vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Nafurahia sana kula vyakula vilivyo chemshwa!!

    Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye mapishi?mbona Mimi naona viungo vinapoteza ladha halisi ya chakula husika??na hapa ndipo ninapoona anaepika...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume

    Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume ni pamoja na: Vyanzo vya protini na zinki Samaki (hasa samaki wenye mafuta kama salmon, sardini) Mayai Nyama nyekundu kiasi (beef, kondoo) - zina zinki nyingi muhimu kwa uzalishaji wa mbegu za kiume Karanga na mbegu (hasa mbegu za...
  3. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania KERO Bei za vyakula kwa wasafiri ni kubwa

    Kumekuwa na bei kubwa/ghali sana ya vyakula kwa wasafiri nchini. Sehemu ambazo magari yanapeleka abiria kula yamekuwa yakitoza gharama sana za vyakula, Wahusika walifuatilie hili, watu wanaumia sana. Watanzania ni kama hakuna wa kuwasaidia kiuongozi na kiutawala.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya friji

    Jamani ndugu zetu kuweni makini ni kutupashia vyakula vya friji. Juzi kwa aunt nimepewa maharage yameoza. Kutakataa ilikuwa taaabu😕. Nikajikaza kiume
  5. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kula vyakula vilevile kila siku

    Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule Wali Pilau Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya) Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga) Mayai (kukaanga na kuchemsha) Tambi Mboga za majani za kuunga na nyanya Dagaa (same, kukaanga na kuunga) Kuku (wa...
  6. Candela

    JamiiForums Tanzania Mtu umemuoa afu anakupikia vyakula vya banda la chipsi

    Guys guys, soon ntakuwa single aisee. Nimeloa huyu mwanamke ila kwangu kapageuza Banda la chips aisee. Yaani nakula vyakula ambavyo naweza pitia Banda la CHIPSI chap. Leo atakaanga ndizi mzuzu sijui, kesho atakaanga chipsi. Akiwa hajisikii kupika ataenda kununua bandani. Sasa si Bora nikae...
  7. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je, kuna sababu ya kutungwa sheria kali kwa wanaotengeneza bidhaa feki hasa bidhaa za vyakula na vinywaji wajulikane kama wauaji?

    Wana bodies kasi ya bidhaa feki imekuwa kubwa na watengenezaji hawajali tena afya za watanzania kabisa,na bidhaa hatarishi kwa afraid,zikiwa na kemikali hatarishi,hambazo zimeua vijana wengibkwa sababu ya Figo vitu kama hivyo,je niwakati sahihi wa kutungwa sheria kali sana hata ikiwezekana...
  8. Jayvpapa

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wakiwa na hela wanakua na obesity wakati ndio wakati mzuri wa kununua vyakula ambavyo ni vizuri kwa afya

    Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo. Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida kwao na kuona vyakula hivi vya asili vimepitwa na wakati
  9. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kukaza mshipi zaidi bei ya vyakula ikipanda

    Kulingana na ripoti iliyotolewa Ijumaa na Shirika la Kitaifa la Takwimu Kenya (KNBS), Februari 27, bei za baadhi ya vyakula zimepanda. Kati ya Januari na Februari mwaka huu, bei ya sukuma wiki ilipanda kwa asilimia 2.4, huku ile ya kabeji na viazi kila moja ikiongezeka kwa asilimia 4.0. Sekta...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

    Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
  11. Red black

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki mtu usiku kucha umekesha unakula vyakula vya kutosha halafu next day unajifanya saumu imekaza😆

    Binadamu always ni mnafiki,
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bei za vyakula masokoni huongezeka sana wakati wa Ramadhani?

    Ni kawaida sana kila ikifika mwezi wa Ramadhani huwa kunatokea mabadiliko ya bei za vyakula kuongezeka kwa kasi hasa maeneo ya mjini. Nini hasa husababisha kuongezeka huku kwa bei za vyakula vingi nyakati za mfungo wa mwezi wa Ramadhani?
  13. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi na Wageni wanaochagua sana vyakula?

    Mgeni anakuja kwako kukutembelea, tuseme atakuwa kwako kwa kipindi cha muda fulani, Ndani ya muda wote huo anaokaa kwako, anakuwa na tabia ya kubagua chakula, Mara dagaa sili Ohh maji nakunywa ya dukani tu. Ukijifanya kukaza fuvu , anaanza safari za kusingizia oho naenda sehemu fulani, kumbe...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

    Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse. Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
  15. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya asili na mapishi ya asili ni tiba kwa asili.

    Habari, Nimeleta hii post ili kukumbusha asili yetu kwa upande wa mapishi na vyakula kwakua ni wazi kuwa magonjwa yanaongezeka kila kukicha pindi asili inapoondoka. Kwa ambao tumeonja ladha ya vyakula vya asili toka utotoni tumebaki na kumbukumbu ya zamani tu ila hatupati ile ladha ya asili ya...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 imeleta taharuki ya Mafuta, usafiri, vyakula & Condoms

    Watu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9 ambacho ni maandamano yaliyopangwa kufanyika usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!
  17. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla watu wanakushangaa

    Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla kwa nia ya kubana matumizi watu wanashangaa na kukuuliza unanunua vyote hivyo kwani Tanzania kuna vita? Baada ya tarehe 29October mambo yamebadilika sana na hasa sasa hivi tunapoelekea 9D watu watanunua na kuhifadhi vyakula kwa wingi na jumla hasa Unga...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula

    Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula.
  19. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nile vyakula gani niongeze kilo 5 ndani ya wiki2?

    Wakuu nataka kuongeza uzito kidogo ushauri wenu muhimu. Hivi nile vyakula vipi kwa wingi niongeze walau kilo 5 in 2 weeks
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Unaongezeka Mara Dufu Kufuatia Kupanda kwa Bei za Vyakula

    Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya bei kwa bidhaa muhimu katika masoko ya ndani. Kiwango cha mfumuko wa bei cha jumla kiliongezeka...
Back
Top Bottom