serekali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Serekali yetu ni lazima itafute,ishughulikie vyanzo vyote vinavyoanzisha maandamano

    Hakika hakika, Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,.. Kuomba mawazo kwa Rais Kagame sio jambo baya he know well on how...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Wanafunzi kulazimishwa kusoma tuition shule za Serikali

    Habari wana Jamii Forums, Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa serikali na mashahidi dhidi ya Lissu

    Nawashauri tu, mnafanya dhidi ya Lissu iwe kweli. Sio kukaa vikao vya siri mkajadiliana dhidi ya kumkwamisha Lissu na kufarihisha wengine. Helo hapa duniani mnaweza mkajiona wajanja lkn siku ukifumba jicho utaona madhara yake. Mtendeni haki Lissu bila kumuonea huruma lkn bila vikao vya siri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

    MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC). Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa serekali yetu, unamaanisha, inashughulikia kimya kimya kelele za watanzania.

    Nafurahi kuona serekali yetu inachukuwa hatua za kimya kimya kushughulikia wote wanaojihusisha na matendo ya utekaji na matendo yote yasiyo mema, Napongeza kwa hatua ya ukimya huu, na pia kwa sasa watanzania wakae na kujidai kifua mbele, taarifa za siri zinaeleza baadhi ya watekaji...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70 ya wafanyakazi wa serekali ya Kenya wana vyeti feki,na asilimia 30 wa mashirika wana vyeti feki

    Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
  8. joku

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kwenda advance kwenye shule za serekali na kwa kozi gani?

    Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
  9. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nimefurahi yaliyotokea kwa CHADEMA Serikali za Mitaa

    Wakati misuko misuko ya kisiasa ilipokuwa upande wa Zanzibar, wanasiasa wengi waliamini mizozo ya kisiasa ya Zanzibar ni ya kihistoria, hawakujua kwamba ilikua nguvu moja kuindoa nyingine. Wanajf wengi wakiponda wakiona kama mambo ya kufikirikika. Sasa yamehamia upande wa pili. Ambao enzi...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chaguzi zetu za ngazi za serekali za mitaa, tunafahamiana sana!

    Hakika uchaguzi za serekali za mitaa wengi tunafahamiana na nathubutu kusema chaguzi hizi ni "" tega nikutege, mwiba!"" Bwana mmoja katika mtaa wangu, ambaye tunafahamu kweli namaanisha in and out!, katika kugombea kwa tiketi to chama fulani, kwenye kazi akajijazia katika form kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

    Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia. Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu haioni ni hekima kuwatumia wafungwa kama vibarua wa Wakandarasi katika kuwapunguzia mzigo?

    Katika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia mataifa kama China hufanya haya, huwa kama ni sehemu ya wafungwa katika kufundishwa kazi mbalimbali...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Zijue Changamoto kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania unakumbana na changamoto kadhaa ambazo zinaweza kuathiri usimamizi na matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya changamoto kuu ni: 1. Mchakato wa Usajili wa Wapiga Kura: - Kutokamilika kwa Usajili: Vituo vya usajili vinaweza kuwa mbali au kutokuwa na vifaa...
  14. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

    Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine. Wasiwasi wangu...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Hoja za Serekali za uhifadhi wa urithi wa asili, inaishinda hoja ya masai ya kimakazi

    Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka kwa miaka, ardhi isiyo mbuga ipo tele na yenye rutuba na nzuri kwa malisho ya mifugo. Pia, hoja ya...
  16. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

    Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao...
  17. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika miradi ya serikali

    Tumeona serekali yetu ikitekeleza miradi mipya ya kimikakati mikubwa kama ujenzi wa reli ya kisasa mabasi ya mwendo kasi na bwawa la kufua umeme la mwalimu nyerere hii yote ikiwa ni mipango na mikakati ya kufikisha huduma bora kwa jamii. Tumeona treni ya SGR imekamilika na kuanza kazi...
  18. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

    Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri. Haya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo yenye Mfumo wa Serikali na si Chama

    Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu. Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza...
Back
Top Bottom