black

  1. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi 1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini 2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu) #upambanaji mwingi 3. Black(weusi) Mlifanikiwa vipi kupata wenza(wake,mzazi mwenzio,mpenzi kawaida nk). Kwa maana...
  2. U

    Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

    Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita...
  3. N

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato. Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
  4. Mjukuu wa kigogo

    Koboko aka Black Mamba

    Ndiye huyu sasa!Ukifika Tabora karibu sana Urambo.
  5. UKWAJU WA KITAMBO

    Msanii Black wa Uswazi

    BLACK WA USWAZI . _____________________ Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu kuwa Hapa ulipo . Kuna changamoto nyingi sana wamepitia wachonga barabara hawa Enzi Hizo ili kuumpa...
  6. ndege JOHN

    Wenye grocery nawapa mbinu wekeni na black and white ya kupima

    Kwenye mambo ya kazi hatuchezi tunachezea mshahara sitaki uje unilaumu sikukupa akili weka na ile B&W ya kupima kuanzia buku.kale kapombe kazuri sana kana stimu lake special yaani kanakukamata mwili wote unakuwa wa moto.
  7. Kijakazi

    Tim Scott the first (to be) real Black man in the white house!

    Huyu jamaa ndio atakuwa the first real black man to be president (vice) wa USA na labda pia president if something happens to President D.Trump na kushindwa kuendelea na urais wa USA. God Bless D.Trump! Tim Scott 100% black man like us!
  8. Nyani Ngabu

    Tanzania Black Friday ya nini?

    Jana tarehe 23, Novemba 2023 ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving nchini Marekani. Kama hujui sikukuu hiyo ina maana gani huko Marekani, zama Google au YouTube [zote hizo ni kampuni za Kimarekani 😉 🇺🇸] ufute ujinga. Thanksgiving huwa ni siku ya Alhamisi ya mwisho ya mwezi Novemba kila mwaka...
  9. M

    America ,Europe na Asia wapewe mauwa yao

    IPO wazi hawa jamaa WA Asia (china , south Korea na,japan) Europe na america wamebadilisha maisha ya hii planet earth kweny angle ya science, mathematics, sports n.k isingekua wao Bado tungekua tunaishi maporini. Kama mzungu na muasia angelala Leo ungekuta hakuna simu,hakuna Tv,hakuna...
  10. A

    Madhara ya matumizi ya super black kwenye nywele

    Matumizi ya super black dyes kwa ajili ya kupendezesha nywele yamekuwa maarufu sana hivi Sasa kwa Jinsi na Rika zote. Kwa ufupi yafuatayo ni madhara ya kutumia dye hizi ambayo ni vema tukafafahamu:- 1) Hupunguza uimara wa nywele na kufanya nywele kuwa laini zaidi. 2) Hupunguza uwezo wa nywele...
  11. Maleven

    Black people are more physical beings while white people are more intellectual being

    black people are more physical being thus why they are good in sport and games. They rarely think abstractly, their thinking patterns are more connected to physical world. Black people are more resilient to physical hardship that emotions and psychological one. This ia my own observations
  12. LIKUD

    Duh hii Kali ya mwaka, nimepokea simu kutoka kwa mwana ukoo ambae ni black sheep kwenye familia yake. Alichoniambia kimenishangaza

    Black sheep ; Mdogo wangu shemeji yako ana mimba ina miezi minane sasa nakupa taarifa mapema kabisa ujue kaka mwezi ujao anajifungua so nikija kukupigia simu kukuomba msaada usishangae. Pambana pambana kaka unitafutie hela kidogo ili isaidie atakapo jifungua. Me: siko powa kaka siwezi...
  13. MK254

    Kamanda wa Urusi aliuawa kwenye lile shambulizi la kambi ya Black fleet, Crimea

    Makamanda wa Urusi waliofia Ukraine wazidi kuongezeka, kumbe na huyu alifagiwa humo humo na lile kombora ambalo lilichakaza kambi yote na kuua wanajeshi wengi sana na kulipua kila kitu..... Commander of the Russian Black Sea Fleet Vice-Admiral Viktor Sokolov salutes during a send-off ceremony...
  14. MK254

    Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote... The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September. Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
  15. The Shah of Tanganyika

    Black Africans to Disappear on Earth in 1000 Years

    Possibly in 700 years, what we see as black Africa lands will be populated with Arab and white. Black will be a rare minority on the land, just like the Neanderthal or the red indians. Why? Black Africans are busy killing each other and surrendering control of their resources to superior races...
  16. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

    Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China. Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana. Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani...
  17. THE SPIRIT THINKER

    BLACK LIST(UJUMBE WENYE MAUTI)

    THE SPIRIT THINKER. UTANGULIZI Berlin, Ujerumani SONJA VERBRUGGE HAKUWA anafahamu kwamba leo ingelikuwa ni siku yake ya mwisho kuishi duniani. Alikuwa anatembea kwa taabu kuwapita watalii waliokuwa wamefurika kwenye barabara ya Unter den Linden. Usikurupuke, alijiambia. Lazima uwe mtulivu...
  18. figganigga

    Black Box ya Precision Air namba PW 494 -5H-PWF iliyopata ajali ipo wapi?

    Salaam, Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya. Tangu Majaliwa aseme Magufuli anachapa kazi wakati alikuwa anaumwa, simuamini tena na sitakuja kumuamini. "Rais...
  19. MakinikiA

    Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai. Waziri mkuu amesema...
Back
Top Bottom