mtandao

  1. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu unasumbua tangu jana, kuweni serious!!

    Tangu jana napata shida ya mtandao, si normal call si internet, kote mtandao unasuasua. Vodacom nitawahama soon, wapuuzi nyie
  2. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

    Nimekuwa na changamoto ya kutumia mtandao wa X kwenye Laptop yangu Ninatumia mtandao wa X zamani tweet kwa miaka kadhaa.Lakini imekuwa changamoto sana kwenye Laptop yangu Tangu matumizi ya VPN yaanze kutumika. Naomba kujua namna notakavyo Counter hili tatizo. Natanguliza shukrani
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania JF ndio mtandao unaoitambulisha Tanzania kama bado nchi yenye watu wenye akili

    Katika mitandao yote kwa hapa Tanzania ni JamiiForums tu ndio utakuta nyuzi na majadiliano magumu yenye kufikirisha bongo na hata kuumiza akili. Mitandao mingine yote ukiondoa wanaharakati wachache na wafanyabiashara wanaofanya matangazo ni utumbo na uchafu mtupu. Maudhui yaliyopo ni ya akili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kero gani huwa unapata mtandao wa intanet ukikosekana eneo ulilopo?

    Kuna maeneo ukienda kupata mtandao inakuwa kipengele sana, mtandao haushiki na ukishika ni kwa kuutafuta mpaka unatamani kulia, kama ni wa kuperuzi sana unashindwa kama ni mtu wa kufanya kazi mtandaoni ndio hali inakuwa ngumu. Mawasiliano pia inakuwa changamoto kwa yale yanaohitaji mtandao moja...
  5. exalioth

    JamiiForums Tanzania Baarua Kwa Mtandao Wa Halotel.

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU CHANGAMOTO YA MTANDAO WA HALOTEL MKOA WA GEITA Ndugu Huduma kwa Wateja, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mteja wenu wa mtandao wa Halotel niliyepo mkoa wa Geita. Naandika ujumbe huu kutoa malalamiko rasmi kuhusu huduma yenu ya kupiga na kupokea simu ambayo...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hatari ya matumizi mabaya ya mtandao wa majitaka

    Mtandao wa majitaka unapotumiwa vibaya ni kero katika jamii, na chanzo cha magonjwa mbalimbali ambayo matibabu yake ni gharama. Matumizi sahihi ya mtandao huo ni moja ya ustaarabu katika jamii, na huepusha usumbufu kwa watumiaji na wadau wengine, pia mazingira
  8. VanDon

    JamiiForums Tanzania Mtandao sio salama kwa watoto.

    --- "Kushiriki picha za watoto mtandaoni kunaweza kuonekana kuwa jambo lisilo na madhara, lakini pindi picha inapowekwa hadharani, inaweza kunakiliwa, kupakuliwa, kusambazwa tena, au kutumika nje ya muktadha uliokusudiwa awali. Hata mipangilio ya faragha haiwezi kuondoa kabisa hatari hizi...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania wangapi wamehudhuria mkutano huu kupitia mtandao kama ulivyoitishwa na balozi wetu nchini Marekani?

    Huu mtego si sawa na ikiwezekana itabidi mbinu hizi DHS wataarifiwe. Hata kama balozi angeitisha mkutano huu 'live' bado wasiwasi ni mkubwa kuliko inavyodhaniwa. Nasikia watu walijipanga uzuri kusubiria lakini kimyaa! Nafikiri ntaeleweka.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Application ya Mixx by Yas imepata changamoto siku mzima huku wahusika wakiwa kimya

    Mtandao wa simu wa Mixx by Yas, kupitia application yao ya simu, umepata changamoto ya kushindwa kufanya kazi vyema kwa takribani siku nzima. Hali hii imesababisha mkanganyiko pale unapotaka kuifungua, kwani inaeleza kuwa kuna kifaa kingine kinachotumia account yako, jambo linalozua taharuki...
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Bunge hazipatikani katika mtandao

    Hiki ni kikao cha Bunge cha Kumi na Tatu,Mwezi August, lakini Hansard ya mwisho katika mtandao ni ya June. Siyo Bunge tu. Mahakama pia. Haiwezekani ku download kitu chochote kwenye website ya Mahakama
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maneno haya yanamhusu Mbowe na genge lake. Hawatafanikiwa kuibomoa Chadema kwa fedha za CCM

    Mbowe anapoteza muda👇
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Siasa za migongano: Nchimbi na harakati za kujiunga na mtandao na jengo la la UVCCM ( 1998 - 2008)

    Hakuna mtu wa CCM hajui ugomvi wa Nape na Nchimbi juu ya Jengo la UVCCM na mpaka leo Nchimbi pale anamiliki Floor, jana nilishangaa Msingwa kichwa maji anasema kuwa eti hakuwahi kusikia kuhusu stori ya UFISADI. Kila mmoja hapa nenda tu Google kaulize stori ya Nchimbi na Jengo la UVCCM na hata...
  14. O

    JamiiForums Kenya Ni Japan Ama Nairobi? Otamatsuri 2026 Yavuta Maelfu na Kuteka Mtandao

    “A Japanese idol concert in Kenya.” Video moja tu yenye maneno hayo imegeuka kuwa gumzo mtandaoni, ikionyesha umati wa Wakenya ukiimba, kuruka na kushangilia kwa nguvu wakati msanii wa Japan akitumbuiza Nairobi. Video hiyo ilinaswa wakati wa Otamatsuri 2026, tamasha la anime, manga na pop...
  15. R

    JamiiForums Tanzania WI-FI ya Airtel ni matatizo matupu. Ni wizi wa fedha za watu maana mtandao unapatikana kwa shida kubwa! Very very very slow!

    Hiyo ndiyo hali halisi. Tafadhali rekebisha kasoro hiyo! i very recent tatizo hilo limeanza. Ni mtandao gani mtu anaweza kuhamia?
  16. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaboresha mtandao wa majitaka katikati ya jiji la Dar es Salaam

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, hususani eneo la Ilala na Kariakoo, kwa lengo la kuhakikisha mifumo ya majitaka inafanya kazi kwa ufanisi na mazingira yanakuwa...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa kigaidi wa Iran huko Mashariki ya kati!!

    Iran haikujenga himaya yake ya uwakilishi usiku kucha. Ilitumia miongo kadhaa ikifanya hivyo huku sehemu kubwa ya nchi za Magharibi zikiangalia upande mwingine. Huku serikali za Magharibi zikizingatia mijadala ya kisiasa na kitamaduni ya ndani, Iran iliwapa silaha Hezbollah, Hamas, Houthi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa NMB leo umenikatili vibaya sana sina hamu kabisa

    Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down. Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa. Inakera sana!
  19. S

    JamiiForums Tanzania Siamini kabisa Riz One anatumia madaraka yake ya waziri mwenye kusimamia Usalama wa Taifa kwa ajili ya taifa bali familia yake na kundi la mtandao

    Ni vigumu sana mtu yeyote kunishawishi kwamba Riz One aliteuliwa kuwa waziri katika ofisi ya raisi mwenye kusimamia Usalama wa Taifa kwa ajili ya usalama wa taifa. Ninaamini kwa dhati kabisa kwamba Riz One kawekwa katika nafasi hii kwa kazi maalum, na kazi hiyo kwa kiasi kikubwa si ya maslahi ya...
  20. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Habari mpya kutoka mtandao wa Google

    Ule mtandao pendwa wa google unaojua kila kitu leo asubuhi saa 12 umefungia simu zenye uwezo mdogo kuutumia asa vile viswaswadu venye operamin
Back
Top Bottom