hazina

Hazina is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,25.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Bilioni 730 za El nino, je isipotokea zitarudishwa hazina?

    TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili. Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne. Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo. Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Munde aagiza hazina SACCOS kuimarisha usimamizi wa fedha za Wanachama

    Naibu Waziri wa Fedha, Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) ameiagiza Menejiment ya Hazina Saccos kuhakikisha fedha za wanachama zinalindwa kwa kiwango cha juu, huku akiwataka kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji, ukaguzi wa ndani na udhibiti wa mikopo pamoja na urejeshaji wake. Munde aliyasema hayo...
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

    Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia. Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ugumba wanaume wa Dar :Shahawa hazina umbo sahihi: Chips na Ice CREAM zatajwa!

    Wanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting! Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF)...
  5. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Uongo mbaya na msema kweli mpenzi wa Mungu, jezi ni mbaya na hazina mvuto.

    Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu.. Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina...
  6. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

    Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
  7. D

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CHAMA CHA WAZEE KISIWE CHA HARAKATI, NI HAZINA YA HEKIMA NA MSHIKAMANO KATIKA JAMII - PROF. SHEMDOE

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amekitaka Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) kutokuwa chama cha harakati, bali kutumia nafasi yake katika kutoa ushauri, kupatanisha jamii, kulea watoto na vijana, pamoja na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeomba mkopo Hazina, naanza kupigiwa simu na wanaojitambulisha Wafanyakazi wa Hazina kuwa niwakumbuke nikipata hela

    Mimi ni mmoja wa watumishi chini ya Wizara ya Afya. Niliomba mkopo wa Hazina kupitia portal husika tangu mwaka jana, lakini ombi langu, pamoja na ya watu wengine ninaowafahamu tuliomba pamoja, limekuwa kimya bila kushughulikiwa hadi hivi karibuni. Sasa tumeanza kupigiwa simu na watu...
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Baada ya Salary Advance kusumbua kidogo tu Kuna watu account hazina kitu. Wahusika toeni msaada wa haraka.

    Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣 Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
  11. bless on

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyumba za Kisasa Hazina Grill Milangoni?

    Kwanini nyumba za kisasa uwa haziwekwi geti (grill) nazungumzia kwenye mlango wa kuingia sebuleni na mlango wa nyuma fensi inakuwepo na geti moja au mbili Lakini kwenye mlango ya kuingia kwenye nyumba hawaweki grill wakati kwenye madirisha Kuna vyuma vya kutosha. Naamini Kuna mafundi humu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Ni wale wanaopata pension zao kupitia msajili wa Hazina. Mpaka leo tarehe 2 bado hawajapata pension zao na wanateseka kweli.
  13. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Tuheshimianeni humu ndani, nyuzi zangu hazina muendelezo leo nikisema mimi polisi, kesho kutwa mganga.. nisiulizwe

    Hamjambo nyie waja Binafs sitaki niulizwe, yaani ukute leo nimetoa uzi mimi mwizi, kesho kutwa mimi askofu au sheikh sitaki niulizwe au nikumbushiwe Uwa nawa replesent watu wangu wa karibu, sasa mkiniuliza mimi nilikuwa mlevi vipi leo naswalisha sitak maswali ya hivyo Humu kuna watu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mazingira ya Siasa ni Magumu, Sarakasi za Msajili na CHADEMA hazina Afya, Kuna Ukandamizwaji

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Zebra crossings hazina maana tena, zimebaki kama maonyesho tu

    Ni nadra sana katika sehemu nyingi zenye Zebra crossings ambazo hakuna traffic police karibu kukuta madereva wa magari, Bajaji au Bodaboda wakiheshimu na kuruhusu watembea kwa miguu kuvuka. Ni wakati sasas serikali ijikite kujenga madaraja ya juu tu kuvukia badala ya hizi zebra crossings za...
  16. Loading failed

    JamiiForums Tanzania 18+ Video za ubwabwa hazina uhalisia wowote

    Ndugu zangu... Onyo kama siyo 18+ haikuhusu. Katika hali isiyo ya kawaida zile video za zinazochochea watu kutunguana au kujitungua mpaka kufika mlima kilimanjaro, nimegundua hazina uhalisia wowote ule zaidi ya wanadamu kujiangamiza wenyewe kisaikolojia na kihisia kuhusu swala zima la...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2026/27: TZS 376 BILIONI HAZINA MAELEZO

    Leo Waziri wa Ujenzi ameliomba Bunge kupitisha TZS 2.564 trilioni kwa mwaka 2026/27. Lakini kabla Bunge halijapitisha, kuna tatizo moja la msingi linalohitaji ufafanuzi: 📍 Mei 2025, Wizara ililiomba Bunge kupitisha TZS 2.280 trilioni kwa mwaka 2025/26. 📍 Mei 2026 (leo), Wizara inasema bajeti...
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Hizo Pete hazina nguvu yoyote ni myth tu

  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira mpya Wilaya ya Ngara walimu wanatuchukuliaje lakini! Hela tumeambiwa zipo Hazina lakini kimya ni mwaka sasa

    Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa sisi mpaka leo kimya. Mwaka huu 2026 wameleta ajira mpya wengine wa Elimu na Afya lakini afya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ni kweli Hazina haijatoa fedha za kujikimu za Waalimu Singida DC, au zimeelekezwa katika matumizi mengine?

    Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu. Tatizo la Malipo Wengi wetu tumefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tulipoanza kazi mwezi Januari 2025...
Back
Top Bottom