Baadhi ya viambato hai vya skincare (active ingredients) hufanya kazi pamoja kusaidia kuongeza unyevunyevu, kuondoa seli zilizokufa za ngozi, na kurekebisha kinga ya ngozi (skin barrier). Kuchagua viambato sahihi kunaweza kuleta tofauti kubwa katika jinsi ngozi inavyokuwa laini na yenye...
Ongezeko la wafanya biashara wa vipodozi vya kung'arisha limekuwa la kutisha. Kila siku akaunti mpya Instagram, TikTok live kila saa. Bei sh 3,000 - sh 10,000. Ahadi ni "Dada, siku 3 tu unakuwa mweupe kama umepigwa filter". Watu wengi wananunua bila kuuliza kuhusu usalama wa Ngozi.
Biashara...
Wakuu samahani et mtaji wa milioni 2 unaweza kutosha kufungua duka la vipodozi? Je, biashara hii ikoje kwa upande wa Dodoma? Naombeni msaada wakuu mwenye uelewa na biashala hii
Pia soma: Ijue biashara ya vipodozi (cosmetics business) Tanzania
Zamani nilikua nahangaika sana na vipodozi, mie kutwa napambana na urembo yaani nikisikia hiki ninacho kile natafuta ili tu nisipitwe na fasheni ya urembo mjini.
Siku moja nikaambiwa mafuta fulani yanafanya ngozi iwe na mnga'ao wa kuvutia sana nikayatafuta nikayatumia kilichonikuta yale mafuta...
Biashara ya vipodozi ni moja ya biashara zinazokua kwa kasi sana Tanzania kwa ujumla. Kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijamii, ushawishi wa influencers, na uelewa wa self-care kumeongeza mahitaji ya bidhaa za urembo kwa wanawake na wanaume.
Ukuaji wa kipato cha watu umeongeza matumizi...
NAHITAJI Kwa ajili ya duka la vipodozi, mafuta losheni na nini na nini.
Usipoint Kwa MTU au kwenda MOJA kwa moja Kwa supplier tuanzie hapa. Pasipoeleweka nitaenda ila itakuwa balaa
NB sina experience YOYOTE nataka dogo flani asimamie
Weka HATA pdf lako au excel.
Kufungua duka la vipodozi ni fursa nzuri ya biashara, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za urembo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kuuza, unatakiwa kuwa na leseni ya biashara. Leseni hii ndiyo itakayo kuthibitishia kisheria kuwa unaruhusiwa kufanya biashara na pia inaleta uaminifu...
Kampuni ya usambazaji wa mafuta ya GBP, iliyopo jijini Tanga, imeungana na vyombo vingine vya usalama, likiwemo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, katika juhudi za kukabiliana na moto mkubwa uliolipuka na kuendelea kuteketeza Kiwanda cha Mafuta na Vipodozi cha Mamujee.
Moto huo ulianza kuwaka usiku...
Mwaka 2017 nilipeana rasmi mkono wa kwaheri na mwajiri wangu Simba Technology ,Posta Dar es slaam. Maagano ya ya kirafiki na bashasha kila mmoja akimtakia mwenziye kila la kheri.Hapo nilikuwa nimetumia miaka 3 kudeal na biashara ya sabuni asilia kwa muda wa ziada wa ajira ,iwe usiku,weekend hadi...
Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu
Wamuulize luiza mbutu na dotinata
Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni
Na ya mkia...
Katika dunia ya leo, matumizi ya vipodozi ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Hata hivyo, wazazi wengi hawafahamu hatari zinazoweza kusababishwa na viambato sumu vilivyomo kwenye vipodozi hivi, hasa kwa watoto wachanga. Hapa tunaangazia madhara ambayo vipodozi vya kemikali vinaweza kuwa nayo...
Eheeee.
Habari nmeamua tu kukudokeza Uumbaji wa Mungu ni waajabu sana Mungu ametupa joto ambalo huwa linapungua na kuongezeka kulingana na mahali na vitu tunavyofanya. Shetani katika kutimiza malengo yake ameleta vitendea kazi ikiwepo Vipodozi vikali vya kujichubua n.k
Hivi Vipodozi vinapunguza...
Unadhani ni nini kinasababisha tatizo la dawa za kupunguza na kuongeza mwili (Kujenga Shape) na vipodozi vyenye madhara kuendelea kuwepo nchini licha ya madhara yake kujulikana? Unapendekeza hatua gani zichukuliwe ili kuondoa changamoto hiyo nchini?
Pia soma: Umeshawahi kununua dawa za...
Tunaomba Serikali yetu sikivu iangalie hili janga la Vipodozi Haramu vinavyouzwa kama njugu hapa Matui na bwana moja anayejieta ni Agent wa Vipodozi kutoka Congo, Zambia na South Africa, huyu mtu ambae anajieta Jina la hivyo Vipodozi anauza hadharani hivyo Vipodozi ambavyo vimepigwa Marufuku na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako na doria za nguvu na zenye tija katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio makubwa ikiwemo kukamata watuhumiwa 14 kati yao wanaume ni 11 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa kusafirisha vipodozi vyenye viambata sumu na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu (majina yanahifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi) wakazi wa Tunduma kwa tuhuma za kuingiza nchini vipodozi vya aina mbalimbali vilivyopigwa marufuku vyenye viambata sumu pamoja na bidhaa za magendo kupitia njia za panya.
Kamanda wa...
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV vipondozi vinatekezwa na mamlaka husika.
Ninavyojua mtu hawezi kuweka bidhaa kwenye duka lake ikiwa haina soko, tena bidhaa ambayo ni hatari kwake akikutwa na serikali.
Vipodozi hivi vinanunuliwa sana na watu ndio maana vinajazwa kwenye maduka.
Leo...
Habarini wakubwa heshima yenu
Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.