awamu ya sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini jeshi la mtandaoni la JPM waliacha kusapoti awamu ya sita ya mama?

    Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi. Jina la buku saba lilianzia...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita ndo inaongoza kua na viongozi mzigo kwa wananchi kuzidi awamu zote. Tangia nchi imepata uhuru

    Awamu zote hiii awamu kiboko Ina viongozi mzigo kuanzia kitongoji mpka huko juu kwenye mihimili wana uwezo mdogo sana IQ na EQ zao kwakweli zinatia mashaka makubwa sana. Jamani hata kama mlijichagua bila kuchanguliwa na wananchi ndo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Polepole lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati Serikali ya awamu ya Sita ilifanya

    Kwenye vita huwa hatushambulii kulia, kushoto, mbele na nyuma lazima uache njia ya kukimbilia ukizidiwa. Baada ya kusikia Mke wa Lissu na Dada wa Polepole kwenye bunge la Ulaya niseme kuwa hakuna Barua au safari Kombo na Samia watafanya itazaa matunda, hata watembee uchi. Huko kwenye Siasa za...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya sita, Imefeli Kusimamia Sekta ya Madini Chunya na Songwe

    Kwa masikitiko makubwa, wananchi na wachimbaji wadogo wa Wilaya za Chunya na Songwe wameendelea kulalamikia hali mbaya ya utendaji ndani ya ofisi za Tume ya Madini, ambapo vitendo vya rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya madaraka vinaonekana kuwa sehemu ya kawaida ya utendaji wa kila siku...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali imejenga zaidi ya Kilometa 1,495.45 za Barabara kiwango cha lami na madaraja makubwa 18 ndani ya Miaka 5

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight

    Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight Serikali kupitia National Institute of Transport (NIT) imeanza rasmi kutoa mafunzo ya urubani tangu Julai 2025 baada ya chuo kukidhi vigezo vya Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) na kupokea ndege...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge: CHADEMA kufunguliwa ina dhihirisha 'utawala bora' wa awamu ya sita

    Mbunge wa Lupembe Edwin Swale adai CHADEMA kufunguliwa ina dhihirisha 'utawala bora' wa awamu ya sita, 'mama anapenda vyama vyote'.
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita imevunja record ya kufuturisha inaonekana ni Sehemu ya ilani ya CCM

    Hello. Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha. Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama. Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makubaliano yamefanywa Muungano umevunjwa rasmi bila maandishi wala tangazo na Zanzibar inaruhusiwa kujifanyia kila kitu isipokuwa kuwa na jeshi

    Nashangaa sana kwamba Watanzania wengi, hasa watu wa bara, hawajagundua kwamba awamu ya sita imevunja muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar bila maandishi au matangazo. Hadi sasa kuna makubaliano kwamba Zanzibar watajifanyia kila kitu ambacho nchi rasmi inafanya isipokuwa hawatakuwa na jeshi...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inanuka damu za Watoto wetu

    Salaam Wakuu, Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki. Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu. Watu wakawa wanatema mate chini.. Yaani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo dume, chuki wivu na udini ni baadhi ya sababu kwa watu kueneza chuki dhidi ya utawala wa awamu ya sita

    Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya, Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere Maisha magumu toka...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Mwisho wa awamu ya sita usipimwe tu kwa majengo na vitu vinavyoonekana, bali kwa tabasamu la utu kwenye nyuso za Watanzania

    Rais Samia leo katika ufunguzi wa bunge jijini Dodoma amemalizia kwa kusema Rais Samia amesema Namuomba mungu mwisho wa utumishi wa awamu ya sita usipimwe tu kwa vitu, majengo na vitu vinavyoonekana bali kwa tabasamu la utu litakaloachwa kwenye nyuso za watanzania
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote wenye akili timamu adui yetu tunamjua Ila lawama kazibeba Mama. Huyu mama namuonea huruma sometimes

    Watanzania, adui yetu tunamjua. Tatizo ni kwamba tayari ameshameza mifumo yote ya nchi, vyombo vya dola na mihimili yote viko chini yake. Juzi Mwenda Pole alitupa kama wake up call, akitaka tuamke, lakini bado tuko usingizini. Wengi wanamlaumu Mama, lakini ukweli ni kwamba huenda naye kamezwa...
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kulikoni mbona maandamano ya Oktoba 29 yanazidi kushika kasi

    Nikiri kuwa mwanzoni nilikuwa nachukulia poa swala la maandamano ya tarehe 29 October. Niliona kama Mange anapoteza muda. But ukweli ni Kwamba maandamano yanazidi ku gain momentum. Tumeanza kuona viongozi wa chama na serikali wameanza kutoka na kutoa vitisho. Tumeona Hadi Chawa kina Haji...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chonde chonde Serikali ya Awamu ya Sita, mtaleta machafuko nchini

    Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, amani nchini itatoweka 1. Viongozi wa vyama vya upinzani vyenye kuonesha kuungwa na jamii (km CHADEMA na ACT-Wazalendo) wanawekewa vipingamizi visivyo na misingi, na kuekelea wapiga kura, wanaowaunga mkono, kutokushiriki Uchaguzi Mkuu, kinyume na haki yao...
  18. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Serikali ya awamu ya sita?

    Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine. Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita. Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake. Lakini haya husemwa kila awamu...
  19. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  20. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Faida za elimu bure awamu ya sita

    Ndugu zangu watanzania, Leo sina maneno mengi ya kuongea nanyi Bali nimewaletea tu matokeo na FAIDA ya ELIMU bule katika awamu ya sita Hakika mama katufikia watanzania na tuna mpenda na tunatamba nae na ELIMU tunasoma bule na hakuna necta la Saba wala kidato Cha pili SI kwenda tu mbele kwa mbele
Back
Top Bottom