singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Shule ya Sekondari MUNGUMAJI - Singida wanasoma kwa shida, hawafundishwi vizuri, chakula shida

    Naishi Mkoa wa Singida, naomba kuwasilisha changamoto zinazowakabili wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika MUNGUMAJI SECONDARY SCHOOL, Singida Mjini. Mdogo wangu alifaulu kujiunga na shule hiyo, lakini mpaka sasa amekataa kabisa kuendelea na masomo pale na amekuwa akitaka ahamishwe...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila ya aibu mashabiki wa Afcon watatumia barabara ya Katesh Manyara to Singida huku Makonda akiendesha magarinya kifahari?

    Makonda anaendesha magari mpaka ya bil 1.7 huku akijinasibu kupambania michezo na timu ya taifa ambayo jezi zake zina kiwango hafifu kama za friends corner ya Manzese. Anapambana kiwanja cha Arusha kikamilike kwa wakati. Vipi kuhush miundo mbinu? Babati kupitia Katesh mpaka roundabaout ya...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jonathan Mabihya, Ateuliwa tena kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida , ila sio maadilifu kabisa

    https://www.jamiiforums.com/threads/inadaiwa-katibu-ccm-kilimanjaro-akwapua-mamilioni-ya-fedha-za-kina-mama-moshi.2065675/
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Msanii Gachi aliyeimba wimbo wa “Samia Tunamkubali, Alalamikia Kuvunjwa kwa Biashara Yake Singida

    Msanii maarufu kwa jina la Gachi, ambaye aliwahi kuimba wimbo wa “Samia Tunamkubali, Mama Asemewe”, amelalamikia kuvunjwa kwa sehemu yake ya biashara mkoani Singida. Kupitia malalamiko yake, Gachi amesema kuwa pamoja na wafanyabiashara kulipa kodi, bado wanakabiliwa na vitendo anavyodai kuwa ni...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ninamtafuta John, mwenyeji wa Singida

    Habari za wakati huu, kuna mtu ninamtafuta, anaitwa John, ni mwenyeji wa Singida, mwaka 2006 alikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top. Huyu mtu inasemekana ana meno yaliyoungulia, na ni mweusi na mfupi (Kwa maelezo ya namna alivyoonekana mwaka 2006)...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Femi: Wanawake wa Singida tukiacha kazi ya baamedi, baa nyingi zitafungwa

    Muigizaji mashuhuri wa tamthilia ya Jua Kali, anayejulikana kama Femi, ameibuka na kutetea wanawake kutoka Mkoa wa Singida wanaofanya kazi ya uhudumu wa baa (baamedi), akieleza kuwa uwepo wao kwenye sekta hiyo unatokana na muonekano wao na mvuto wa kipekee unaosaidia kuvutia wateja. Femi...
  7. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Polisi waliofariki Singida wameagwa, je, mahabusu waliofariki wataagwa wakimaliza kesi zao?

    Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania RPC Singida : Majina ya Askari Polisi Watano na Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida bado hayajafahamika!

    Majina hayajafahamika!
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania RC Halima Dendego akikabidhi hati miliki za ardhi zilizotolewa kwa mfumo wa kidigiti (e-Ardhi)

    Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego akikabidhi hati miliki za ardhi zilizotolewa kwa mfumo wa kidigiti (e-Ardhi) baada ya wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Singida kupatiwa mafunzo ya siku nane ya namna ya kutumia mfumo wa e-Ardhi. Soma Pia: Singida yaanza kutoa hati miliki za ardhi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Singida na Mtihani wa Kisaikolojia: Tafsiri ya Kijamii Nyuma ya Pole za "Upande Mmoja" Mtandaoni

    Ndugu Wana-JamiiForums, Septemba 21, 2026, imeacha kidonda kikubwa katika mkoa wa Singida, hususan katika eneo la Mlima Sekenke, kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyogharimu maisha ya watu 12. Katika msiba huu mzito, tumepoteza askari watano wa Jeshi la Polisi waliokuwa kazini (akiwemo Mkuu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Polisi 5 na Mahabusu 7 Wafariki Duniani Ajalini Singida Wakielekea Mahakamani. Wagongwa na Gari La Mafuta Lililo Feli Breki Mlima Sekenke.

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa ndio kama hivyo ambapo watanzania wenzetu wamepoteza Maisha katika ajali mbaya huko Mkoani Singida . Ambapo Gari la mafuta lililo feri Breki liligonga gari lililokuwa limebeba mahabusu waliokuwa wanapelekwa Mahakamani.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

    Askari na mahabusu wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari la polisi walilokuwa wakisafiria kugongwa na lori la mizigo katika eneo la Mlima Sekenke, Wilaya ya Iramba mkoani Singida. Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Suleiman Mwenda, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea leo majira ya saa 2:00...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Hospitali ya Manispaa ya Singida iboreshe njia ya kupitisha wagonjwa kutoka jengo moja kwenda lingine

    Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa Wodini, Maabara na Radiologia kutoka Emergency pamoja na maternity. Hiyo ni katika mchakato wa...
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Singida yaanza kutoa hati miliki za ardhi kupitia mfumo wa e-Ardhi

    SINGIDA Mkoa wa Singida umeanza rasmi kutoa hati Milki za Ardhi kupitia mfumo wa e-Ardhi ambapo sasa wananchi hawatalazimika kufika ofisi za ardhi katika mkoa huo kufuatilia maombi yao ya umiliki wa ardhi kama ilivyokuwa zamani. Bi. Nzito Enock mkazi wa Kata ya Mandewa amekuwa mwananchi wa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji wa Miji 28 Singida, Serikali yakamilisha visima vya maji 10

    Serikali imefanikisha kazi ya kuchimba visima 10 mkoani Singida kwa kutumia wataalam wazawa na mitambo ya Serikali. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) kufuatia kazi hiyo amemkabidhi mkandarasi kampuni ya Megha Engineering and Infrastructure, visima hivyo kukamilisha utekelezaji wa mradi wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida afariki dunia

    Msiba mwingine jeshi la Polisi👇
  17. jooohs

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya kula bata Singida

    Habarini ndugu. Kwa wanao pafahamu Singida vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natarajia kukaa hapa kwa mwezi mmoja Natanguliza shukran.
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nani anakibarua kizito hapo mbele kati ya Simba, Yanga, Azam na Singida huko CAF

    Timu zote za Zanzibar zatolewa katika michuano ya Shirikisho na Klabu bingwa barani Afrika. Huku timu za Tanzania Bara (Tanganyika) zikibaki na kuendelea na raundi ya pili ya mtoano kabla ya makundi. Simba atakutana na 15 De Agosto kutokea huko Equatorial Guinea (Guinea ya Ikweta) ambayo ndio...
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kigoma imeiacha singida kwa umbali sana.

    Nimekuwa sehemu zote mbili katika shughuli zangu binafsi kigoma kwa maendeleo iko chini lakini singida naona imejifia kabisa, hii mikoa inazidiwa kwa mbali na Town council nyingi kimaendeleo na utafutaji wa fursa. Hivi watu wanaoishi singida wanapataje maisha? Kwa nilivyoona pale ukienda hata...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
Back
Top Bottom