kimaisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi tofauti na ukame, vita na mafuriko kuna shida yoyote ya kimaisha wadada wenye makebo makubwa wanapitia kwa kweli?

    Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu. Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
  2. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Kutoboa kimaisha

    Wakuu habari zenu? Ni vigezo gani vitumike vunatumika kuhitimisha kwamba fulani katoboa? Uzi huu unalenga kuwatia moyo wale ambao pengine wanaelekea kukata tamaa ilhali kwa vigezo vya walimwengu ni wametoboa tayari
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, anguko la kijamii, kisiasa na kiuchumi la Mzee Wilbroad Peter Slaa ni fundisho kwa wasaliti wote?

    Ama kwa hakika, mkataa pema pabaya pana muita. Mzee huyo baada ya kujilimbikizia fedha na mali za kutosha akiwa kuhani wa kanisa, akaisaliti nadhiri yake ya sakaramenti ya upadre na kuachana na kazi ya uinjilishaji na kutimikia kwenye sakaramenti ya ya ndoa, kwa tamaa za mwili. Akiwa huko...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BULABO 2026 yahimiza vijana kutumia fursa zilizopo nchini kujikwamua kimaisha

    Kando ya Tamasha la Asili la Utamaduni BULABO linalofanyika katika Viwanja vya Ngomeni-Kisesa, Ilemela Mkoani Mwanza, leo tarehe 11/06/2026 limefanyika Kongamano lililowakutanisha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vya Kati katika Chuo Cha Mipango kwa lengo la kukumbushana umuhimu wa kuenzi tamaduni za...
  5. Red black

    JamiiForums Tanzania Toa piece of life advice /ushauri wa kimaisha ambao ni constructive kwa mtu yoyote yule.

  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wako, nini maana ya kufanikiwa kimaisha?

    Tema cheche💥
  7. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

    Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi niliosoma nao primary na O level wapo vizuri kimaisha. Mimi sijatoboa kwa kweli pamoja na kupambana

    Wadau leo niko very stressed. Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena. Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu. Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula. Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
  9. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania When life favours you dont call others lazy? Ukipata neema ya kufanikiwa kimaisha usiwadharau ambao bado hawajatoboa

    Kama inawezekana kufanyika baraka kwa wengine ikiwemo maneno ya kinywa chako yawe ya kubariki wengine kuliko kuwadharau na kuwakejeli. UNAHITAJI WATU WA HALI ZOTE KATIKA MAISHA. Heshimu watu wa hali zote masikini kwa matajiri,bila kujali tofauti zenu za kiuchumi ,na kijamii. Masikini...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  11. pharao

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wajinga' wanatoboa kimaisha haraka kuliko sisi 'Great Thinkers’?

    Leo naomba tuweke vyeti vyetu vya chuo na zile "A" zetu za sekondari pembeni, tuzungumze ukweli unaouma. Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua jambo moja la kushangaza sana mitaani: Asilimia kubwa ya watu tunaowachukulia kama 'watu wa kawaida' au wasio na uwezo mkubwa wa...
  12. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Nguzo 5 muhimu za kufanikiwa kimaisha hizi hapa

    Mafanikio yapo katika pembe(angle) nyingi katika maisha. Mafanikio nini, kila binadamu ana tafsri yake kuusu mafanikio, mwengine ana amini kuwa na pesa nyingi ni mafanikio, mwengine kuwa na furaha ndio mafanikio. Mafanikio yapo katika angle tano muhimu ambazo ukielewa utakuwa na mafanikio ya...
  13. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?

    Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?
  14. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Kipindi unajitafuta, michongo gani ulikua unapiga ili kujikimu kimaisha?

    Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi. Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni -Kuuza bando mtandaoni -Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto ) -uwinga (hii ilinifungulia milango mingi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Moloko aliyekuwa nyota na akiimbwa Yanga SC leo Kapigika hivi Kimaisha hadi analia ili tu aonane na Mayele na amtoe kwa chochote kitu?

    Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo. Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuku akipata mjanja ana nafasi nzuri ya kujikwamua kimaisha kupitia wapenda sifa

    Napo viral yake imekuja kipindi tete huku kwa namna fulani ikihusika moja na moja na CCM kupitia uharibufu wa mabango ya mgombea... LAKINI anaingia kwenye list ya Dr. Shaka Majaliwa mvuvi Mandonga nk CCM wangeshapita naye kitambo lakini kuna mambo mawili yanawafanya wasite japo wanamtamani...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini baadhi ya vijana wengi waliotekea familia masikini alafu wakahi kutusua kimaisha wanakuwaga "matajiri limbukeni"

    Atavaa kila aina ya nguo awalingishie, kila demu atazaa nae kuonesha umwamba wake, kila hatua atakayopiga ata prove kwenu kuwa amewazidi kwa maana nyie ni wapumbavu kuzidi yeye Juzi mmoja wao amewaambia mnalalamika sana na hamfanyi kazi utafikiri mmesimama tu mnakenua bara barani. Anyway pesa...
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua. Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa aina hii watakuchelewesha kimaisha bro amka

    Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini RC wasipite kuombea kila kijiji au familia wafanikiwe kimaisha?

    Kwanini RC msipite mnaombea kila kijiji au familia waweze kufanikiwa kimaisha,kukiwa na mafanikio ktk kila familia amani itakuja yenyewe tu. Hizo propaganda nyingine ni uhuni tu na kutafuta fedha kupitia sadaka za maombi.
Back
Top Bottom