inakera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaosimamia usaili Sekretarieti ya Ajira huwa hawajali muda, sijui huwa hawajipangi, inakera sana

    Sekretarieti ya Ajira wao huwa wapo strict sana kukusema inapitokea umeitwa katika usaili kisha ukachelewa hata kama ni dakika chache, wanakuona haupo serious kwenye kutafuta kwako, hivyo na wao wawe wanajali muda wanaoupanga kwa ajili ya interview. Haiwezekani wapange mtihani Saa Nne asubuhi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile kila kukicha sheria zaidi zinatungwa kuwabana wananchi wa Tanzania, hadi nchi inakera sasa

    Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli sheria ni muhimu katika kufanya watu wawajibike katika uhuru wao, lakini kwa hapanchini naona sasa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Umeme unakatika sana hadi inakera maeneo ya Matika, Wilaya ya Ludewa (Njombe)

    Kero yangu ni kukatika-katika kwa umeme mara kwa mara katika eneo la MATIKA, Kata ya Lugarawa, Wilaya ya LUDEWA, Mkoa wa Njombe huku wahusika wakikaa kimya bila kufanyia ufumbuzi suala hili, tunaomba TANESCO Wilaya ya LUDEWA watueleze ni lini tatizo hili litakwisha maana imekuwa ni kero kubwa...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kwa wageni na waajiriwa wapya makazini, zingatia haya

    Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote. Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa, 1.Usipende kutamani...
  6. kwisha

    JamiiForums Tanzania Manabii wamekuwa wengi mpaka sasa inakera

    Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD. Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu Kuna mmoja uko youtube...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Gari la mwendokasi la express, dereva kusimamia kila kituo kisa watu wanaomba msaada inakera sana

    Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express. Tanzania bado sana aiseee Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva...
  8. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Inakera sana pale unapopanga kukutana na demu wako kwa ajili ya kuburudika lakini mwenzio anakuja na kijiji

    Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti. Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya naongea na simu napita mlango wa nyuma na simu nazima, Badilikeni.
  9. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wanawake tabia ya kuji-edit uzuri inakera, tuhurumieni

    Hivi hamuoni aibu jamani dada zetu. Unamuona mtu kwenye picha yaani ni mzuri mpaka unasema waaaaaooooh. Lakini kumbe kaji edit. Kote huko ni kumchanganya mwanaume tu. Tuoneeni huruma basi.
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages. Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa kuchelewa kidogo na hapo lecturer anamuomba mwanafunzi simu na kuanza kupekua sms, na ikitokea...
  13. Daydream

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wafanyabiashara kukaa na simu zinazotumika kufanya miamala mbali na eneo la biashara inakera

    Kuna hii tabia imezuka ya wamiliki wa biashara kuweka huduma za kifedha za mitandao ya simu mbalimbali lakini simu wanakaa nazo wenyewe mbali na ofisi zao na kwenye biashara zao wanaweka vijana ambao ukitoa pesa au kuweka lazima awasiliane na bosi wake ili akupe au kukuwekea. Hii tabia kiukweli...
  14. Amaniwood

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya KKT Nyakato Mwanza inakera kubambika gharama kubwa kwa wanaojifungua

    Habari zenu wapendwa. Nina kero niliyokutana nayo hivi karibuni katika hospitali ya KKKT Nyakato Mwanza baada ya kumpeleka mgonjwa wangu kujifungua. Awali tulipoanza cliniki walitupokea vizuri na kwa ushawishi mkubwa sana kuwa garama zao za kujifungua kwa njia ya kawaida ni Tshs. 56,500 huku...
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Inakera na kuchukiza kwamba wqtu wengu wanatumia smatphone halafu ni infinix,itel na Tecno

    Hii dunia inakera sana na kuchukiza kuna mambo yananipa stress sana yaani nikiona mijitu mikubwa inatumia smatphone halafu ukimkaribia zaifi anatumia hayo midosho au mabomu ya kichina Tecno,infinix na itel yaani nakerekwa mpaka natamani nitapike 😒😒😒😒 Hizi sio simu ni bomu aisee jana mwana mmoja...
  16. malisak

    JamiiForums Tanzania Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

    Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika. Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Inakera Kumsubiria kwa hamu na muda mrefu Demu halafu akitokea unamkuta ni mbaya ( wa Kawaida ) mno

    adriz na Bila bila Elimu yetu ile Kubwa ya kule Peru na Costa Rica imetusaidia sana kuwaza mbali zaidi ambako Wengine hawawezi. Simpigii tena Promo Demu ambaye hata bado sijamuona nikihisi labda ni mzuri na atanifikisha Kileleni na Begi langu baada ya kumuona huyu Demu wa Jana ni wa Kawaida (...
  18. R

    JamiiForums Tanzania MS Outlook inakera je email gani client nzuri iwe mbadala wa outlook

    Habar wadau !!! Hope wote mpo poa niende moja kwa moja kwenye mada nadhani wengi kati yenu mnatuia outlook na karibu ofisi nying zinatuia outlook for person and office work Mi kinachoniudh kwenye outlook ni WHITE BACKGROUND kwenye inbox hiki kitu sio kigeni wngine wanakiita themes means...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tigo, ofa yenu ya MB za Boomplay inakera

    Hii ofa kiukweli haina maana kwa baadhi yetu, maana unaangalia salio linakuja sms refu la ma MB ya kusikiliza nyimbo Boomplay. Yaani hapo unakuta una MB 200 za kuperuzi mtandao wowote lakini una GB 10 za kusikiliza nyimbo Boomplay, wakati sisi baadhi yetu siyo wapenzi wa kusikiliza nyimbo...
  20. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya hovyo kuwapa wachezaji majina ya wachezaji na makocha wakubwa kutoka nje inakera

    Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake. Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
Back
Top Bottom