Je,
alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia?
Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
bila
chochote
darasa
hii
kesi
kisheria
kisiasa
kufanikiwa
kuomba
kusaidiwa
lisu
mawakili
mtuhumiwa
muhimu
nchi
sana
tanzania
tundu
uhaini
wanasheria
wote
MAFANIKIO NI YA KIROHO
Ikiwemo pesa na mafanikio aina nyingine yote yanaanzia katika ulimwengu wa roho na kuja kudhihirika katika ulimwengu wa nyama unao onekana ulimwengu wa kimwili.
KIROHO ZIPO NGUVU ZIPO ZA AINA MBILI TU NYUMA YA MAFANIKIO YA MWANADAMU YEYOTE
Nguvu za NURU MUNGU au nguvu za...
Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
Butcher inaweza kuanza na mtaji mdogo, lakini bila eneo sahihi, usafi, nyama bora na huduma nzuri kwa wateja—unaweza kuuza kila siku lakini bado usipate faida unayoitarajia.
Biashara ya butcher ni miongoni mwa biashara zenye uhitaji wa kila siku kwa sababu nyama ni bidhaa inayotumiwa na...
Wakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.
Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara.
Binafsi, bila kuwa na roho ngumu, uthubutu na ujasiri wa kuchukua hatua, leo nisingekuwa hapa...
Niaje waungwana
Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court.
Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
Kukimbia ni Bure
Kupiga pushup ni Bure
Mazoezi ya kukimbia ni Bure.
Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako.
Six pack muhimu
Kifua kikubwa Muhimu
Muonekano wa mazoezi muhimu.
Haya
Tukomae
Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu.
Mimi naona...
Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa hoja hizi ukoje ikiwa kati ya watu 10 maskini, 7 ni wanawake?
Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala.
Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma.
Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye kimemshinda kufanya.
Jenga urafiki na wafanya biashara wenzako, hawa walioajiriwa watakupoteza; wanakauli...
Kama inawezekana kufanyika baraka kwa wengine ikiwemo maneno ya kinywa chako yawe ya kubariki wengine kuliko kuwadharau na kuwakejeli.
UNAHITAJI WATU WA HALI ZOTE KATIKA MAISHA.
Heshimu watu wa hali zote masikini kwa matajiri,bila kujali tofauti zenu za kiuchumi ,na kijamii.
Masikini...
Mafanikio yapo katika pembe(angle) nyingi katika maisha.
Mafanikio nini, kila binadamu ana tafsri yake kuusu mafanikio, mwengine ana amini kuwa na pesa nyingi ni mafanikio, mwengine kuwa na furaha ndio mafanikio.
Mafanikio yapo katika angle tano muhimu ambazo ukielewa utakuwa na mafanikio ya...
Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau:
Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio.
Waliondoka chuo kwa sababu:
Tayari walikuwa na ujuzi maalum
Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua
Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao
Tayari walikuwa na connections nzito za...
Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man).
Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake.
Je nifanye nini hili roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.