Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.
Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela
Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi...
Tarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi kuonekana hadharani.
Siku 3 baadae aliandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo wa...
Hello!
Kama kawaida wapinzani uchwara hata hawajui wanataka nini. Mwezi mmoja tu nyuma kuna maneno aliyaongea Ex vice president Emmanuel Nchimbi wakaanza kumchukia. Baadaye kidogo wakasikia amejiuzulu.
Nchimbi kafanya usaliti mkubwa kwa Taifa, kosa lake ni la uhaini.
Yuko hai ila hatapewa...
Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ametoa wito kwa familia ya Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujitokeza hadharani na kuwahahakishia Watanzania kuwa yuko salama.
Ado ametoa wito huo Septemba 10, 2026 wakati akizungumza katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya...
Leo Zanibar kabla y jua kuelekea Magharibi kutakuwepo na ibada ya mazishi ya Mume wa Rais.
Viongozi wakuu wastaafu na waandamizi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano na mapinduzi ya Zanzibar watafika zanzibar.
Uvumi wa kutoonekana kwa Makamu wa Rais aliyejiuzulu
Utafutwa?
Wanabodi
Naomba kuanza bandiko hili kwa utambulisho wangu, kwasababu this issue is very serious
Mtoa mada ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea huu ukiwa ni mwaka wake wa 36 newsroom, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, hivyo ni mtu wa kuaminika, ila pia ni mwandishi wa...
Ni Tlaatlaah
Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.
Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi..
Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho...
https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG
Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..
Inasemekana...
DAR ES SALAAM, TANZANIA— Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu uwezekano wa Tanzania kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2029/2030.
Akizungumza katika mkutano uliowashirikisha...
Wakuu,
Watanzania tulipokea barua ya Nchimbi kujiuzulu kupitia mitandao ya kijamii, hakutoa Press au kusikia akihojiwa sehemu, na baadaye Rais Samia akasema amepokea barua yake ya kujiuzulu, kamati ya CCM ikasema imemvua uanachama na kwamba hawamtambui tena na Makamu wa Rais mteule akatajwa...
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Maganya amesema jumuiya hiyo inaunga mkono Dkt. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa uanachama.
Ameyasema hayo akiwa Misungwi, Mwanza leo Agosti 27, wakati wa ufunguzi wa sherehe za wiki ya wazazi kitaifa.
Soma Pia: Dkt...
Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi.
Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba.
Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu.
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata...
I. Kupanda Chati kwa Nchimbi
Kupanda kwa Dr. Emmanuel John Nchimbi hadi kufikia nafasi ya Makamu wa Rais kuliashiria kilele cha safari ndefu ya kisiasa ndani ya mfumo na uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Yeye hakuwa mgeni wala mtu wa nje aliyekuwa anapambana na mfumo; alikuwa kada mzoefu...
Wanabodi,
Kiukweli kitendo cha VP Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi kufutwa uanachama CCM, kimenipiga bonge la shock la mwaka na kunikata kabisa usingizi! ukijumlisha na kule kujiuzulu kwake, this is a double tragedy!.
Sijui kama kuna mtu yeyote amempongeza Dr. Nchimbi kwa uamuzi wake huu wa...
Mtangazaji wa Radio 47 Kenya, Captain Emmanuel Mwashumbe, ameibua maswali kuhusiana na uamuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na kustaafu siasa kuanzia Septemba 4, 2026.
Akizungumza kwenye kipindi chake, Captain Mwashumbe ameeleza kushangazwa na hatua...
2022: Spika wa bunge Job Ndugai ajiuzulu, Samia aridhia.
2023: Katibu Mkuu CCM Daniel Chongolo ajiuzulu, Samia aridhia.
2024: Makamu Mkiti wa chama cha Mapinduzi Kinana ajiuzulu, Samia aridhia.
2025: Makamu wa Rais Philip Mpango ajiuzulu, Samia aridhia.
2025: Balozi Polepole aliyekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.