FaizaFoxy
Joined
Likes
31,443

Profile posts Latest activity Postings About

 • Yohana Kilimba
  Za saa hizi bibie!ninaomba ufafanuzi wa kipi ni sahihi kati ya haya maneno!kwani hunichanganya nisijue nitumie lipi.
  Hivi huwa ni:
  a)hao au hawo?
  b)kwahiyo au kwaio?
  c)hili au ili?
  d)kujurishwa au kujulishwa?
  e)azimu au adhimu?
  S
  Aslkm b faiza nilikuwa naomba e mail yako tafadhali
  FaizaFoxy
  FaizaFoxy
  Yanini?
  A
  Am so #Sorry to the Family and al those losed their fellows in Somalia. Here is my prayer's to God the Almighty,to keep on Kenya country in pease,harmony and United.Keep Trusting on eachother to flag the success
  Radhia Sweety
  ገፈጨጨጨ በገገጸ ጸጸጀቨጀሐጨተ ፈጠገገፈጸ
  Madame S
  assalam alayqum warahmatullah! ni matumaini yangu u mzima wa afya mama mimi nashindwa kujizuia kila nionapo quote yako au hata like yako napenda uchangiaji wako napenda unachoandika humu ALLAH akujaalie kila lenye heri
  FaizaFoxy
  Madafu,

  Thanks, sijaandika kittabu, lakini ni wazzo ambalo nnalo miaka mingi sana na In Sha Allah ntafanya hivyo haraka iwezekanavyo.
  M
  I learned to admire your in-depth analysis particularly in history. Have you ever wrote a book? Or have you considered writing one?
  Chats disappear but books are there for a long time.
  FaizaFoxy
  Wa Aleykum Salaam, sisi AlahamduliLlahi tu wazima. Shukran kwa kunijulia hali. InshaAllah dua zako ziwe kwa sote.
  Afro-Arabica
  Nakusalimie Sheikha wa MaBillioni wa MShekha.... hali yako na familiya? Allah awape afya na afuan.AMIN
  Afro-Arabica
  Ukhtii al-Habibty usitutupe .... Twahitajia naswiha zako katika wakati huu mgumuu " hekima zako na a'amali zako zikubaliwe na Allah" amin
  life is Short
  AsaLaam 3aleykum W W..
  Ukhti yangu nakusalimu tu, Na kukujulia hali, kwani siku nyingi sijakuona JF So Nilipigwa na mshangao na Shetani kunighilibu WHATS WRONG to our Sheikha al-fadhilat Fiffy.... Alhamdulillah madamu umechipua tena nimeshukuru Mwenyeezi mungu. Sina ila Allah akulinde kwa rehema zake. AMIN
  Afro-Arabica
  JazzakAllah kheyrn... Waenti kul 3aam biSiha wa salaama, Eidd-kum said mulitunyima nini?!! Dua'a zako na zetu zielekezwee kwa Umma.AMIN
  Afro-Arabica
  Ukhtii Salaam 3aleykum W W, na Eidd al-adhHaaMubarak Samahani kuchelewa kukupa mkono..Mina El-faizina... in-shaAllah uongoze umma kwa elimu na juhudi zako Muwafaqa.AMIN
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…