kubaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika sana, siku hizi mguu wa kutoka unafanana na mguu wa kubaki ndani

    Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema: “Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.” Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wakoloni weupe wangeendelea kubaki, hebu angalia mpango huu mkubwa wa reli wa kuiunganisha Tanganyika uliovurugwa na vita ya dunia

    Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika. Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

    Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto. Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei...
  5. Red black

    JamiiForums Tanzania Wakuu huyo mwanamke ulienaye minya kidogo eneo la transaction kwa wiki mbili akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml

    Anahama kama fisi waliomaliza kula mzogo somewhere kwenye hifadhi. Pesa, kibunda, dollar,fedha,noti...hii kitu inaamua mambo mengi sana.
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo vya dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  7. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi: Je, tunachukulia kwa uzito wa kutosha?

    Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi. Ndiyo maana inapotokea hotuba yenye makosa ya wazi ya lugha, taarifa zisizo sahihi, au ujumbe usioeleweka, wananchi wengi...
  9. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Haifa Power Plant inayotoa 828 MW imelipuliwa na kubaki majivu

    Iran imeendelea kuikanya Israel kwa kuitwanga Makombora tiifu yanayotekeleza maangamizi bila huruma. Israel na viunga vyake imeingia gizani. BREAKING NEWS 🇮🇷IRAN has blown up the Haifa power plant with a ballistic missile.🚀🔥🇮🇱 With the destruction of this 828 MW power plant, half of Israel is...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Miaka 49 ya CCM: Imebaki kutegemea Dola kubaki madarakani

    Chama cha Mapinduzi kinaadhimisha miaka 49 tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa vyama vya TANU iliyokuwa Tanganyika na ASP iliyokuwa Zanzibar. Kwa hiyo CCM ni zilezile TANU na ASP zilizopambana wakati wa ukoloni. Ni miongoni mwa vyama vikongwe vya ukombozi barani Afrika...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eti wana Man Utd ni heri kubaki na Fletcher hadi mwisho wa msimu au kuletewa Ole Gunnar/Carrick?

    #GGMU #MUFC
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari. Ni hatari sana kubaki nyumbani siku ya 9D. Wauaji wataanza na wewe

    Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote. Alionae tangazo hili amtaarifu na...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  14. braza bonge

    JamiiForums Tanzania Kama CCM wataendelea kubaki madarakani, Nini hatma ya mamia ya watu waliotekwa?

    Habari Wana bodi, kama tittle inavyojieleza, kuelekea uchaguzi mkuu tumeona mamia ya watu wakitekwa na kwa isivyo bahati, serikali ya CCM haijatoa ushirikiano katika hili jambo, aidha mgombea wao amechagua kukaa kimya. Je, watu ambao wanatamka kulinda utu wa Mtanzania kwa maneno tu bila vitendo...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Buyobe: Kamishna wa ardhi Dar hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili alilotamka RC Chalamila

    Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika: Kamishna wa ardhi mkoa wa Dar es Salaam hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili. Huyo aliyekuwa anamtoa...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

    Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja. Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye...
  17. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Imani Asili za Kiafrika, kufa kwake na kubaki kwake

    Kabla ya kufika dini zilizoingia nchini kwa meli, waafrika, wa hapa Tanzania ya sasa walikuwa tayari wana imani zao za asili. Ambazo zilitamalaki na watu wakaziamini kwa uwazi kabisa nazo zikaongoza maisha yao koroho. Sasa zinaonekana zimepotea, na kufyekelewa mbali na dini za uislamu na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya master planner haiwezi kamwe kubaki wazi, akitoka tu mwengine au kikundi kitaijaza, Mnataka master planner mkabila / mkanda / mdini ?

    Kuweni makini sana na hicho mnachokitamani. Ukweli siwezi kuwaficha na upo wazi, Hata iweje, Hio nafasi mnayotamani master planner achomoke haiwezi kubaki wazi, Never ! Ni lazima itajazwa muda huo huo haraka sana. Na wataojaza kuna risk kubwa wawe wametoka kabila kubwa (Nyerere alishaelezea...
  19. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa

    Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
  20. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania kama hawa wananipa moyo wa kubaki Tanzania kusaidia maendeleo

    Habari wakuu Hizi hoja makini katika video hapo chini, zimenipa moyo wa kuendela kubaki Tanzania. Tupate wananchi wengi namna hii katika kuishauri serikali Muongeaji anaonekana kutoa maoni hayo katika kipindi cha TBC. Watanzania wenye maono na hekima wapo wengi, wasikilizwe. Muda si muda...
Back
Top Bottom