Akuliarusiarsuup Kuua (Danish: Sandflugtdalen) is a river and valley of the same name in the Qeqqata municipality in central-western Greenland. Its source is the meltwater outflow from Russell Glacier, an outflow of the Greenland ice sheet. The river is a tributary of Qinnguata Kuussua, the main river in the Kangerlussuaq area. For most of its run, the river flows very slowly through the sandur basin of the valley, forming meanders amongst large fields of glacial silt quicksand. The climate is polar continental, with the area receiving very little rainfall.
Raia wa Sudan nchini uingereza baada ya kumuona mtawala wa Dubei na makamu wa rais falme za kiarabu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum akikatiza mitaa ya London akizingirwa na jopo la walinzi alipaza sauti na kumshambulia muuaji mkubwa acheni kuua watu wangu wa Sudan emirati na UAE nyie ni...
Nimeona mnaongelea dira ya 2050 kuhusu kuboresha AFYA za wananchi kuwa na TAIFA lenye wananchi wenye AFYA..
Kama hilo halitaendana na KUDHIBITI bidhaa za vyakula
1)energy drinks
2)pombe kali VISUNGURA
3)dawa za kuulia wadudu kwenye mboga mboga sokoni
(nunua nyanya sokoni peleka maabara kwa...
Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa.
Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma.
Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
Mahakama Kuu ya Nairobi ilimpata Meja wa zamani wa KDF Peter Mugure Mwaura na hatia ya kumuua mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika Kituo cha Anga cha Nanyuki.
Ushahidi wa kiuchunguzi uliimarisha kesi dhidi ya Mugure huku uchunguzi wa DNA ukithibitisha kwa uwezekano wa 99.9% kwamba...
Wadau , hili sakata ni la kusikitisha sana na limewaacha wakazi wa eneo la Suneka kule Kisii County kwa mshtuko mkubwa mno.
Polisi wamemtia mbaroni kijana mmoja anayesoma Grade 9 kwa tuhuma za kufanya unyama wa kutisha kuwabaka na kisha kuwaua wasichana wawili wadogo sana wa darasa la PP2...
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitandao ya kijamii kuratibu mikakati ya kuvuruga amani na usalama wa...
Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali.
Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
Wote tunajua Marekani jinsi ilivyo mstari wa mbele kupambana nna Magaidi pale wanapojitokeza Nchi yoyote.
Kwa yanayoendelea Nchini Tanzania, hivi Samia Suluhu akishitakiwa kwa kufadhili Magaidi, na Vikosi vya kuua Wakristo, nani atamtetea?
Sasa hivi kwenye Misikiti Watu wanafundishwa Judo...
salaam,
Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini
https://vt.tiktok.com/ZSQEygmWJ/
Msaada wa kisheria kwa wanasheria.Mahakama imekuambia umehusika japo sio mshiriki alafu ila katika kesi ukapewa kifungo na umri wako ukijumlisha ni bonasi za mungu.
Mwisho wa siku yule marehemu waliyesema mahakamani umehusika na unamfahamu au kupeleleza unakutana naye .Je mahakama itafanyeje
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!
Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu.
Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno.
Yaani kabisa...
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe...
Adui yetu ni Genge la Samia , Genge la MAFWELE, Genge la Msoga.
Adui yetu ni Mtanzania yoyote ambaye ama kwa Nafasi yake ametumika Kushabikia, Kutekeleza au kufunika Matukio ya Utekaji, Uuaji, Kumfunga Lissu Jelaz Kufungia CHADEMA, Wanaozuia KATIBA Mpya, Wanaosababisha Maisha magumu kwa...
US kadeal na MAFWELE ,sababu alousema ni "Kuwateka akina Agatha".
Sasa Kuna wale walikua Wanapiga Vita UKRISTO, Waloua watu Okt 29, Wanaomfunga Lissu na kuanzisha vita dhidi ya DEMOKRASIA.
Na nyinyi Jiandaeni, Tena nyinyi Kipigo Chenu ni Cha Mbwa Koko
Soma pia Mafwele azuiwa kuingia...
Endeleeni kupumzika kwa amani Watanganyika wenzetu mliopoteza maisha yenu 29 Oct, mkiwa na lengo la kulipigania taifa hili.
Mauaji ya Kimbari kule Rwanda mpaka leo yanakumbukwa.
Mauaji ya halaiki kwa njaa kule Ukraine (Holodomor) kutoka kwa Urusi mpaka leo bado yanakumbukwa, na bado baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.