huruma

Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.

View More On Wikipedia.org
 1. T

  Hakuna kitu kinaitwa uungwana au huruma katika kuongoza Taifa

  Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kutowajibika kwa viongozi. Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa...
 2. Sandali Ali

  Ukizama online slots (casino), wanaobet mpira utawaonea huruma

  Siujui mpira vizuri na betting za mpira sizijui vizuri ila naona wanapigwa tu kila siku. Mtu anachakazwa wiki tatu anapewa siku moja elfu 50 basi hiyo siku mpaka mkewe atajua kuwa baba kapiga pesa kumbe ni elfu 50 tu au laki. Ukipiga hesabu kapata negative kubwa ndani ya mwezi. Online casino...
 3. Stress Challenger

  Sheria ya kunyonga itekelezwe bila huruma

  Mama usiogope. Weka sahihi wale wote wamehukumiwa kihalali kunyongwa hadi kufa wanyongwe tena hadharani mbele ya kadamnasi. Temana na hivi vikundi uchwara wa haki za binadamu. Tia sahihi waliohukumiwa kunyongwa wanyongwe hadi kufa. Tena wote kwa mkupuo iwe funzo. Watu wanaua hovyo hovyo tu...
 4. Chagu wa Malunde

  Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

  Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa? Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi. Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais. Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya...
 5. T

  Kwa nini Tanzania huduma nyingi za kisasa za mitandao hazipatikani?

  Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania. Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria. Sasa natumia Twitter...
 6. Mganguzi

  Wadada wanapenda kuuliza ATI kazi Gani unafanya? Wanamtaka mwanaume atakaetatua shida zake! Mtuonee huruma tuna watoto na wazazi!

  Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni! Na maswali yenu ya kipuuzi...
 7. ommytk

  Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

  Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
 8. Memtata

  Huruma ya mapenzi inaniponza

  Ushawahi kusoma kisa changu cha mrembo Joyce? Sasa leo yananikuta sababu ya huruma yangu. Joyce bana niliendeleza uhusiano nae, amenieleza shida zake nyingi na kujutia aliyowahi kuyafanya na kusema sasa anataka kutulia, mimi nikajifanya baba huruma nikamwambia usijali mama nitakusaidia kadri ya...
 9. MamaSamia2025

  Tumpinge Lissu kwa hoja. Kutumia ulemavu wake kama hoja ya kisiasa ni kumwezesha kupata kura za huruma kwa wananchi

  Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi. Kila ninapokumbuka...
 10. Analyse

  Ifike hatua, wanawake muwe na huruma dhidi yetu wanaume

  Muda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria zamu yangu ifike. Pale pembeni palikuwa na salun ya kike, yaliyokuwa yanazungumzwa humo ndio...
 11. Nyamwage

  Pastors kueni na huruma acheni kuwakamua kondoo wa Bwana

  Habari Nimebaki mdomo wazi baada ya ndugu yangu wa karibu kukata 10% ya mafao yeke ya usitaafu na kumpelekea mchungaji kama fungu la kumi kakata tena vimilioni kadhaa vingine katoa kama sadaka ya malimbuko ya mwisho wa mwaka kanisa linapokea tu hiyo pesa na halijui baada ya miaka kumi ijayo...
 12. Idugunde

  Sasa nimetambua kuwa Chama ni watu. CCM ipo mikononi mwa watu wabaya wasiokuwa na huruma

  Angalia hali ya maisha inayowakabili wananchi wa kawaida ilivyo. Kupata mlo mmoja kwa siku ni tabu. Lakini waziri wa kilimo anaona sawa tu kuuza mazao ya chakula holela nje ya nchi bila udhibiti. Angalia hali ya maisha ilivyo ngumu tozo za kila namna zinawaathiri watanzania wa hali ya chini...
 13. S

  Matapeli waoneeni huruma Watanzania

  Wasalamu, Kipo kisa kilichotokea juzi cha kujifunza. Kinahusisha wahusika wanne. Ambao ni binti, wakala, tapeli na boss wa binti. Binti wa Kazi kapokea message kwamba katumiwa shilingi 750,000 kupitia namba hii 0672312375 ya tapeli, kisha tapeli kampigia simu binti kwamba amekosea kutuma pesa...
 14. Guru Master

  Yesu alipoliangalia hili Kanisa la leo, linatia huruma

  Maneno mengi Yesu aliongea Juu ya Kanisa. Zaidi sana juu ya siku za mwisho. Na kulionya Kanisa juu ya wakati wake wa Mwisho. Ya kwamba utakuwa wakati wa Hatari. Kanisa lisije kujisahau. Liendelee kama lilivyopatana na Yesu. Lifanye vivyo hivyo mpaka atakaporudi. Yesu alisema. " Kanisa...
 15. Idugunde

  Ni aibu kwa chama tawala chenye asili ya ukombozi kuwa na Wazee kama Yusuph Makamba ambao hawana huruma juu raia wanaoteswa na tozo na mgao wa umeme

  CCM ni chama kikubwa hapa Africa na dunia nzima. Bahati nimezunguka mahala pengi hapa duniani. Ulikiwa ukienda Botswana, Zimbabwe au hata South Afriaca ulikuwa ukikutana na raia wa huko lazima wakuukize juu ya CCM ya akina Hashim Mbita (RIP) maana kilikuww ni chama kilichojaa utu na nia thabiti...
 16. brokenagges

  Ni hujuma kwa Taifa

  Hii ni dharau kwa Rais samia pamoja na serikali yake kwa ujumla. Ni jambo lenye fedheha kabisa rais anapotoa maelekezo yasizingatiwe. Mkuu wa nchi anapoongea inakuwa ni amri. tumekosa mvua kwa muda mrefu na kumekuwepo na uhamasishaji kutoka kwa mheshimiwa Rais, makamu wa rais, waziri mkuu na...
 17. wadiz

  Huruma ya kimkakati katika mapenzi

  Upole, busara na hekima ya kimaongezi na kujali yataka kuwa shubiri iliotamu. Ipo hivi kuna pisi inapitia nyakati tata ako na boy wake yuko TASAF mahali, jamaa hapati fursa ya kula mbususu, sasa upweke wa hii pisi nimekuwa mfariji, anaebalance hisia zake na utulivu. Of recent, she has amidstly...
 18. M

  Kwanini iwe wao tu wakishika hatamu ndio wanatutesa na sakata la umeme? Ina maana wao hawana huruma? Wazee wa madili

  Yaani mkulu wa Bagams alipokuwa madarakani tuliteseka sana na umeme. Nchi ikawa gizani. Makelele ya jenereta yakawa komoni. Sasa najiuliza mbona ule upande mwingine wa akina Mpina uliposhika hatamu haya ya mgao wa umeme yalipotea? Ina maana hawa jamaa hawana huruma na sisi?
 19. Memtata

  Kwanini wanawake hamna huruma?

  Ulishawahi kutoka na mwanamke wa mjini sister du fulani out? Akiletewa menu anaagiza nusu kuku na chips alafu anakula kiupaja kimoja na vichips kadhaa anajifuta na tishu kwa mikogo vingereza vingi alafu anakwambia ameshiba! 🤔 Wanaume tumeumbwa mateso hadi kwenye ndoa yanatukuta haya. Leo...
 20. MK254

  Video: Hadi huruma, hivi Urusi mbona anatesa hawa vijana wake

  Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
Top Bottom