miaka mitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka Mitatu Bila Malipo: Mfanyabiashara wa Uganda Adai Alitapeliwa Mahindi Aliyouza Kenya

    Mfanyabiashara mmoja kutoka Uganda ameomba msaada wa mamlaka za Kenya kufuatia madai kwamba hajalipwa fedha za mahindi aliyosambaza nchini karibu miaka mitatu iliyopita, licha ya bidhaa hizo kudaiwa kupokelewa na mnunuzi na malipo kufanyika. Mkurugenzi Mtendaji wa Kamaala Enterprises Limited...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwanamume Aishi Kama Mama Yake Aliyekufa kwa Miaka Mitatu Ili Kuendelea Kuchukua Pensheni Nchini Italia

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake. Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi

    Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya nyumba zilishapata huduma, ila kuna wengine bado hatujapata hiyo huduma. Tukaambiwa kwamba sisi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tulioajiriwa mwaka 2022 tunacheleweshwa kupanda madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi

    Watumishi tuliopata ajira mwezi Julai 2022 tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kucheleweshewa kupandishwa madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi. Tumekuwa tukiambiwa kuwa sababu ya kuchelewa kupandishwa madaraja ni kwamba tuliajiriwa katika “mwaka mpya wa serikali”...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wauza chips wahukumiwa Jela Miaka mitatu au Faini 6M kwa kutotoa risiti ya EFD

    Raia wa China Xu Fuyu mwenye umri wa miaka 39 na mfanyakazi wake wa mgahawa wa Kibonge uliopo Kariakoo Dar esSalaam, Blandina Mwalutola mwenye miaka 24 wamehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni sita au kifungo cha miaka mitatu jela kwa kushindwa kutoa risiti ya kielektroniki, baada ya kutoa huduma...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isi-focus miaka mitatu miji wa mkoa mmoja mmoja kama ilivyofanya kwa Dodoma

    Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna madogo wawili wanalipuka kutoka carrington huko, ni regeneration ya rooney na ronaldo, tukutane kwenue huu uzu baada ya miaka mitatu minne hivi

  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Sportpesa waidhamini yanga kwa bilion 21 kwa miaka mitatu

    Yanga wameendelea kudhaminiwa na sport pesa kwa miaka mitatu kwa bilion 21 ============== Klabu ya Yanga Sc leo Jumatatu 11/08/2025 imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Richard Nzagi: Muhamiaji Haramu akiingilia Uchaguzi Faini Sh Milioni 5 au kifungo cha Miaka mitatu au vyote

    Mlishawahi baini wahamiaji haramu wakitaka kujihusisha na uchaguzi au amsuala ya kiasisa kiujumla mnafanyaje kwenye hili?? Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi, akifanya mahojiano na Kituo cha Shamba FM Radio anajibu... Pia soma ~ Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi...
  13. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Matiko ni mwanachama wa CCM tokea mwaka 2022, alikuwa bungeni kwa tiketi ipi?

    Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana Copy and paste CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa usajili wa Esther MatikoDuh! Kumbe Matiko yuko Bungeni kwa kinga ya Tulia Ackson na Mahakama kama...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Sababu za TPA kuongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo

    Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo? i. Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo imeongezeka kwa asilimia 11, ambapo imehudumia tani mil 23.9 kulinganisha na tani mil 21.5 za miezi 11...
  15. Bueno

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3. Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya hasara Tanzania huku uwajibikaji ukiendelea kuwa ndoto ya mchana

    Ni miaka mitatu ya hasara kwa mashirika makubwa ya umma, ndivyo unavyoweza kueleza. Hasara hizo zimetajwa katika ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22, 2022/23, 2023/24 matawalia zikigusa mashirika ya Reli Tanzania (TRC), Kampuni ya Ndege Tanzania...
  17. B

    JamiiForums Tanzania EXIM bank yaingia Mkataba wa miaka mitatu na ZATI

    21 Februari 2025, Zanzibar – Benki ya Exim imeingia mkataba wa miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la kukuza na kuinua sekta ya utalii Zanzibar. Mkataba huo ulisainiwa na Mkuu wa Kitengo cha Fedha kutoka benki ya Exim, Shani Kinswaga pamoja na Mwenyekiti wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania CAF wekeni interval ya miaka mitatu mitatu Afcon moja kwenda nyingine.

    Hii airisha-airisha imekuwa too much..Na ni aibu pia kwa shirikisho. Ili kurejesha msisimko wa Afcon, CAF kwanini wasipanue vipindi vya miaka 3 kati ya tournament moja kwenda nyingine ili nchi inayo-host ipate muda wa kutosha kuandaa miundombinu. Inaitwa AFCON 2025-Morocco...halafu mashindano...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya milioni 5 kwa kosa la kuwapa majibu wanafunzi

    Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sunzula B, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Bahati Suguti amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la kufanya udanganyifu katika mtihani la darasa la nne mwaka 2023. Katika kesi hiyo iliyotolewa hukumu leo Februari 2...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) ahukumiwa miaka mitatu jela, na faini ya TSh. 500,000

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu 'Chuma cha Chuma', kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya TSh. 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuwepo nchini Tanzania bila kuwa na kibali. Chuma cha Chuma ambaye ni msanii...
Back
Top Bottom