biashara ya utumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    JamiiForums Tanzania Hivi Waarabu wameumbwa na uwezo gani wa kujizima data? Pamoja na kututesa na biashara ya Utumwa bado wanaishi Tanzania

    Kama ni Uhuni basi alianza Mwarabu kwa kutuuza kama nyanya kupitia biashara ya Utumwa Mtanzania ameumbwa kuonewa na kusamehe inawezekana hii ni laana Kuuzwa kama nyanya, na kuuwawa na watumwa kwa kukatwa shingo kwakutumia sime hayo ndiyo waliyofanya Waarabu Leo hii wamejaa Tanzania na kudai...
  2. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Blueprint-wimbo unaochokonoa jeraha la ukoloni na biashara ya utumwa

    Huu wimbo nimekutana nao insta,nikaona niufuate YouTube Wimbo umenijeruhi hisia,ndani ya dakika tano,kwa mashairi mazito na mkong'osio(melody) wa hisia za juu,umeelezea ukoloni ulivyoingia na namna tunavyosaidia kuuendeleza hapa afrika,tena dini ikiendelea kutugawa kila uchao Tumia dakika zako...
  3. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Unpopular opinion: Unaikumbuka biashara ya utumwa? inafanana sana na ndoa

    Takribani miaka 500 iliyopita kulikua na biashara ya utumwa ambayo kwa kipindi kile ilikua imehalalishwa kabisa kabla ya kuja kupigwa marufuku miaka ya mbele yake. Kulikua na watu watatu ambao wanahusika katika hii biashara ambao ni slave, slave driver na slave master. Ndoa inafanana sana na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania 'Reforms UK' kupiga marufuku ya Visa kwa nchi zinazodai fidia biashara ya utumwa

    Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Oktoba 29 hayawezi kusahulika kiurahisi, sawa na kusema tusahau biashara ya utumwa

    Hawa Viongozi wa CCM siyo wa kuwasikiliza wala kuwaamini wote lao ni moja na ndiyo walioiba kura katika uchaguzi wa Oktoba 29 na wakawaua watanganyika ambao hawakuwa na silaha. Hivi unamwambia mtu asahau aliyeuliwa ndugu yake mkashindwa kumpa maiti yake inaingia akilini kweli?Tena waliouliwa na...
  6. The redemeer

    JamiiForums Tanzania waafrika tulaumiwe kufanikisha biashara ya utumwa

    Biashara ya utumwa imeacha makovu Africa na kuacha historia mbaya juu udhalilishaji wa utu wa mwafrika. Ukifanya tafiti utagundua ya kwamba ni waafrika wenzetu ndio waliofanikisha biashara hii kwa kuwasaidia wazungu na waarabu kupata watu baada ya waafrika kuwauza ndugu zao pia mateka wa vita...
  7. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

    Habari wana JF Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake. Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  9. Blender

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.

    Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu. Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa Zanzibar na tabaka la watawala wa Kiarabu. Sultan wa Zanzibar alitokea Oman,Sultan wa kwanza wa...
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Utumwa huwa tunajiona watu weusi wahanga ila tunasahau kuwa mababu zetu walicheza part kubwa kurahisisha kupatikana watu kwa ajili ya slave trade

    Jamii za Kiafrika zilikuwa na mifumo iliyokuwepo ya utumwa, lakini mahitaji kutoka kwa wafanyabiashara wa Ulaya na Uarabuni yalibadilisha kwa kiasi kikubwa ukubwa na asili ya biashara hii. Mawakala wa ndani wa Kiafrika mara nyingi walikamata watu kupitia vita, uvamizi, Kisha mateka hawa...
  11. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Undani wa biashara ya utumwa je ni waarabu au wazungu ndiyo chanzo? Soma hapa

    I salute you kinsmen.! Naona kumekuwa na mjadala wa vuta nikuvute kwa pande mbili hasa kwenye muelekeo wa kidini zaidi . Mwelekeo huu ukihusu zaidi waarabu na wazungu na kujikuta tukikaa makundi ya ukristo na uislamu.! Hii haifai wakuu lazima tuwe neutral na tujadili ukweli sio kuruka ruka na...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Bila mzungu tunaemlalamikia ni mbaguzi waafrika tungekuwa na hali ngumu sana, biashara ya utumwa ingeendelea, tungebaguliwa zaidi

    Ukitaka kuamini haya angalia mpaka leo waafrika wanakimbilia zaidi nchi zipi bila kuhofia hata dini au rangi zao ? wanapewa zaidi misaada ukiachana na mikopo na nchi zipi ? kwanini mwafrika wanapenda zaidi kufanya kazi kwa wazungu? Africa hata kuwa na nchi zake baada ya ukoloni ni kama muujiza...
  13. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao unafichwa juu ya biashara ya utumwa Tanzania na Africa kwa ujumla

    Wasalaam wanajf Kama kichwa cha uzi kinavyosema , huu ndio ukweli watu wanapotoshwa miaka yote . Fuatilia hii clip hapo chini
  14. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Mahari inapaswa kupigwa marufuku, inatweza utu wa Mwafrika na kukumbusha historia mbaya

    Moja ya tamaduni ya kishenzi inayopaswa kukoma katika jamii ya watu weusi hasa Afrika ni hii biashara ya kununua wanawake ili ummiliki kama mtumwa. Hii tamaduni ya ulipaji mahari inaendeleza historia mbaya na machungu ya biashara ya utumwa ya kuuzana sisi wenyewe kwa wenyewe. Kwa kweli...
  15. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu Zanzibar na historia ya biashara ya utumwa

    UKITAJA BIASHARA YA UTUMWA Duniani unaitaja Zanzibar #Unguja ambayo ndicho kilikuwa kitovu na soko kuu la Biashara hiyo ambapo watumwa walikusanywa kutoka pande mbalimbali Afrika (Kongo, Burundi, Rwanda, Tabora, nk.) kupitia Bagamoyo na kuletwa hapa kwaajili ya kuuzwa kwenda kutumikishwa. PICHA...
Back
Top Bottom