Jina: Awezi Emedi Swalehe
Umri: Miaka 23
Anaishi: Mwananyamala, Dar es Salaam
Alichukuliwa: Sinza, Dar es Salaam
Habari mbaya sana. Mama mdogo wa kijana aliyeripotiwa kupotea amenipigia simu akiwa analia baada ya kubaini kuwa kijana wake ameuwawa.
Kwa mujibu wa taarifa alizonipa, mwili wa...
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Kwa hapa Tanzania inabidi apotee au kutekwa nani ndio CCM na Serikali itaamini na kukiri hadharani kua kweli utekaji na upotevu wa watu upo?
Hadi sasa watanzania wote 70m+ tunaamini watu wanapotea wanatekwa ila kuna taasisi na mihimili ya nchi yetu haiamini hata chembe, ingawaje Viongozi wa...
Yaani nchi yao bwana mtu anapotezwa wako kimya....
Kwa mara ya kwanza duniani
Nasikia mtu anajiuzulu alafu haonekani tenaaa ????
Yaani kweli pesa ndio zitufanye hiviii???
Ubinafsi aliwahi kusema muasisi ?
Balozi wa nchi fulani naye akawekwa kimyaa...na hakuna anayezungumzia????
Kesho...
Huu ni utabiri wa kweli kama nilivyo oneshwa na mizimu ya kwetu.
Iko hivi kwa kipindi cha kuanzia week ya pili ya Sept 2026 hadi week ya pili ya Dec 2026 hali utekaji wa wananchi itapungua kwa kiwango kikubwa sana.
Inatarajiaa hali ya utulivu itaripotiwa maeneo mengi ya nchi.
Hata hivyo...
Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana!
Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
Habari wana-JamiiForums,
Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
Hii nchi Kuna muda inashangaza sana. Jana dada mmoja aitwae rose kwa wanavosema ametekwa katika eneo la mlimani City mchana watanzania wakiwa wanashuhudia na wengine kurekodi tukio hilo.
Chaajabu Leo nilitegemea waziri wa mambo ya ndani au jeshi la polisi Kuja na maelezo ya tukio lile lakini...
"...Mimi ni mwanachama CCM, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambaye hakubali uonevu, hakubali utekaji na ambaye hakubali ufisadi. Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi mpaka mwisho..."
Hii ndio kauli iliyowakwaza watawala waovu wa serikali dhalimu ya Samia Suluhu Hassan na CCM yake hata...
Siku hizi Anakamatwa Mtu ,lkn unashindwa kujua, Amekamatwa au Ametekwa!.
Ametekwa na Jeshi la Polisi ? Ametekwa na Usàlama? Ametekwa na Wahalifu ?.
Nmekua Mstari mbele nikikemea Tabia hii ya Polisi, Tabia ya Kihuni , Tabia hii inaacha mashimo ya Kiulinzi na Usalama !.
Wahalifu , Walipa Visasi...
Ndugu Wananchi wenzangu wanaoumia,
Nimesimama mbele yenu kusema ukweli mchungu unaofichwa kwa nguvu nyuma ya propaganda za kisiasa.
Taifa letu haliongozwi tena kwa misingi ya sheria wala Katiba; linaendeshwa kwa hofu, vitisho, na ukatili unaotokana na ugonjwa hatari unaoitwa "Madaraka ya...
Huyu kwenye video Anaitwa Peter Richard Mushi ni fundi simu Kariakooalipigiwa simu tarehe13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anahitaji kutengenezewa simuAlimwelekeza alipo lakini mteja akataka ndugu peter amfuate maeneo ya china plaza alipofika china plaza Alikutana na huyo mteja...
Binafsi naamini Samia ndio kinara na master mind wa madhila yote ya utekaji wa watu na hizi ndio sababu zangu.
Alitekwa mdude akakaa kimya
Alitekwa mzee kibao akatoa kauli ya kejeli.
Alitekwa kipanya akakaa kimya.
Akatekwa polepole mteule wake kakaa kimya.
Madhila yote haya hakuwahi kukemea...
Unamteka mtu na kumpoteza. Familia na ukoo mzima wanaumia. Jamii inayomzunguka inaumia na kutengeneza kidonda ambacho hakiponi.
Watu wanajawa na chuki. Wanawaza kulipa kisasi kwa kupoteza wapendwa wao.
Watalipa vipi visasi? Hapa ndipo tunazalisha tatizo kubwa amabalo ni jipu ambalo haliwezi...
Msaidizi binafsi wa Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Tundu Lissu, David Djumbe, amefunguka kuhusu mazingira yaliyomfanya akimbie nchini Tanzania baada ya kupokea taarifa za siri kutoka ndani ya mfumo zilizomwonya kuwa alikuwa hatarini kutekwa na kuuawa ndani ya siku...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekemea vikali wimbi la utekaji na kupotea kwa watu nchini wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa mpakani wa Sirari, wilayani Tarime mkoani Mara.
Akihutubia mamia ya wananchi waliofika...
Katika mahojiano na ayo TV, Waziri wa Mambo ya ndani, Patrobas Katambi, ameeleza kuwa matukio mengi ya utekaji na mauaji yanayoripotiwa nchini yanatokana na migogoro ya kibiashara, uhasama wa kijamii na uhalifu wa kawaida wa raia kwa raia, na si maelekezo ya mamlaka za serikali kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.