Ali Kamwe (au Ally Kamwe) ni mmoja wa wachambuzi wa soka na maafisa habari maarufu na wenye ushawishi mkubwa sana nchini Tanzania kwa sasa.
Anafahamika sana kwa nafasi yake kama Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga (Young Africans Sports Club).
Kazi Ndani ya Yanga SC: Aliteuliwa kuwa msemaji mkuu wa Yanga, akichukua majukumu ya kuwasiliana na umma, kutangaza mechi, na kuhamasisha matukio makubwa ya klabu hiyo
Amekuwa nguzo muhimu sana katika kuunganisha uongozi wa Yanga na mashabiki wake.
Ali Kamwe anasifika kwa kuwa na mbwembwe nyingi, uwezo mkubwa wa kujenga hamasa (hype), na ubunifu wa hali ya juu anapofanya mikutano na waandishi wa habari.
Mara nyingi amekuwa akibuni misemo na majina ya utani kwa wachezaji ambayo hupendwa na kutumiwa sana na mashabiki mitaani
Kikosi cha Klabu ya Yanga kimewasili jijini Dodoma kwa ajili ya kuwakabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara utakaochezwa March 21 kwenye Uwanja wa CCM Jamhuri, jijini Dodoma
Akizungumza mara baada ya kuwasili, Afisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe, amesema dhamira yao...
“Tumekubaliana kuwa mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote isipokuwa jukwaa la VIP A na VIP B yamekuwa Reserved kwa waalikwa maalum ambao ni Wageni wetu pamoja na wanachama wa Yanga wa Black Card.
Ombi hili la kuweka mechi hii isiwe na viingilio lilikuwa Gumu sana kukubaliwa kwakuwa...
Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi
Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini...
Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara.
Mwaka huu aliahidi kuwa ndani ya nyumba angeshika kipaza dakika za mwishoni anakuja aaambiwa " hilo suala la kutambulisha...
Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
Habari za wakati huu mashabiki na wapenzi wa soka,
Leo tumshauri ndugu yetu ambaye ni msemaji wa wananchi kwa sasa yaani DAR ES SALAM YOUNG AFRICAN.
Msemaji wa YANGA kwa siku za hivi karibuni amekuwa anafanya vitu vya kitoto sana, Kwanza anajibu kila hoja kutoka kwa wapinzani labda anadhani...
Kumsifu sana mchezaji hakuongezi wala kupunguza uwezo wake bali kuhamasisha wachezaji wenzake wamkamie. Ilikuwa hivyo kwa Makudubela sasa umeanza kwa Doumbia. Usiwaletee shida wachezaji, tutafute namna mpya ya kuvutia watu kuja viwanjani badala ya hii ya kizembe kwa wachezaji. Kama Doumbia...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Simba wamesogeza mbele uzinduzi wa jezi zao ni baada ya jezi hizo kuvuja
Ali kamwe amesema kuwa wana shushushu wao huko ukoloni na watatu wamefukuzwa kuhusiana na hiyo inshu ya kuvuja kwa jezi, lakini shushushu wao hajafukuzwa Bado yupo...
Jumla ya wachezaji 30 wameitwa timu ya taifa na kila mmoja ametoa mchango wake kwa nafasi yake. Sasa mbona ghafla topic yote imegeuzwa Kagoma pekee? Kwanini isiwe Mzize au Feisali waliokuwa wachezaji bora wa mechi mbili?
Yaani mnashadadia Kagoma mpaka mnachapisha T-shirt na jezi – lengo ni...
Nafikiri Ally Kamwe anapaswa kumuomba radhi Yasmni Razack kwasababu yule sio winga yule ni msimamizi wa wachezaji na kasimamia wachezaji wengi ambao wamecheza Yanga na wengine bado wanacheza Yanga,kumuita winga ni kumkosea heshima kitu ambacho sio sawa ,anapaswa kumuomba radhi kwasababu...
Hivi huyu ni msemaji wa Yanga au msemaji wa Hersi?
Kwani haelewi kwamba kuna Hersi rais wa Yanga na Hersi Said mwenye maisha yake binafsi? Suala la kugombea ni suala binafsi la Hersi linaihusu nini Yanga kama klabu?
Kushindwa kwake kuna uhusiano gani na performance ya Yanga uwanjani. By the...
"Klabu ya Yanga imesafiri na Rais wetu Hersi Kuja huku Rwanda na sijui hizi taarifa zimetoka wapi kwasababu kila kitu kilihishia alipotaka kuwa Mbunge wa Kigamboni."
"Kuna vitu vinaendelea kwasababu kuna watu wametumwa kuja kuharibu mipango yetu na wanataka tufanye vibaya kwenye ligi na klabu...
Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana ..
Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia...
Ndgu wapendwa
Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
ahmed ally
alikamwe
amos makala
anthonmy mavunde
diamond platinumz
dotto biteko
eng. hersi said
gsm
josephat msukuma
juma aweso
mirlad ayo
mo dewji
paul makonda
proffesional driver
zito kabwe
"Niwaombe tu Baadhi ya vijana wenzangu ambao ni Waandishi wa Habari .. Mtu anapokupa stori Yoyote kuhusu yangasc.. Ni Vyema Ukanipigia kwanza ili UBALANCE kisha ndio uandike
Kilichotokea Leo kwa PRINCE DUBE kimewadhililisha sana... Na inaweza kusababisha Jamii isiwaamini Tena mnapoandika Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.