Na huu ndo ukweli Mchungu...
Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.
Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for...
Kama ni Uhuni basi alianza Mwarabu kwa kutuuza kama nyanya kupitia biashara ya Utumwa
Mtanzania ameumbwa kuonewa na kusamehe inawezekana hii ni laana
Kuuzwa kama nyanya, na kuuwawa na watumwa kwa kukatwa shingo kwakutumia sime hayo ndiyo waliyofanya Waarabu
Leo hii wamejaa Tanzania na kudai...
Niliwahi kusafiri na gari la mizigo kuelekea malawi tulipofika maeneo ya karibu na mzuzu mall
Nikapaki gari maana muda ulikuwa umeenda sana tukapaki gari kwenye sheri moja hivi ya puma tukalala pale kesho yake asubuhi
Nikatoka kuomba msaada wa kupushiwa gari yetu maana ilikuwa ina changamoto ya...
Visa vya nchi za Ulaya ngumu kupata
Wawekezaji ndio wale wakoloni
Wamisionari ndio hawa wanasema tujifunze lugha zao kama kiarabu, kichina na kirusi
Manamba ndio sisi tunafanya kazi viwanda vyao
Wapelelezi ndio hawa mabalozi sasa
Viongozi wetu ndio kupewa shahada za heshima
Wanajukwaa kweli nimeamini kuajiriwa ni utumwa,ukiingia jukwaa la ajira na tender ndo utajionea waajiriwa walivyo na hali ngumu.
Kila kona ni vilio na kero. Kuanzia halmshauri ya Itigi mpka uko mtwara ndani ndani ni vilio tu vya kunyimwa fedha za kujikimu, kutopandishwa madaraja na kadhalika na...
KUAMINI NDOA NI MPAKA IFUNGWE KANISANI AU MSIKITINI NI DALILI YA UTUMWA NA UELEWA MDOGO KWA WATU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Acha Dotto Magari adharau Wasomi. Ingawaje naamini hawadharau kwa mambo mazuri bali kwa baadhi ya ishu walizonazo. Hasa kifikra.
2. Fikiria binti aliyehitimu...
Maisha yamekuwa magumu sana, imenibidi niitishe kikao cha dharula kwa hawa wapenzi wangu 11, kila mmoja aandike insha ya ukurasa mmoja yakueleza, zaidi ya tendo la ndoa wana nini cha kunipa?
Nimechoka kuwa mtumwa wa kuhonga honga mali/fedha au kutoa toa huduma zenye gharama kwa mbadala wa...
Huu wimbo nimekutana nao insta,nikaona niufuate YouTube
Wimbo umenijeruhi hisia,ndani ya dakika tano,kwa mashairi mazito na mkong'osio(melody) wa hisia za juu,umeelezea ukoloni ulivyoingia na namna tunavyosaidia kuuendeleza hapa afrika,tena dini ikiendelea kutugawa kila uchao
Tumia dakika zako...
Takribani miaka 500 iliyopita kulikua na biashara ya utumwa ambayo kwa kipindi kile ilikua imehalalishwa kabisa kabla ya kuja kupigwa marufuku miaka ya mbele yake. Kulikua na watu watatu ambao wanahusika katika hii biashara ambao ni slave, slave driver na slave master.
Ndoa inafanana sana na...
Chama cha Reform UK kimetishia kuzuia utoaji wa visa kwa raia wa nchi zinazodai fidia kutokana na utumwa. Nigeria, Ghana, Kenya, Jamaica pamoja na nchi nyingine 15 za Afrika na Karibiani zinaweza kuathiriwa.
Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, amesema madai ya fidia...
Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa...
Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa.
Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote zaidi ya utumwa tofauti na alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru.
Asione haibu kusema nimechoka watanzania walinikataa nimelazimisha lakini nimechoka hata miezi minne haijaisha lazima aseme nimeacha mauwaji na...
Kipindi tunafundishwa kuwachukia wazungu, unyama wa uarabu ulikuwa unafukiwa, hadi hapo watu walipoanza kwenda outside of the box na kugundua zaidi y I abu shiri, kugundua kuwa babu zao walihanisiwa na kufanyika mashine za kazi hadi kufa kwao huko uarabuni, waliobakia nachoamini ni less than 1%...
Tusipende kuchukulia poa maisha tena maisha haya yakibongo kisa tu mshangazi wako au sponsor wako umekula hela zake wee sasa umejipatia platform na mic ya kuzungumza ndio uanze kuropoka ropoka.
Tusipende kuona kwamba kujiajiri ni kitu ambacho sio process, sio gharama na sio kigumu.
Waswahili wana msemao wao husema "kweli ikidhihiri uongo hujitenga". Hii inamaanisha kwamba ikiwa kuna uongo unasemwa/unasambazwa, ikitokea siku ukaelezwa ukweli basi hule uongo moja kwa moja utaondoka kwani watu watakuwa wameujua ukweli.
Kumekuwa na simulizi nyingi kuhusu biashara ya utumwa...
Lakini jibu la maswali haya yote tumefundishwa ni mzungu.
Ukatili wa biashara ya watumwa ya Waarabu ulijumuisha ukatili wa kulazimishwa kuvuka jangwa na bahari, unayanyasaji wa kingono kwa wanawake na wanaume, kuwahasi watumwa wa kiume ili watumikie kama matowashi.
Biashara hii, ambayo ilidumu...
SIO LAZIMA UFUNGE NDOA KANISANI AU MSIKITINI. KWANZA HUO NI UTUMWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kitendo cha kuona ni lazima ufunge ndoa Kanisani au msikitini ujue bado kuna mambo huyajui kuhusu kiitwacho dini. Ujue wewe ni Mtumwa unayehitaji ukombozi.
2. Ukiona unamawazo kwamba ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.