Menara (Hebrew: מְנָרָה) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemteua Haji Manara kuwa Msemaji wa Timu za Taifa za Tanzania, akifanya kazi chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT).
Waziri Makonda ametangaza uteuzi huo leo Mei 28, 2026, akiwa viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mannara ameandika ujumbe huu baada ya kuona wimbo wa Dulla Makabila,
"Ukijiendekeza utajipiga kitanzi kweli ww shauri yako
Ok nna jirani yangu anatafuta Mume njoo nikulipie mahari usonge mbele.
Najua utaacha kubweka bweka mitandaoni bro
Ahadi zetu Wanaume ni...
Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana.
Mara baada ya kukaribishwa, ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha kutotaka kuwaachia wenzake nafasi ya kuongea huku akijaribu kufanya uchambuzi wa hapa na pale kuhusu...
Kuna ufisadi wa kutisha kwenye ujenzi wa barabara za mitaa Kariakoo lakini diwani wa kata hiyo Haji Manara yuko bize kutetea matajiri na kuhamasisha wamachinga wafukuzwe kila kona!
Wanachokifanya kwenye ujenzi wa barabara za mitaa ni kumwaga oili na cement kwenye barabara kila wanaposikia kuna...
Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo
Huku...
Katika mkutano wa waandishi na waandishi wa habari alioufanya leo Novemba 20, 2025 Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya kariakoo Hajj Sunday Manara ameeleza kuwa udiwani wa kuvaa majoho na masuti kwa sasa lazima uachwe akitilia mkazo suala la uwajibikaji kuliko kuzingatia vyeti...
Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ametangaza rasmi tarahe ya uzinduzi wa ofisi za Manara tv huku ikiwa ni mabadiliko ambapo awali uzinduzi huo ulitakiwa ufanyike November, 2025. Mabadiliko hayo yamechochewa na shughuli za uchaguzi mkuu...
Mkurugenzi Mtendaji wa Manara Tv na Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Manara
ameondoa taharuki kufuatia taarifa zilizosambaa kuhusu hali yake ya kiafya, akihakikisha kuwa yupo vizuri na wala haumwi.
Akizungumza hii leo Oktoba Mosi, 2025 Ndugu Manara...
Kwenye press yake Jana Mgombea Udiwani Kariakoo, Haji Manara katetea kitendo cha Abdul kumiliki magari ya kifahari eti ni haki yako sababu ni mama yake ni Rais. Huu utetezi wa kihuni ungeupeleka Kwa Wahuni wenzio.
Pia soma >>> GE2025 - Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu...
Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha*
Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na Ezekiel wa Manara TV Arusha
Taarifa za awali zinasema walikamatwa jioni hii Jijini Arusha na hadi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC.
Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
Historia yake vipi kama hii hapa
KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhusishwa na tuhuma za utapeli. Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kirumbe Ngenda, jana alilithibitishia gazeti hili kuwa wamekubali barua ya...
TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii.
-
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
Haya madhaifu Yake hakuyaona kabla Gwajima hajaamua kua mkweli na kupinga utekaji? Inamana Gwajima asingetoka hadharani kupinga utekaji Manara asingempiga vita, kosa la Gwajima NI kukosoa serikali na kukemea utekaji.
Inamana watu kama wakina Manara na Steve Mengele wanafurahia watu kutekwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Kamati ya Halmashauri Kuu ya Chama hicho, imemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, @hajismanara , kuwa miongoni mwa wagombea watakao wania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kariakoo,Wilaya ya Ilala, Jijini Dar es Salaam.
Uteuzi wa Manara umetokana na mchakato...
Wakuu!
Baada ya msanii chipukizi wa Singeli, Dogo Patten, kususia mahojiano kwenye kipindi cha Gen Talk cha Mjini FM, gumzo limeibuka mitandaoni likihusisha watangazaji na mashabiki. Tukio hilo limezua hisia kali baada ya vipande vya mahojiano kuonyesha watangazaji wakimshinikiza msanii huyo...
Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi.
Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia kofia.
Muda si muda watazamaji wanagota laki +.
Na ukweli hawa hawakunifuata mimi.
Wamemfuata Haji...
wakuu
======
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central.
Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.