Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
Kuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili.
Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao.
Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe.
Naamini...
Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha.
Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza
Akizungumza na waandishi wa habari...
"Katika nchi yetu mauaji haya ya nini, ni ya kihistoria. Hatujawahi kupata shida kama hii. Ni mauaji makubwa, makubwa sana. Haya mauaji yaliyotokea ni makubwa sana, kuna maiti hazionekani, kuna maiti hazikuzikwa, kuna watu wengine walienda Mochwari wakiwa hai, kuna mambo ya ajabu ya hovyo...
Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
"CCM naiona inaondoka madarakani. Kama mmenisikiliza vizuri hayo mambo ninayoyazungumza ni ya msingi sana. Eh, nimesema labda sikusema mwanzoni, Roman Empire ilikuwa na jeshi kubwa sana lilikuwa litifu sana, lakini Roman Empire haikuanguka kwa sababu ya kushambuliwa kutoka nje. Ilianguka yenyewe...
Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona...
Ndugu zangu Watanzania,
Ambacho Hamkijui Ni Kuwa Mchungaji Peter Msigwa aliondoka CHADEMA kutokana na Kukosa Cheo cha Uwenyekiti Wa kanda ya Nyasa baada ya kudondoshwa na kugaragazwa vibaya na Sugu. Alipoona Amekosa Cheo Mkononi Mwake akaamua kutimua Mbio kali sana Kuja CCM kwa matarajio ,imani...
"Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika.
Ameandika Mch. Peter Msigwa
Historia inaonyesha:
mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali ,
Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
"Ukweli ni Kuwa dereva wa Daladala anaweza kusimama na kukupakia mahali ambapo hakuna kituo cha Daladala.
Lakini dereva huyo huyo atakataa kukushusha mahali ambapo hamna kituo cha Daladala.
Hii inathibitisha watu wanakuhitaji pale tu wanapofaidika na wewe, Changamka."
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa thamani yake kama binadamu haijawahi na haitawahi kutegemea vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa.
Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Neema Msafiri wa Msafiri Online, Msigwa amejibu mapigo kwa wale wanaodai kuwa...
Wakuu
Akiwa sehemu ya ujumbe wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla anayeendelea na ziara ya kikazi kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati, mkoani Manyara ameeleza...
Huyu aliyekuwa kada maarufu wa Chadema, baada ya kushindwa uchaguzi na kutokomea ccm, mchungaji msigwa yupo wapi?
Mshitueni wenzake wameanza kuopoa vyeo huku, je! Yeye alitoka kindezi? 😀😀
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa...
Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema:
"Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
akili
gerezani
hasara
hazina
lissu
mama samia
mchungajimsigwa
mkweli
msigwa
msimamo
mzalendo
nje
nje ya serikali
nzuri
samia
serikali
taifa
tundu lissu
uchaguzi 2025
uchaguzi chademac2024/2025
uenyekiti chadema
ukweli
Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.
Je, ni kweli...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa hawezi kumkwepa kumkabili kisiasa, kwani Msigwa amehamia chama pinzani na si mwanachama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.